IGS
1.4K posts


Africans will do this for thousands of years without ever inventing a tool to make it 10x easier and faster.
Cintanya Mediaku@CintanyaMediaku
Skills passed down for generations. Ancient survival skills hit differently when you see them in real life. I thought he was just scraping bark…
English
IGS ری ٹویٹ کیا
IGS ری ٹویٹ کیا
IGS ری ٹویٹ کیا

Kama unajiona una akili nyingi, kucheza retail Forex ni kuivunjia heshima akili yako, ni matumizi mabaya ya akili yako.
Tuna matatizo mengi sana Tanzania na Africa, yanahitaji watu wenye akili kama wewe kuyatatua na kuyageuza fursa.
Hapa Tanzania hatuna urahisi wa kuimport vitu from China, Dubai, digitally.
Insurance ni still the biggest challenge.
Kuna watu wana mzunguko mkubwa wa biashara lakini hawakopesheki kisa hawana hati za nyumba.
Housing still an issue na population inaongezeka.
lakini mwenzetu na akili zako zote unaenda kushinda kwenye screen kuotea ipi itapanda na ipi itashuka! Really?
Indonesia

@Positivenga1 I believe money comes from value by solving real people's problems rather than playing financial risk games like forex.
English

Kipindi nacheza Forex ulikuwa ukigusa story za kuipondea Forex nilikuwa natamani nikurukie. Na baadae niligundua ulikua ni utoto wa kifikra sio kiumri.
Nilichokuwa napitia ndio ambacho wacheza forex wengi wanapitia sasa.
Vijana wenzangu ile sio biashara ya kubet potential na future yako yote.
Africa tuna matatizo mengi makubwa sana ambayo ukitatua ni pesa nyingi sana! Lets go solve them.
Indonesia

Vitu kama hivi 😂😂
Ndo mseme kweli mtamtoa software Engineer.
Hebu acheni bwana.
Arun@hiarun02
Why is my API usage so high??? Bro your Api Key is literally indexed on Google.😭
Indonesia



















