ЄƦ30

38.1K posts

ЄƦ30 banner
ЄƦ30

ЄƦ30

@ercurry_

TipsCreater • KindnessMan • God Is Great•GIG

else เข้าร่วม Nisan 2024
4.4K กำลังติดตาม4.5K ผู้ติดตาม
ทวีตที่ปักหมุด
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Ukishazaliwa mwanaume anza kupambana hata kama una mwezi mmoja.
27
79
432
18.6K
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Tuambie Kitu gani unahisi hakikufaa kiuzwe dukani kwa bei hiyo?😄
Indonesia
0
3
8
133
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
@ms_tebbe Dollar Shosti yenu mnaitana udugu
Indonesia
1
0
1
12
Tebbe 🫦
Tebbe 🫦@ms_tebbe·
Hivi ni mimi tu ndio naona hizo dollar na samaki au hata wewe umeona hivyo?😂😂
Tebbe 🫦 tweet media
Indonesia
21
18
39
771
ЄƦ30 รีทวีตแล้ว
AM💡
AM💡@TonnyUnfiltered·
Demu kala hela za jamaa karibia mwezi jana katolewa out na mwana leo asbuhi tumemuokota yuko uchi kazima.
Indonesia
30
38
214
12.4K
ЄƦ30 รีทวีตแล้ว
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ikulu Ya Marekani Inaitwa White House, South Korea Blue House, Ikulu Ya Tanzania..?
Eesti
122
38
191
11.6K
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Mkoa gani kuna makanisa mengi kuliko watu?😁
Indonesia
29
13
80
3.3K
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Nguruwe na wao wanakula nyama?🤔
Indonesia
3
3
27
532
Coco Love 😇
Coco Love 😇@Cocolovemimi·
Tumia dakika moja kuwaombea Watu wa Mikoani wenye wapenzi Wao wanaosoma Vyuo dar😅🤭
Indonesia
24
18
132
3.7K
ЄƦ30 รีทวีตแล้ว
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Unatumia sifa zipi kumchagua mtu wa kukushauri pale unapokumbana na tatizo ambalo huwezi litatua peke yako...?
हिन्दी
10
18
51
1.2K
ЄƦ30 รีทวีตแล้ว
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Watu wanabisha kutembea masaa matatu Dar-Moshi, watu tushazoea kutembea masaa mawili Iringa-Mbeya kwenye huu mkeka.
METRO🎭 tweet media
Indonesia
37
29
198
10.3K
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Huruma za kijinga kazini zinaponza ulaji wa baba mwenye familia.
Indonesia
3
3
14
374
millardayo
millardayo@millardayo·
Golikipa wa Klabu ya Yanga, Djigui Diarra amefungiwa kucheza michezo mitatu na kutozwa faini ya Shilingi milioni nne kwa makosa mawili ya kumshambulia Mwamuzi na kuonesha kidole cha kati wakati akitoka uwanjani baada ya mchezo kati Mtibwa Sugar uliochezwa katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma. Adhabu hiyo imetolewa na Bodi ya Ligi (TPLB) kupitia barua yake rasmi iliyotolewa hii leo Machi 27, 2026 ambapo imeeleza “Katika Mechi Namba 126 ya Mtibwa Sugar FC 1-1 Young Africans SC Mchezaji Djigui Diarra wa Klabu ya Young Africans amefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 2,000,000 (milioni mbili) kwa kosa la kumshambulia Mwamuzi wa Kati wa mchezo tajwa hapo juu, mara baada ya mchezo huo kumalizika kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, adhabu hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 41:5(5.3) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.” “Mchezaji Djigui Diarra wa Klabu ya Young Africans ametozwa faini ya Sh. 2,000,000 (milioni mbili) kwa kosa la kuonesha kidole cha kati wakati akitoka uwanjani baada ya kumalizika kwa mchezo tajwa hapo juu Diarra ametenda kosa kwa mujibu wa Kanuni ya 41:5(5.4) ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji, kwa sababu kitendo hicho kinaashiria matusi na dharau, adhabu hii ni kwa mujibu wa Kanuni ya 41:5 ya Ligi Kuu kuhusu Udhibiti kwa Wachezaji.” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
25
11
378
14.3K
Tebbe 🫦
Tebbe 🫦@ms_tebbe·
Sa hivi kulivyotulia humu,unaweza pita hata bila nguo na usionekane😂😂
Indonesia
15
15
53
604
Tebbe 🫦
Tebbe 🫦@ms_tebbe·
Mwenyewe unaenda kwa bebi wako unajiachia,kesho unajikuta mtandaoni💔😒
Tebbe 🫦 tweet media
Indonesia
35
21
112
2.6K
ЄƦ30 รีทวีตแล้ว
ROSALINE🦋
ROSALINE🦋@AmRosalinee·
Mwamposa akiugua yeye hospital moja kwa moja ila mfuasi unakunywa maji na mafuta😂😂🙌
Filipino
26
41
285
10K
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
@alpro26 Hapo sawa Foloback boss 🙏
English
0
0
0
3
Elisa
Elisa@alpro26·
@ercurry_ Alishinda bet ya 103m mwezi uliopita ndo maana
Indonesia
1
0
1
519
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Huyu Creez Favors ni nani kwa undani? Inaonekana jamaa alijipanga na safari ya kwenda ulaya hadi sasa kazungukia vilabu 3 hispania na jezi ananunua mfano hiyo jezi ya Ronaldinho kanunua laki 3+ za kitanzania imagine, tour yake atafika mpaka Bernabeu acha nitafute hela tu.😂😂
ЄƦ30 tweet mediaЄƦ30 tweet mediaЄƦ30 tweet mediaЄƦ30 tweet media
Indonesia
6
9
151
8.7K