The.Citizen🦅

5K posts

The.Citizen🦅 banner
The.Citizen🦅

The.Citizen🦅

@____the_truth

💣

Tanzania شامل ہوئے Ocak 2023
494 فالونگ190 فالوورز
AO
AO@aolfgo·
@FootbalTimeX He isn’t lying. Saudi now rigging leagues because Penaldo was crying about other teams being too competitive so they’re gifting him his first league title there 😂
English
2
0
2
435
Football Time | 𝐅𝐓
Football Time | 𝐅𝐓@FootbalTimeX·
🚨| Zlatan Ibrahimović drops a sharp reality check on MLS vs Saudi.😂
Football Time | 𝐅𝐓 tweet media
Čeština
87
380
4.1K
197.8K
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@JumaAyoo @JumaAyoo haya mambo mnayofanya msije mkajidanganya kwamba wana yanga hawaelewi mbaya zaidi mnatumia media zenu kusambaza propaganda mnazotumwa. Yanga hatuwezi kuwafunga midomo ila trust me kuna siku isiyo na jina mtaingia kwenye 18 za mashabiki, maana viongozi wanawachekea sana
Indonesia
0
0
0
4
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@JumaAyoo Yanga 1:0 TMA, wachambuzi; huu ndo uwezo wa yanga bila kununua mechi Simba 1:0 Mafunzo, wachambuzi; Seleman Mwalimu ni striker hatari sana Azam Fc kiingilio cha chini 15k: wachambuzi; Azam wanaionea Simba Simba kiingilio cha chini 15k: wachambuzi; Simba wanaset Standards
Indonesia
1
0
0
6
Juma Ayo
Juma Ayo@JumaAyoo·
Nimetoka Isamhuyo jioni hii Uwanja ni mzuri timu zijiandae tu kucheza kesho. Mna miaka 80 na hamna viwanja sasa hicho kizuri mnachokitaka ni cha Wapi? Jengeni Viwanja vyenu
Indonesia
35
24
418
14.1K
Jurist
Jurist@N37231Grace·
@DeSmonD1030 @JumaAyoo Hawa njaa ndio zinawafanya wanajitoa akili Kuna upande inaonekana unawapa malisho sanaa Koo lazm wapige mapambio
Filipino
1
0
0
57
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@j_hindishi @JumaAyoo Am telling you, ingekua yanga ndo kachagua mechi ichezwe kwenye kiwanja kile haya masenge ndo yangebeba bango juu kutoa kila aina ya dhihaka, nashangaa sana why kina Hersi wanamuitaga kwenye projects za team meanwhile ni miongoni mwa wale wenye kikundi cha kupambana na yanga
Indonesia
0
0
1
11
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@BOBmshamba @krisBangala Rage alikua mbele ya muda sana kuwaita mbumbumbu, makolo mko programmed kichwani kiasi kwamba hata vitu vinavyohitaji reasoning ya kawaida tu vinawashinda
Indonesia
1
0
0
7
BOB
BOB@BOBmshamba·
@krisBangala Ndio mana white alisema wenye akili Yanga ni watu wawili tu,ukianzisha media yako inamaa zile media zingine hazitakua zikitoa taarifa zenu?
BOB tweet media
Indonesia
1
0
0
96
BANGALA
BANGALA@krisBangala·
Yanga Imekuwa Na Historia Kubwa, Lakini Sasa Ni Wakati Wa Kuandika Historia Mpya. Kwa kuwa Vyombo Vya Habari Vimekuwa Vikituonesha Kwa Upande Mmoja, Tunapaswa Kuwa Na Sauti Yetu Wenyewe. Ni wakati wa Kuanzisha Yanga Media,Radio na TV Ambayo Itazungumza kwa Niaba Yetu.
BANGALA tweet media
Filipino
10
6
168
2.7K
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@HopeTonito @Iamfelixtz Weledi ni kuita wachezaji wa timu zingine magalasa? au wenzetu mmetengenezewa maana nyingine ya weledi maana makolo akili zenu wote zinafanana
Indonesia
0
0
0
1
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
"Tukipoteza Dabi, gap la points litakuwa ni nane, kwa timu zilizobaki huyu bwana hawezi kudondosha alama zote nane. Ukimtegemea Azam atakuvua taulo ukweni asububi tu, ukimtegemea Singida huyo ndio shoga yake mkubwa, wanasimba twendeni tukapambanie alama tatu" 🎙️ Ahmed Ally
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Filipino
18
27
870
22.1K
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@IamMadamAkinyi @Iamfelixtz Kitu pekee wanachonufaika nacho viongozi wenu ni uwezo wenu mkubwa wa kusahau, mwaka jana tu hapa msemaji wenu alikua anapigia hesabu yanga afungwe ili mtangaze ubingwa kabla hamjakutana kwenye derby
Indonesia
0
0
0
8
Akinyi🧺
Akinyi🧺@IamMadamAkinyi·
@Iamfelixtz Lina akili Sana hili jamaa, "tukimfunga JS kabylie magoli matatu, na Aly Ahl akafunga tunatinga robo" Semaji la CAF halina ujinga huo. Linategemea kupambana kivyao sio kutegemea timu nyingine.
Filipino
1
0
2
194
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@tolemongikoro @Jemedarys @krisBangala Mfano kwenye mechi ya fainali kuna call ya offside ya maxi mwanzo kabisa wa mchezo ambayo ilikua ni clear chance, imagine ile ndo ingekua wamenyongwa upande wa pili na yanga ikashinda, vipindi vyote vya mechezo vingekua vinamjadili mwamuzi wa pembeni
Indonesia
0
0
0
6
BANGALA
BANGALA@krisBangala·
Asilimia 98% Ya Vipindi Vya Michezo Kwenye Media Za Tanzania,Vinaiongelea Vibaya Sana Yanga, Ni Wakati Muafaka Sasa Kwa Timu Yetu Kuanzisha Radio na TV Yake Ili Wana Yanga Tuwe Na Fursa Ya Kuzungumza Mambo Yetu Kwa Sauti Yetu Wenyewe,Na Kutangaza Mafanikio Yetu Duniani
BANGALA tweet media
Indonesia
41
22
393
12.7K
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@krisBangala Tatizo lingine lipo kwa msemaji wetu yuko very weak kwenye kulinda brand ya timu, kuna baadhi ya waandishi na wachambuzi kutwa kuchafua image ya club na bado anacheka nao, aangalie jinsi wenzetu wanavyodeal na kina Hans ni mwendo wa kufungiwa vioo tu
Indonesia
0
0
0
13
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@MankangaJ @krisBangala Acheni kujipa umuhimu makolo, hivi mlivyo na visirani mngekua mnasemwa vibaya kila siku kama yanga si mngekua mshahama nchi😄, yani umeshika nafasi ya mwisho kwenye kundi jepesi na bado mkaonekana mashujaa kwenye vipindi vyote vya michezo imagine ingekua yanga sasa
Indonesia
0
0
0
6
Peppa
Peppa@MankangaJ·
@krisBangala Simba imeongelewa vibaya misim mitano, ww siku 2 tu kutoa povu
Indonesia
2
0
0
202
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@Jemedarys @krisBangala Aliyekwambia nani tunapenda sifa tu, yanga ndo timu pekee kwenye vipindi vya michezo itapondwa tu iwe imeshinda, imetoa sare au imedroo, imagine tu nusu fainali muungano yanga angecheza na mlandege na kumfunga bao tatu, hoja kuu ingekua yanga kacheza na vibonde
Indonesia
1
0
0
18
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@ClaraFundi Tatizo sio kufunga mechi hizo, vilio vya wanayanga wengi ni kwamba, its either yeye aingie kwenye mfumo wetu wa uchezaji jumuishi au sisi tuingie kwenye mfumo wake (aletewe quality players wamzunguke kama ilivyo Halaand pale city) kinyume na hapo tutatona macho wenyewe
Indonesia
0
0
0
7
Wade Mkalidayo
Wade Mkalidayo@Byterbist·
Tumbodini @EsirEid punguza roho ya korosho au wewe ni mshirikina?
Wade Mkalidayo tweet media
Indonesia
42
33
264
16.1K
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@Byterbist @EsirEid Vijana wa twitter ni rahisi sana kudanganyika na green guard wanajua hilo ndo maana wakatuma watu kama huyu kuja kucheza na akili za vijana wenye hasira na utawala usiojua nini umuhimu wa uhai wa mtanzania mmoja achilia mbali watanzania 518
Indonesia
0
0
1
20
The.Citizen🦅
The.Citizen🦅@____the_truth·
@Sulphuric_aci17 Huyu ni striker hatari sana, ni vile haendani na falsafa ya yanga, kiufupi kwa yanga anahitajika mfungaji mwenye ball carrying ability na mwenye mikimbio hatari, Depu yeye fanyeni vyote mniletee mpira kwenye box nifunge, kitu ambacho kwa yanga ni ngumu
Indonesia
1
0
1
106
Conc.H2SO4
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17·
Ila Yanga sometimes 😀😀hakuna kazi hapa
Conc.H2SO4 tweet media
Filipino
14
2
80
5.1K