H O R M U Z

12.3K posts

H O R M U Z banner
H O R M U Z

H O R M U Z

@SyntaxError01_

Calm & Composed

United Kingdom Sumali Temmuz 2018
1.8K Sinusundan1.6K Mga Tagasunod
H O R M U Z
H O R M U Z@SyntaxError01_·
@swahilitimes Jukumita acheni kudeka, mkiambiwa ukweli mnatoa milio, wakati vimedia vyenu uchwara vinachagua nini cha kuripoti, kuna habari ngapi zenye maslahi ya Umma hamuzipatii Eataimu? Takataka🚮
Indonesia
0
0
2
287
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) imetoa wito kwa vyombo vya habari kutompa ushirikiano Mkurugenzi Mtendaji wa Benchmark Production, Rita Paulsen (Madam Rita), hadi atakapoomba radhi kufuatia kauli aliyotoa dhidi ya chombo cha habari ambayo wameeleza si ya kiungwana. JUMIKITA imesema kitendo kilichofanywa na Madam Rita kinadhihirisha ukosefu wa adabu pamoja na kutoheshimu vyombo vya habari.
Swahili Times tweet media
Indonesia
85
27
653
70.5K
H O R M U Z nag-retweet
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Tuseme ukweli. Wafanya kazi wa serikali HAWAFANYI KAZI. Ni moja ya kundi la watu linalokula good time katika haya maisha. Sio kweli kwamba madaktari hawapo. Wapo ila kila huyo ni mkubwa na wana siku zao za kazi. Mtumishi wa kata nae anabiashara zake( mara ana ki gari anaendesha siku nzima) Mwalimu anafundisha kidogo anachukua probox yake anaenda kupiga hela. Serikali ina usimamizi hafifu sana juu ya watumishi huko makazini. Huko halmashauri watu wanakula maisha tu.
Filipino
90
70
705
33.8K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Wilson Oruma na wenzie watatu jumla wanakuwa wanne kuanzia kesho mtaona vitendo...Sina shaka na hili ✅️ Mashaka yangu ni pale ambapo Simba nao watakuja na maamuzi kama haya ni wachambuzi wangapi tutaona vitendo...? Nawaza kina Dominic Salamba, Hans Raphael, Ibrahim Ambokile,Zuberi Mkalaboko,Nasri Khalfan, Oumar Bulla na wengine kibao watasalimika kweli hapa...? Kwa muda mrefu kuna timu inamlipa mtu anaejiita shabiki wa Simba ili avae jezi ya Simba na kuwatukana viongozi wa Simba? Naambiwa Kina Ambokile na Mkalaboko sio Iftar tu, wanalipiwa mpaka ticket za ndege kwenda kwenye mechi za Yanga halafu baada ya hapo ni maandiko mfululizo ya kuinanga Simba etc Kabla hawajamfungulia mashtaka @mzeewajambia Wawashauri kina Ambokile wafute maandiko yao Instagram ili kuepusha shida nyingine. #Mwisho: Huu ndio utofauti wa Ali kamwe na @ahmedally_ Jiulize @mchomemapovu ndio angekuwa anaisema Yanga akiwa amevaa jezi ya Yanga kwa roho ndogo ya Ali Kamwe Mchome si angeozea jela?
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
44
6
107
13.1K
H O R M U Z nag-retweet
kemboi
kemboi@Cfc_Kemboi·
Arsenal 0-1 Bournemouth Man City 2-1 Arsenal Arsenal 0-2 Newcastle Arsenal 1-2 Fulham West Ham 1-0 Arsenal Arsenal 0-0 Burnley I am from the future
English
793
3.4K
22.2K
967.9K
H O R M U Z
H O R M U Z@SyntaxError01_·
@Oktoba29 Sitoshangaa kama Kisabo amefika bei, I know the guy, tangu tuko primary.
Filipino
0
0
14
1.2K
Hasta La Victoria Siempre
Kisabo kuna kitu hakiingii akilini. Umeenda kumuona Lissu gerezani bila shida Wala usumbufu wowote "SIO KAWAIDA" Mawakili wengine walilalamika Sana kutopewa faragha ya kuongea na Lissu Magereza walikuwa wakisikiliza. Yaani ulivyoenda ni ki-VIP mno Kama alivyoenda Mbowe. Idky
Hasta La Victoria Siempre tweet media
Filipino
33
66
558
25.5K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Baadae utasikia “Watanzania naombeni msaada wenu. Nina kansa ya mkundu”.
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
290
137
1.4K
78.4K
H O R M U Z
H O R M U Z@SyntaxError01_·
@therealrigoh Kuna mmoja yuko basi la Nyehunge, Mwanza-Moro. Ni mkali balaa. Ila nilimwambia aache kazi kama vipi😂
Indonesia
1
0
1
56
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Mademu wanaofanyaga kazi ya ukondakta kwenye ma-buss makubwa,wakishakaaga pale mbele pembeni ya dereva wanaonaga kama Yale magari ni yakwao 🙌🚮
Indonesia
41
37
446
23.9K
H O R M U Z
H O R M U Z@SyntaxError01_·
@YerickoNyerereT Uko Chaumma ila kutwa kucha CDM, kwanini haya malalamiko, familia wasiyapeleke ACT na ACT ndo walalamike? 🤣 Acha shobo mzee, umeshajiengua tulia kinyex.
Filipino
0
0
0
8
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ziko taarifa kwamba michango ya Marehemu Bungara (Bwege) iliyokusanywa mamiliomi na chadema kanda ya Pwani haijafikishwa, Familia inasikitika kutumia msiba huo kujipatia pesa bila kufikisha kwao.
Indonesia
102
21
53
16.3K
H O R M U Z nag-retweet
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Dogo amelelewa bhana🤝🤝🤝!!
Indonesia
15
57
427
17.6K
H O R M U Z nag-retweet
MfinaWiiiseeee
MfinaWiiiseeee@mfinanga_rm·
Ili kudhibiti na kubana matumizi ya mafuta katika kipindi hiki, ni vyema Serikali ikafikiria kusitisha Mbio za Mwenge. Hatua hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza matumizi ya mafuta.
Indonesia
26
45
362
15.5K
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Bongo watu wengi wamefariki kwasababu ya ukosefu wa vipimo sahihi hospitalini.
Indonesia
52
96
799
21.8K
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
Kwako ndugu Gavana wa Benki Kuu, Emmanuel M. Tutuba na Waziri wa Fedha, Mhe. Khamis Mussa Omar, Watanzania tulio wengi tunategemea mtukamilishie ndoto hii kabla mpendwa wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan hajastaafu.
Nyani Ngabu tweet media
Indonesia
153
20
114
27.6K
H O R M U Z nag-retweet
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
KIBERENGE CHA TAR 10-12.🧘🏿‍♂️🪐💰 SPORTYBET🇹🇿: 5L0M6R -Odds 100🔥 5VWZ87 -Odds 50 (Edited&chopped from 100) ZA LEO LEO; 659JB5 -Odds 40🔥 NB: NON BELIEVERS usibet hii, kama huamini unaweza tusababishia lose soma “Yakobo 1:6-8 | James 6:8”.🫵🏿
English
24
83
281
21.4K
H O R M U Z
H O R M U Z@SyntaxError01_·
@kayange @HecheJohn Wamiliki wa magari wanafanya biashara hawafanyi Charity, kumbuka hao wameweka mitaji, wamesafirisha kwa hasara na bado unataka waendelee kuchoma mitaji!? Bure kabisa🤣
Indonesia
0
0
0
18
PLeaBargain
PLeaBargain@kayange·
@HecheJohn @HecheJohn unaunga mkono bei ya nauli kupanda? Kama Latra wanasemq bei bado ina range kwenye vikokoto vyao why upinge ? madereva na makonda ndiyo wanaleta hii chokochoko ...Haya bei ya mafuta ikishuka watashusha nauli? Badilikeni siyo kila shambulio kwa serikali kwenu iwe hoja
Filipino
3
0
0
290
Buba9️⃣9️⃣
Buba9️⃣9️⃣@massuidentity·
Msaada hapa wakuu mimi sijasoma magari ya njano Kidemu changu cha kishua kimetuma txt inasema “LMAO” Kanamaanisha nini? msaada tafadhari wapwa.
Indonesia
41
13
249
33.5K
H O R M U Z nag-retweet
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kuna wale watu wanaheshima zao kwenye Jamii afu gafla unakuja kumuona live anavuta SIGARA—huwaga inachosha sana. Mfano kuna siku niliona video ya LUGUMI anavuta sigara nilichoka aisee. Kipindi hicho nafuatilia kandanda, mtu niliekuwa namkubali ni HAJI MANARA, nae nikaja kuona anavuta SIGARA nilichoka. Kuna siku tena nikamuona yule Gerald Hando anavuta vile vivespa sijui msibani mbele za watu—vile ni ishara ya kukata kiu ya FEGI nilichoka. Hii starehe ya kuvuta CHIGA (SIGARA) ni ya kipumbavu—hili halina MJADALA.
Filipino
168
127
1.3K
117.3K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Kigogo Kandarasi imeisha au invoice imechelewa kutoka? Sisi si wajinga bana 😂
Indonesia
25
13
237
9.7K
H O R M U Z nag-retweet
L.A. Clips
L.A. Clips@LukakuNotRomero·
The night king didn't touch Jon Snow doesn't mean he is his father... Khal Drago killed Rhaeger Targeryen. So how could he be the night king
English
22
38
431
107.7K