This.Is.Solar retweetledi
This.Is.Solar
4K posts

This.Is.Solar
@through_solar
Human Security* Climate Actions* Sustainability* Responsible Tourism* Child Protection* Women & Youth Inclusion Policy Analysis* Capacity Building*
Tanzania Katılım Ağustos 2011
3K Takip Edilen597 Takipçiler

@wickama @Mushi_plus Daktari naomba mawasiliano yako. Nahitaji hao mbuzi
Indonesia

@Mushi_plus Panda na miti ya malisho (forages/fodder trees) ndicho mbuzi wanapenda kupita majani 100%
Indonesia
This.Is.Solar retweetledi

CONFIRMED: #AFCON2027 will be held 19th June - 18th July 2027 across Uganda 🇺🇬, Kenya 🇰🇪 & Tanzania 🇹🇿.
Uganda will host games at the Mandela National stadium and Hoima.
English
This.Is.Solar retweetledi

🚨BREAKING: Ghana becomes the first African country to integrate payment into its Citizens' Identity Card, ditching US-based payment giants Visa and Mastercard in Africa
The card is now widely accepted in over 200 countries for online, in-store, and ATM use. It allows for secure purchases, international payments, and offers perks like insurance and emergency assistance.
Ghana Card holders can activate their card using the MyCitizens App or by dialling *402#


English
This.Is.Solar retweetledi

VIDEO:
Katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Hayati William Vangimembe Lukuvi, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Padre Denis Wigira, ametoa fundisho kali kuhusu thamani ya kipekee ya kila mwanadamu.
Akihutubia waombolezaji leo, Machi 28, 2026, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, Paroko Wigira amewatahadharisha Watanzania dhidi ya tabia ya kutambua thamani ya mtu kama William Lukuvi baada ya kifo chake, huku wakati wa uhai wake wengine wakishindwa kufanya hivyo.
Wigira amemuelezea marehemu kama mtu aliyeishi thamani hizo katika utumishi wake serikalini, katika imani ya Kanisa Katoliki, na katika maisha ya ndoa na familia.
Amesema kifo cha kiongozi huyo kinapaswa kuwa darasa la kutufundisha kuishi kwa huruma na upendo.
Indonesia

@MabalaMakengeza @Udadisi May be local livestock keepers arent aware of the rules of the game
English

Once again we should invest IN the Maasai and other pastoralists instead of hounding them to bring in other investors. Our natural resources are not just minerals.
Why Tanzania still imports milk despite abundant livestock thecitizen.co.tz/tanzania/news/…
English

@churchtalkative @ronaldnzimora Religions are human-made institutions. So expect flaws and imperfections. However, if you don't know the beginning (where we came from) and the end (where we go after death) then believe there is GOD who knows and answers all that!
English

War is not the answer. Humanity is. #PeaceNotWar 🕊️
English

📍 Dar es Salaam
▪️SERIKALI YAENDELEA KUJIDHATITI UDHIBITI WA MAGONJWA ADIMU
Serikali kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo katika Sekta ya Afya, inaendelea kujidhatiti kwa kuimarisha mifumo ya huduma za afya kupitia tafiti mbalimbali ili kuhakikisha wagonjwa wenye magonjwa adimu wanapata huduma stahiki kwa wakati.
Hayo yamesemwa leo Machi 4, 2026 na Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe wakati akifungua Kongamano la 16 la kusambaza matokeo ya tafiti za magonjwa adimu lililofanyika Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) jijini Dar es Salaam.
"Serikali inayapa uzito stahiki magonjwa haya adimu, ili tuweze kuyashughulikia kwa kina na upana wake, kwa kushirikiana na Taasisi kama Ali Kimara, sekta mashirika na sekta binafsi tutawafikia watoto wengi zaidi," amesema Dkt. Magembe.
Aidha, Dkt. Magembe amesema hadi kufikia Desemba mwaka 2025 zaidi ya wataalamu wa afya 200 katika vituo 14 walikuwa wamepatiwa mafunzo ya kuanzisha vitengo vya tiba ya magonjwa adimu ikiwemo 'hemofilia' kuanzia ngazi ya msingi.
"Serikali imeshachukua hatua za kujenga uwezo wa maabara yetu ya Taifa, mafunzo kwa wataalamu wa Afya na kuanzisha vitengo maalum vya matibabu ya magonjwa adimu kuanzia ngazi ya msingi (Zahanati, kituo cha afya na hospitali za wilaya), tulianza na Seli mundu (Sickle cell) na sasa Hemofilia ambapo tayari wagonjwa 500 wamegundulika na wanaendelea na tiba,” amesema Dkt. Magembe.
Pia, katika Kongamano hilo Dkt. Magembe amewataka wataalamu hao wa tafiti wakiwemo MUHAS na NIMR kujadilina kwa kina na kwa uwazi kujua mafaniko, changamoto na kutoa mapendekezo na kuyawasilisha Serikalini yaweze kufanyiwa kazi.
Kongamano hilo limeandaliwa na Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS) kwa kushirikiana na Taasisi ya Ali Kimara Rare Disease Foundation (AKRDF).




Indonesia
This.Is.Solar retweetledi

I insist. True Wisdom lies in choosing your bettle carefully.Not every challenge deserves your energy and not every contest is meant for you.
Tatizo tunashindwa kutofautisha Chuki na Uwajibikaji....Uzembe na Uzalendo.
Tunawanyima uhuru wa Mwili wenye Uhuru wa fikra na kuwapa Uhuru wa Mwili waliokufa dhamiri zao
BAK MWABUKUSI

Indonesia

@PolycarpMDM Sasa kwanini wafunge barabara zote hizo wakati inatumika moja??
Filipino

@shibobo___ @UlrickTumaini Masihara na kuwa strategic ni mtazamo wako
Filipino

@shibobo___ @through_solar Ingekuwa hivyo watu wengi wangekuwa wanafanya biashara ya viwanja
Indonesia














