Juma Wickama

5.6K posts

Juma Wickama banner
Juma Wickama

Juma Wickama

@wickama

Soils & Land Degradation Scientist, Former Researcher at TARI-Tz (Rtd), PhD, Wageningen University & Research (WUR), Netherlands.

Tanga, Tanzania Sumali Nisan 2009
3.8K Sinusundan8.6K Mga Tagasunod
Naka-pin na Tweet
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
Kuna mahali (Rorya) nina shamba. Nikataka kuchimba kisima cha gari. Wenyeji wakanitonya kuna dogo anapima maji kwa simu ya kitochi na kuchimba. Nikakataa. Ila nikampa fursa. Kaja shambani, namuona anazurura na simu akachagua site & kuanza kuchimba. Huyoo anarusha maji 🤣🤣🤣👍
Juma Wickama tweet media
Indonesia
123
168
1.5K
148.3K
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
@Caibunku Nadhani gharama ya kisima siyo kwa mita au mimi ndio nimekosea? Haiko clear sana
Filipino
0
0
0
10
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
Linganisha (google) bei za kuchimba visima virefu mashambani (kwa metre) kwenye baadhi ya nchi zetu humu Africa. Inaelekea kwa baadhi (Kenya, Nigeria, Afrika Kusini etc) ni nafuu. Bongo tunaelekea ICU. Sasa Chimba kisima 100m. Hapa, bila msaada wa kisheria hapa hatutoboi!
Juma Wickama tweet media
Indonesia
5
1
8
783
The Bullet
The Bullet@blaque_carter·
@wickama Nilikutana na hii kitu wiki kadhaa zilizopita. Tulikuta mboga iliyobaki ni Maini, jamaa akakataa kabisa kula ilibidi ikatafutwe mboga nyingine.
Indonesia
3
1
44
10.7K
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
Kama una rafiki ambae ni mkaguzi wa nyama muulize ni kwanini wakaguzi WENGI hawapendi kula maini japo yana bei juu na virutubisho kibao. Kuna jambo halipo sawa. Ila sijamkataza mtu kula maini. Mwenyewe siku moja moja nayala
Juma Wickama tweet mediaJuma Wickama tweet media
Indonesia
74
48
712
71.9K
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
Tahadhari kwa wafugaji wa Mbwa: Mbwa especially madume wana tatizo la ku-handle upweke (loneliness/isolation) wa muda mrefu. Ikitokea kuna jike mitaa ya jirani ambaye kaingia kwenye joto huku huyu dume wako yupo kwenye kibano upo uwezekano wa kukulipiza kisasi na kukuumiza
Juma Wickama tweet mediaJuma Wickama tweet media
Filipino
5
3
112
12K
Asombwile David
Asombwile David@ASOMBWILE·
@wickama Sisi tuna madume mawili na miaka takribani mitano yamebanwa sema moja ndio lili wahi kuruka ukuta asubuhi tukalikuta nje
Indonesia
1
0
1
809
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
Breeding programme (mbuzi) iliyofanikiwa sana barani Africa ni ile ambayo mbuzi wazawa (S. Afr) walipandishwa na wa nje hadi kupatikana Boer Goats (kushoto) na Kalahari Goats (kulia). Hawa mbuzi wana nyama nyingi, wanakua haraka na wanalipa. Kwetu (EA) wapo. Ila epuka matapeli!
Juma Wickama tweet mediaJuma Wickama tweet media
Indonesia
7
20
111
12.2K
Ampurire
Ampurire@Ampurire346352·
@wickama Hw much is one,and hw can I get it?
Uganda 🇺🇬 English
1
0
1
379
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
@Mushi_plus Panda na miti ya malisho (forages/fodder trees) ndicho mbuzi wanapenda kupita majani 100%
Indonesia
2
1
7
531
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mwaka 1978 Kenya katika mashindano ya mpira ya klabu bingwa afrika mashariki walikuwa na mchezaji anaitwa Otieno Mboo. Walifanikiwa kufika fainali. Lakini huyo mchezaji aliumia mechi ya Nusu fainali, Magazeti ya Kenya yaliandika vichwa vya habari visemavyo, WAKENYA KUCHEZA BILA MBOO, Raisi akazuia magazeti yote na kusema warekebishe hiyo sentensi. Walibadilisha na kesho yake kuandika WAKENYA KUCHEZA MBOO NJE. Siku ya mechi Wanawake walifurika Uwanjani kuona mpira!!!!!
Indonesia
20
4
49
12.1K
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
@Albertjk_tz Ni watamu ndio japo simjui mbuzi atakayekataa kuwa mtamu akikutana na wachoma nyama wa Arusha
GIF
Indonesia
1
0
5
540
The Wolf
The Wolf@gambasaidi·
@wickama Ushauri usichanganye FHIA na Mzuzu... Mzuzu hazitokubali
1
0
2
24
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
Tunajaribisha migomba aina ya FHIA 17 & MZUZU wilayani Rorya. Prayers!
Juma Wickama tweet mediaJuma Wickama tweet media
Indonesia
2
4
27
1.5K
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
Plantains: Farmers' very reliable ATM
Juma Wickama tweet mediaJuma Wickama tweet mediaJuma Wickama tweet mediaJuma Wickama tweet media
English
1
3
25
1.4K
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
@Hunter30063085 @IamMadamAkinyi Kuna sites nyingi especially za Kenya zinajitangaza kuwauza. Lakini kuwa makini na scammers. Bei zao zinaanzia Kes 40k kwa ndama na kuendelea
Filipino
1
0
2
87
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
Nchini Kenya kuna-trend sana ngombe aina ya Girolanda kutoka Brazil. Girolanda wanaotokana na Gir (India) na Friesians (Uholanzi). Ni uhimilivu sana wa joto, magonjwa ya kitropiki huku wakitoa maziwa mengi (30lts+/day). Mnunuzi fuatilia wauzaji waliohakikiwa. Scammers wapo!
Juma Wickama tweet media
Indonesia
4
26
167
7.4K
Santami
Santami@Sir_decco·
@wickama Magonjwa ya kitropiki😂😂eii Tanzania
Indonesia
1
0
2
225
YAH ABONG'
YAH ABONG'@IanKODHIAMBO·
@wickama I am building my own version of "Girolando" from scratch. I am using Small East African Zebu and Serve them with Holsten semen
English
1
0
5
278