Rubbish. Hauwezi kuruhusu utekaji, ila uliruhusu mauwaji ya alaiki Oktoba 29. Unaenda kwenye historia ya Tanganyika kama CDF wa hovyo kuwahi kutokea. Tungekuona wa maana ungeanza kudeal na wakina Mafwele, Muliro, Awadhi Juma Hajji nk...
Asante sana, Dr. Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wetu wa Chama na Wajumbe wa Vikao kwa Imani Kubwa. Imani ulipwa kwa Imani, Sintowaangusha. Tutanadi na Kuelimisha Umma kuhusu Ilani kwa Uzuri na Njia Bora Zaidi.
@TheChanzo Hana akili. Media is anything that supports life of an organism. Eg. in laboratory when one need to test if you have a TB or what they took your sample and put them in a media, after few hours they will grow and being able to be detected or seen by a microscope.
Mchoraji oyeeee
Balile ang'aka vyombo vya habari kuchorwa kama 'toilet paper', asema watafanya uchunguzi.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile, amekosoa mchoro uliobuniwa na mbunifu mbobevu Masoud Kipanya ukionesha vyombo vya habari kuwa vinatumika kama toilet paper Tanzania.
Balile ameyaongea haya katika kuhitimisha kikao cha Wizara ya Mipango na wahariri juu ya Dira ya Taifa.
"Ni tabia ya hovyo kidogo kwamba baadhi ya watu wanadhani wakiwatukana wenzao basi wanapata heshima na kuheshimika katika jamii na pengine kuwapelekea wafadhili kuwaonesha kwamba wao ndio kazi zinavyofanywa vizuri wakiwa wameweka rangi za upinde wa mvua," ameeleza Balile.
Na kuogeza: "Na wengine hawa wanaofanya hivi tutafanya utaratibu wa kuwachunguza kama wako sawa sawa, wanafanya kazi ya uandishi wa Habari au wanafanya uwakala wa kutumikia watu ambao baadae wanapeleka maehesabu."
@chacha_heche@PMadeleka@ChademaTZ2 Kuna kazi nikipewa nitaikataa kwa umri wangu wa miaka 47 namshuru sana mungu sijahusika katika mision yoyote ya kuutoa uhai wa mtu namshukuru sana mungu nadhani niendako ni pafupi kuliko nilikotoka
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imeendelea kupata tathmini chanya kuhusu uwezo wake wa kukopesheka katika masoko ya kimataifa, hali inayoashiria imani ya jumuiya ya kimataifa juu ya uchumi wa nchi.
Ameyasema hayo leo Juni 12 wakati akiwasilisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026 Bungeni jijini Dodoma.
“March 2025, kampuni ya Moody’s Investors Service ilifanya zoezi la mapitio ya kwanza ya tathmini ya nchi kukopesheka katika masoko ya fedha ya kimataifa kwa mwaka 2025, baada ya kukamilika kwa zoezi hilo, kampuni hiyo ilichapisha matokeo ambayo yameendelea kuiweka Tanzania katika daraja la B1 kama ilivyokuwa kwa matokeo ya mwisho ya mwaka 2024”
“Aidha, kampuni nyingine kubwa ya Fitch Ratings inaendelea na mapitio ya kwanza kwa mwaka 2025 na inatarajia kuchapisha matokeo hivi karibuni, kampuni hiyo ilichapisha matokeo ya mapitio ya mwisho Desemba 2024, ambapo iliiweka Tanzania katika daraja la B+.
“Matokeo ya tathmini ya nchi kukopesheka katika masoko ya mitaji ya kimataifa yanaendelea kuipa taswira chanya nchi yetu katika medani za kimataifa, matokeo hayo ni bora kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, pamona na mambo mengine, matokeo hayo yamechangiwa na jitihada za Serikali inayoongozwa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa sekta binafsi, kukuza uchumi, kusimamia kwa makini deni la Serikali na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa”
“Serikali itaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ili kuhakikisha deni linaendelea kuwa himilivu ikiwemo, kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kupunguza utegemezi wa mikopo katika ugharamiaji wa bajeti, kuelekeza fedha za mikopo katika miradi inayokuza mapato ya ndani na mauzo ya bidhaa na huduma nje ya nchi na kuendelea kuwahimiza Maafisa Masuuli kuzingatia maandalizi ya msingi ya miradi kabla ya kuingia mikataba kwa mujibu wa sheria, kanuni na miongozo iliyopo ili kuepuka ongezeko la gharama za mradi unaokopewa fedha” ——- Waziri Mwigulu
#MillardAyoUPDATES
I was in the same damn flight 2 hours before it took off from AMD. I came in this from DEL-AMD. Noticed unusual things in the place.Made a video to tweet to @airindia i would want to give more details. Please contact me. @flyingbeast320@aajtak@ndtv@Boeing_In#planecrash#AI171