Jefesanto Jr

4K posts

Jefesanto Jr banner
Jefesanto Jr

Jefesanto Jr

@Isiakamunga13

Success is the maximum utilization of the ability that you have..,Dinero..💰 Poder..💪 Respeto..🙋 Humanidad..🤝 Soy cambista!..Allergic to the haters type 😠

Zanzibar South and Central, Ta شامل ہوئے Ekim 2016
241 فالونگ140 فالوورز
پن کیا گیا ٹویٹ
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
Laiti kama VIONGOZI WA SERIKALI TZ, Wangekuwa Fair, Wana LOVE, CARE n RESPECT for their people,..9 December ingekuwa Linanukia PILAU kila Nyumba mitaani, but their selfishness turn people into...Watanzania especially MASIKINI don't feel Nothing 4 their country!🤔🚶‍♂️
Filipino
1
3
7
0
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@engassa08 @EsirEid Nani kakudanganya mwenye fedha za kuchezea atashare ili kuondolea wengine umasikini e.g serikali yetu usema blah blah kuhusu kukwamua uchumi wa mtu 1 1 but utumia mabilioni linapotokea jambo fulani lisilo faida kwa wasiojiweza e.g kununua magoli
Indonesia
0
0
0
2
Edward
Edward@engassa08·
@Isiakamunga13 @EsirEid 1. Unalindaje brand wakati mtu kashakufa? 2. Unapataje aibu wakati unajua ukiingia vitani ni kufa au kupona? 3. Wangekua na fedha za kuchezea maskini wasingekuepo nchi zao
Indonesia
1
0
0
4
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Benjamin Netanyahu alifariki tarehe 8 Machi. Hii ndiyo sababu Yair Netanyahu (kijana wake) alichukua mapumziko yasiyo ya kawaida ya siku 7 kwenye X, kwa ajili ya kipindi cha maombolezo cha Kiyahudi kinachoitwa shiva. Aliandika mara ya mwisho tarehe 8 Machi, kisha akasubiri siku 7 kamili hadi tarehe 15 Machi ndipo akaretweet post😅
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Indonesia
66
21
402
34.4K
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@WorldSports14_ Kwa kauli km hizi ndipo huwa nawadharau viongozi n mashabiki wote wa MAKOLO😂
Filipino
0
0
0
114
WorldSports14
WorldSports14@WorldSports14_·
“Tunategemea mechi zote Pamba wacheze hivi” —Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC,Crescentius Magori baada ya kutoka sare ya 1-1 na Pamba jana.
WorldSports14 tweet media
Filipino
44
5
253
11.3K
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@EduTalkTz MWENYEZIMUNGU ni wa mwanzo bila chanzo na wa mwisho pasi n ukomo, kutokumjua MWENYEZIMUNGU ndipo kumjua kwenyewe n kutaka kujua zaid upelekea kumkufuru..."na wala msibishane juu ya yanayohusu ALLAH n dini pasipo elimu📌
Indonesia
0
0
0
17
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Mtu ananimbia “kama huamini Mungu yupo, tuambie wewe chanzo chako ni nini?” Nami namuuliza “kwani yeye Mungu chanzo chake ni nini?” Ooohhh unakufuru. Nakufuru kuuliza swali hilo hilo uliloniuliza? Mtu ananiambia “kama sayansi ina ubavu, kwa nini haijazuia kifo?” Nami namuuliza “yeye Mungu ameweza kuzuia kifo? Hakikumuua mpaka mwanaye?” Ooohhhh acha kukufuru! Nakufuru kwa kukuuliza swali hilo hilo unaloniuliza?? Mtu ananiambia “ukiumwa ndio utajua umuhimu wa Mungu, una kiburi cha uzima.” Namuuliza, “kwa hiyo wote waliolazwa mahospitali kila kona hawamjui Mungu?” Basi nami ni zamu yangu kuuliza: Huyu Mungu hawezi kujisemea? Kwa nini nilaumiwe kwa kuhoji masimulizi yake ikiwa yeye mwenyewe hataki kujisemea? Je, napaswa kumwamini Nabii Zumaridi aliyesema amekutana na Yesu wakapiga story? Kwa nini asinijuze moja kwa moja yale anayotaka niyajue kuhusu yeye? Hana uwezo huo?
Indonesia
90
12
138
16.3K
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
Wala msilegee, wala msihudhunike kwani nyinyi ndiye wa juu mkiwa ni WAUMINI📌
Indonesia
0
0
0
1
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
Na ufalme wa mbingu na ardhi ni wa MWENYEZIMUNGU tu, na MWENYEZIMUNGU ni muweza juu ya kila kitu📌😊
Indonesia
0
0
0
4
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@millardayo Wakishatoka utujengea dharau tuliobaki but yakiwakuta utulilia n kututaka maombi, "Ama kwel mtu sio mbwa📌
Indonesia
0
0
0
49
millardayo
millardayo@millardayo·
Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Mohammad Javad amesema Wanafunzi Watanzania waliopo Nchini Iran wapo salama na kwamba hajapokea taarifa yoyote mbaya kuhusu Watanzania wanaoishi au kusoma huko na kwamba kitengo cha kibalozi kiko tayari kutoa msaada wowote unaohitajika. Balozi Mohammad Javad, ameieleza hayo @ayotv_ katika mahojiano maalumu Ubalozi hapo ambako umefungua kitabu cha maombolezo kuanzia Machi 4 hadi 6 kufuatia kuuawa kwa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei. Aidha, ameeleza kuwa wameweka namba ya dharura kwa ajili ya mawasiliano ya haraka kati ya Tanzania na Tehran na kuwahimiza Watanzania wenye Ndugu au Jamaa walioko Iran kuwasiliana na Ubalozi iwapo watahitaji ufafanuzi au msaada. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
4
10
224
15.4K
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@EsirEid @DullahTheking2 KIFO KIFO KIFO Kuhisi uzito wa kifo hudhuria kuosha maiti unayemjua Ili kuhisi uzito wa kifo hudhuria kuingia ndani ya kaburi la maiti unayemjua Kadhalika kutambua ujuu n uvimbaji tunaojipa kisa mali, elimu, fame ni bure hudhuria MAKABURI Huwezi ku differ who was which📌
Indonesia
0
0
0
38
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Personally i think it's bad to live in a world where USA and ISRAEL can just randomly murder the leader of another country based on false pretexts and with No legal authority of any kind and get away with it… Today is IRAN tomorrow it might be your country or Leader. Innalilahi wainna ilaihi Rajiu’n- Imam Ayatollah KHAMENEI🙏🏽
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
English
178
59
576
38.7K
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@SB_Ladder Acha kujidanganya unavyotoa zaidi ndo baraqa huongezeka, hela haijawahi kutosha n hatuijui siku ya kufa, ridhika, saidia📌
हिन्दी
1
0
1
6
Small Business Elevator
Small Business Elevator@SB_Ladder·
Ilinichukua muda kuelewa kuwa siwezi kusaidia familia yangu kabla sijajiinua mwenyewe. Nikijaribu kuwavuta bila kusimama imara, nitabaki palepale kwa muda mrefu zaidi.
Indonesia
1
10
61
1.7K
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@CFC_Boey Usifosi mambo ukiona anakuzuia hata kutia dole vunga😂
Suomi
0
0
0
194
𝐌𝐚𝐱𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧 👑
Guys kama wewe ni Mwanaume tafadhali naomba usome huu Uzi kunakitu cha kujifunza.🍿 Swali lili ulizwa mjini Tiktok kama unavyo ona kwenye picha hapa chini Wadada wamejimaliza kwenye comment vibaya mno tuna kizazi cha hovyo sana "especially kwa waowaji." Thread 👇🍿
𝐌𝐚𝐱𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧 👑 tweet media
Indonesia
53
43
276
62.6K
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
Ujuaji wetu sura utupelekea makosa ya kumtangulia au kwenda sawa n IMAM🫵🤔
Indonesia
0
0
0
3
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@MrDepalitto9 Wewe tu ndo unaliwa vyako mzee nmeikula pisi kaliiii kwa 17k total over 2 weeks comms😂
Filipino
0
0
0
1
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Mapenz ni utapeli bora kununua Malaya unanunua 10k kila wiki kwa mwezi 40k Mpenzi akija geto 50k inadondoka kula vizur nauli n.k bado hela ya kusuku 30k+ unaweza jikuta kwa mwezi unatumia 100k+ wkt kununua ni 40k. Acheni Kutongoza madem wa kitaa nihatari san kwa uchumi wenu
Indonesia
29
25
483
28.4K
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@OleSangka Huwa nabeba pesa mbuzi tu wallet naacha home😂
Filipino
0
0
10
2.9K
Olesangka
Olesangka@OleSangka·
Mjini Daslam kuna hizo barbershop ukifanya makosa ukakubali kuvuliwa shati na wale wadada warembo kitakachokuokoa ni maombi ya mama mzazi basi man, ogopa ukishatolewa shati wanaanza kuongelea puani sauti kama hazitoki vizuri salaleeee😂😂😂🙌🏾
Indonesia
48
37
713
62.4K
Jefesanto Jr
Jefesanto Jr@Isiakamunga13·
@EsirEid Aje n bongo huku atawamaliza mpaka vizee😂
Indonesia
0
0
1
500
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya A Russian Guy kaenda Kenya Kawakula Wanawake sio Poa… Kitu kizuri ni kwamba wote aliowakula ni WASIMBE! Ndio maana kila siku nawaonya kuhusu WASIMBE… wananjaaaa Kali na kizungu Uchwara 💔 Nmekuwekea VIDEO zake zote hapo chini👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Indonesia
153
84
793
167.3K
TOXIC DAWG
TOXIC DAWG@iMajeshi_·
Mwanamke akikupenda kuna mambo lazima uyaone tu, kwa mfano; 1. Atakuwa atakuheshimu. 2. Atakupa zawadi (inaweza isiwe mara kwa mara ila atakuwa anakupa.) 3. Atafanya mapenzi na wewe mara kwa mara. Kama mwanamke wako kuna kitu hakupi kati ya hivi vitatu, ujue huyo msenge HAKUPENDI na anakutumia kwa maslahi yake binafsi.
Indonesia
31
48
254
17.5K