Edward
72 posts


@engassa08 @EsirEid Kwani Samsung S21 ultra ni ya Saudi Arabia au Palestine?
Filipino

#TajiriLaKihaya
BREAKING🚨
Eid Al Fitr 1447/2026 is on Friday, 20 March 2026.
May Allah accept our fast and prayers🙏🏽

English

@Isiakamunga13 @EsirEid 1. Unalindaje brand wakati mtu kashakufa?
2. Unapataje aibu wakati unajua ukiingia vitani ni kufa au kupona?
3. Wangekua na fedha za kuchezea maskini wasingekuepo nchi zao
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Benjamin Netanyahu alifariki tarehe 8 Machi.
Hii ndiyo sababu Yair Netanyahu (kijana wake) alichukua mapumziko yasiyo ya kawaida ya siku 7 kwenye X, kwa ajili ya kipindi cha maombolezo cha Kiyahudi kinachoitwa shiva.
Aliandika mara ya mwisho tarehe 8 Machi, kisha akasubiri siku 7 kamili hadi tarehe 15 Machi ndipo akaretweet post😅

Indonesia

@EsirEid Ukute wanatengeza clone then wazike kimya kutuaminisha hajafa😂
Indonesia

@EsirEid Is it 2026? Kwanini tunatumia kalenda ya makafiri Tajiri
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Iran si dhaifu kama watu wanavyofikiria.
Maafisa wakuu wanapouawa: mfumo unaendelea kusonga mbele.
Wamejenga mipango ya urithi wa uongozi hadi ngazi ya Saba kwa kina.
Kila nafasi muhimu tayari ina watu Saba wa kuchukua nafasi hiyo.
Haya yote yamepangwa mapema kwa sababu mwendelezo wa uongozi umejengwa ndani ya mfumo wenyewe.
Hata kupoteza viongozi hakuvunji muundo wa mfumo.
Badala yake, wanaamsha ngazi inayofuata.
Hiyo ndiyo maana halisi ya Resistance.
Hebu fikiria hadi kufikia leo Mawaziri na wanajeshi wakuu wangapi wameuawa,hata kabla ya hii Vita?
Mwaka jana walipoteza hadi Rais wao hawa kwa ajali ya ndege😅 ila IRAN ipo tu!
Mtu akishateuliwa Cheo chochote kile Tayari anajua muda wowote atauawa…
Indonesia

@engassa08 @Psiteshio1 Yaaani mtu aone hela haf aje akuite ww mtu baki
Indonesia

Online nimefanya kazi na watu wa mataifa mengi ikiwemo Argentina, Nigeria, Kenya, Ghana, India, US, UK, Canada, Indonesia, China, Bangladesh nk
Niseme Tu Tanzania ndio hakuna muamko WA kitu kinaitwa maokoto ya online.
Katika mataifa yote hayo hapo na mengine nimependa spirit ya Bangladesh Bana
Hawa wanapiga kazi kama mchwa, Raha kubwa wao hawaangalii inalipa TSh ngapi
Imagine logo za $2 wanaenda
Websites za $50
Pia wako advanced kwenye mambo mengi ambayo hapa hatuwezi solve
Nakuambia hivi watu kama Wakenya au Nigeria Sio kwamba wengi wao wanajua digital economy, HAPANA
Lakini Wana muamko mkubwa Sana, ukimwambia kuna deal la $100 hapa Kwa siku anakumbia leta
Mtanzania ukimwambia hivi utasikia oooh
.....unataka kufanya watu fursa
..... Haiwezekani
..... Hizo ni story
...... Scam
Na mambo mengine mengine,
Inshort hatuna muamko mkubwa kwenye haya mambo
Nani alituaminisha online NI sehemu ya kusoma udaku?
Indonesia

@Psiteshio1 Sasa unaumia nn si upige hizo hela kimya kimya utulizane au why unatulazimisha na cc tuamke while tumelala ziiiiiiii
Filipino

@JacksonSadalah @McinikaWaLamar @rezam06 @chandolaptop @SadickTusia 😅😅😅
Hata mm sijaelewa au laini zinapishana mkuu,muamala unapoingia tayari na salio linaonyeshwa sasa unaendaje kuangalia salio tena
Indonesia

@McinikaWaLamar @rezam06 @chandolaptop @SadickTusia Hii sijaelewa bhna ., mtu aje anieleweshe pole pole
Indonesia

@Mwatexi @Wutangtz @1960Remija Ww jinga kweli hyo nafasi imeletwa na nani,au umeanza kushabikia mwaka jana,
Kwan ukisema ukweli utafanyaje?
Indonesia

@Wutangtz @1960Remija Acha blah blah wewe,Makolo uwezo wa kuipeleka ligi nafasi ya Tano waitoe wapi?
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Mauaji ya Ali Khamenei ni kosa kubwa zaidi la kimkakati katika historia ya kisasa ya Marekani.
Kwa kumuua, Marekani na Israel hawakuondoa tu kiongozi; wametimiza unabii wa miaka 1,400 na kuunda shahidi ambaye kivuli chake kitaisumbua Magharibi kwa miongo kadhaa.
Fikiria ishara yake: Iran haijawahi kuwa na Kiongozi Mkuu aliyekufa kishahidi. Ruhollah Khomeini alifariki kwa sababu za kawaida za kiafya.
Kwa Kiongozi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu kuuawa na Marekani/Israel ni jambo linaloendana kabisa na simulizi lao. Linabadilisha nafasi ya kisiasa kuwa sababu takatifu na ya milele.
Muda wake ni wa janga. Khamenei aliuawa katika mwezi mtukufu wa Ramadan, mwezi ule ule ambao Ali ibn Abi Talib — Imamu wa kwanza katika Ushia na anayejulikana kama mfano wa haki — aliuawa.
Kwa mamilioni ya watu, hili si “shambulio” tu; linaonekana kama ulinganifu wa kiungu. Alikufa kama alivyokufa Ali: kwa mkono wa muuaji wakati wa mwezi wa kufunga.
Aliuawa pamoja na familia yake. Katika mtazamo wa Washia, hili linafanana mara moja na kuuawa kishahidi kwa Husayn ibn Ali katika Battle of Karbala.
Simulizi la “aliyedhulumiwa” (Mazlum) dhidi ya “mwenye kudhulumu” (Zalim) sasa limeamshwa kikamilifu. Hili si janga la Iran tu; ni wito wa umoja kwa Washia duniani kote.
Athari zake tayari ni za kipekee. Tunaona jambo nadra: umoja kati ya Washia na Masunni.
Kuanzia Karachi hadi Baghdad hadi Lucknow, Masunni wanajiunga na Washia mitaani. Kwa kulenga mamlaka ya kidini ya hadhi hii, Marekani imeunganisha Umma dhidi ya “dhalimu” wa pamoja.
Sera ya “waueni wote” ya Donald Trump, inayodaiwa kuongozwa na Benjamin Netanyahu, imegeuka dhidi yao. Walidhani wanakata kichwa cha utawala.
Badala yake, wameipa Jamhuri ya Kiislamu ishara yake yenye nguvu zaidi ya uhalali tangu Iranian Revolution ya mwaka 1979. Huwezi kuua wazo, hasa lile ambalo sasa limeoshwa katika damu ya “ushahidi.”
Magharibi inasherehekea “ushindi wa kijeshi wa muda mfupi” huku ikiingia polepole katika ndoto mbaya ya kimkakati.
Marekani imebadilisha adui aliyekuwa anajulikana na kutabirika na kupata upinzani wa kimataifa usiotabirika unaochochewa na imani ya kidini. Huu si mwisho; ni mwanzo wa sura nyeusi zaidi💔
From Fatima Bhutto.
Indonesia

@engassa08 @WortaM37097 @PeterMAlberto1 @kapeto98 Watz ni waoga wa kufanya pricing au ni hatujui kufanya pricing
Indonesia

Kuna Fundi tumempatia Kazi Ya Kufanya, Akatupa Bei ya Vifaa.
Muda wa kwenda Kuchukua Vifaa kuna Sehemu yeye Ndio Anataka tukachukue Vifaa, Sasa Sisi tukashauri Twende sehemu ambayo Ipo Karibu na Nyumbani.
Kuuliza Bei Kwa Haraka Hataka Imepungua kama 500,000 kwenye Bei zake alitupatia.
Naona Hana Raha Kabisa Kwanzia tulivyobadirisha Sehemu ya Kuchukua Vifaa.
Kwani Hapaa Kosa Letu Ni Nini..?
Indonesia

@GbpAud_king @taita_magessa Maboresho gani kila wiki lazima siku 2 au 3 haifunguki,wanazingua kisenge hao,sasa na 600k wakijiunga dse kiganjani si app itasimama mwezi mzima,wapuuzi sanaaa
Indonesia

@taita_magessa App yao natumia tangu 2021 mkuu. Ina glitches lakin ipo vizur. Na saiv wamefanya maboresho hata user interface iko vizur.
Filipino

@WortaM37097 @PeterMAlberto1 @kapeto98 Ufundi wa mtaani haulipi ndo maana hata nyinyi wateja mnaogopa kuwaleta engineer au technicians sababu ni gharama hao hawawezi kufanya kazi ya hasara
Indonesia

@CuthbertSweetb2 @Kilamkilo230818 @kapeto98 Always mafundi wa mtaani wanafanya kazi kwa hasara kwenye hela ya ufundi ndio maana wanakimbiliwa wao sababu wanaonekana hawana gharama,wao wanategemea hela yamaterials ndo wapate hukohela ya ufundi wa mtaani hailipi ndo maana wengi wao hawaendelei,jamaaamenuna sababu kaonahasara
Filipino

@Kilamkilo230818 @kapeto98 Watanzania bana tunapenda sana pesa ya bure na kazi hatuwezi kufanya, kwaiyo kuwa fundi lazima kuiba? Si mmeshakubaliana na mteja na anakulipa pesa yako ya ufundi sasa mengine anatafuta nini, ukifanya kazi na mimi ndio utajua hujui
Indonesia

@MaxTz255_ Na bado anafanywa na mwalim mkuu kwenye mikorosho 😂 😆 😂
Filipino

@iamdoll__ Utamjua tu mtu ambae six hakugusa. Hao labda wamefanya graduation tu lakini form 6 huwa wanaamza mtihani wiki ya kwanza ya May always.
Indonesia

@winga_mwaminifu @Ambele_Young Ameshasema hakutoka maana ndo suspect namba moja
Eesti

@Ambele_Young Naona watu mnamlazimisha Rick asifuate hata pombe sehemu mambo ya theruji kama alifuatapombe au ndio alikuwa wa mwisho kurudi utajuaje
Indonesia

@AsajileDaniel @GbpAud_king Ingekua ivo mwaka jana soko lingeshuka sana lkn crdb ndo ilianzia apo kupanda
Indonesia

@GbpAud_king Uchumi wa Tanzania kwa sasa kuwekeza kwenye hisa ni risky, bado tuna political instability.
Filipino

@GbpAud_king @napendezafrika Tena apo kama ana hela nyingine aweke tena mda ukifika atafurahia
Indonesia

@napendezafrika Nilimshaur afanye diversification Ila aling'ang'ania crdb. Pia alinunua kwa mkumbo kama unavosema
Indonesia












