Parish Priest
5.5K posts


@Eric__Bernard Ni vizuri sana kuongeza safari, hii itasaidia wanaotoka Mwanza na kutua na ndege saa 4 wasisubiri mpaka saa 10 jioni, lakini Treni ya mwisho kwenda Moro iwe angalao saa 3 usiku, ili kuchukua wote walioenda mahospitalini na kwenye biashara Kariakoo
Indonesia

MAONI YA ABIRIA NA WANANCHI KUFUATIA TRC KUONGEZA SAFARI ZA TRENI ZA SGR KATI YA DSM-MOROGORO
Siku moja baada ya Shirika la Reli Tanzania (TRC), kutangaza kuongeza safari za treni za SGR kati ya Dar es Salaam na Morogoro, kutoka mbili mpaka nne, baadhi ya abiria na wananchi wamezungumzia na kuonyesha mapokezi yao kuhusiana na hatua hiyo ya TRC.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti Jijini Dar es Salaam na Mkoani Morogoro maarufu kama Mji kasoro bahari, Aprili 19, 2026, abiria na wananchi hao, kila mmoja amezungumzia kwa muktadha wake hatua hiyo.
Mkoani Morogoro, Bwana Isakwisa James, mfanyakazi katika sekta binafsi ambaye alitaka jina la mahala anakofanyakazi lihifadhiwe, amesema, "ninasafiri mara kwa mara na SGR kati ya Dsm-Morogoro, hivyo kuongezeka kwa safari hizi ni nafuu kubwa kwetu tunaosafiri mara kwa mara kati ya Mikoa hiyo miwili. Awali tulilazimika kupanga muda kwa shida kutokana na uhaba wa treni, lakini sasa unafuu umepatikana na uhakika wa kupata safari pia, asante sana uongozi wa TRC kwa jambo hili", amemalizia bwana James.
Kwa upande wake bwana Anold Kidwangisa, ambaye ni mfanyabiashara, katika maoni yake, amesema, “hii ni hatua muhimu sana kwa wafanyabiashara. Sasa tunaweza kusafiri kwa uhakika zaidi bila kuchelewa. Inaongeza ufanisi na kupunguza gharama za kusubiri treni chache zilizokuwepo awali.” alimalizia mfanyabiashara huyo.
Miongoni mwa kundi lililofurahia ongezeko hilo la treni kati ya Dsm-Morogoro, ni la wanafunzi, Restituta Komba, mwanafunzi wa Elimu ya Juu katika chuo kimojawapo Mkoani Morogoro, amesema, “kabla ya kuongezwa kwa safari hizo, ilikuwa vigumu kupata tiketi hasa kipindi cha mwisho wa wiki na kufuatia hatua hii sasa tuna uhuru zaidi wa kupanga safari zetu bila shinikizo kubwa.” ameongeza msomi huyo.
Katika hatua nyingine, Jijini Dar es Salaam, Mzee Hassan Abukari Mzezele, mkazi wa Yombo Kilakala, amesema, "kwa familia, hii ni faraja kubwa na kwamba sasa tuna uwanda mpana wa kuchagua muda unaotufaa bila kulazimika kusongamana au kusubiri kwa muda mrefu. Hongera sana TRC, huduma imekuwa rafiki zaidi kwa abiria.” amepongeza Mzee Mzezele.
Aidha wananchi wa kawaida pia wametoa maoni yao na mmoja wa wananchi hao, aliyejitambulisha kwa jina la Mariam Mbeyale, amesema, hatua hii inaonyesha TRC wanasikiliza mahitaji ya wananchi. Idadi ya abiria imeongezeka, hivyo uamuzi wa kuongeza safari ni uamuzi sahihi unaoendana na uhalisia wa mahitaji.” amekazia Bi. Mbeyale.
Maoni na mtazamo wa jumla wa jamii ni kwamba, kuongezeka kwa safari za treni za SGR kati ya Dsm na Morogoro, ni dalili ya mafanikio ya SGR aidha inaonyesha huduma inakubalika na watu wengi, na sasa inapanuliwa ili kukidhi ongezeko la mahitaji.
Apili 18, 2026, TRC ilitangaza ongezeko la treni za SGR kati ya Dsm- Morogoro, kutoka mbili mpaka nne kwa siku.

Indonesia

@dkpress3 @Nalee255 @MsomiKhan18 Nimesoma Islamic banking ifm semister nzima nimepiga Banda langu sasa sijui huo ufahamu Gani unao usema ndugu
Eesti

@shealerjohn77 @Nalee255 @MsomiKhan18 Uwe unaelewa sasa ukielekezwa. Najua lengo lako lilikuwa kupata ufahamu
Indonesia

@Nalee255 @dkpress3 @MsomiKhan18 Hiyo sio riba ni biashara tu ya kawaida imefanyika kwa dini yao waislam inaruhusiwa
Indonesia

@MarekaMalili @DadaEstie We Mzee ninahitaji wa kilo 20 Jumatano kwenda Moro, please DM kwa maelekezo.
Filipino

Kilo 68, anamzidi @DadaEstie kilo 30

Juma Wickama@wickama
Mabwana samaki, viumbe kama hawa (sangara) bado wapo ziwa Victoria? Picha: Google Images
Lietuvių

@shealerjohn77 @MsomiKhan18 Unadanganywa na wewe hutaki kujielimisha, umepumbazwa na maelezo ya dini
Indonesia

@dkpress3 @MsomiKhan18 Hakuna riba kwenye bank za kiislam wanacho fanya wao ni kuingiza nakubaliano ya kibiashara ambayo inaruhusiwa kwa dini Yao mfano unataka mkopo wa gari la million 10 wanakununulia gari alaf wanakuuzia kwa milioni 15 utalipia kdg kdg dini Yao inaruhus hyo sio Rina kwao ni biashar
Indonesia

@shealerjohn77 @MsomiKhan18 Ndiyo kusema ni lugha tu, kifupi ni ulaghai tu. Riba ipo waache upotoshajj
Filipino

@dkpress3 @MsomiKhan18 Sawa lkn mfumo ni tofauti kitu ambacho kinawaepush wao kuonekan wanatoz riba
Indonesia
Parish Priest 已转推

This is the Tanzanian Finest meal, ila ukiula week mfululizo inabidi utafute nguo mpya 🤣
Eng Msaki@Aloycemsaki
Hakikisha Mchana Unakula.
Filipino

Received a call from my friend President Donald Trump. We reviewed the substantial progress achieved in our bilateral cooperation in various sectors. We are committed to further strengthening our Comprehensive Global Strategic Partnership in all areas. We also discussed the situation in West Asia and stressed the importance of keeping the Strait of Hormuz open and secure.
@POTUS
@realDonaldTrump
English

@KennedyMmari Kwanini usiwaze iende Mwanza kwa akina @MarekaMalili kwanza?
Filipino

@mfinanga_rm Sawa, ngoja tumlete hapa aliye toa kibunda chote kwa Mzee Mama @MarekaMalili
Indonesia

@MarekaMalili Wakati huu kibunda cha ubatizo Jumatatu ya Pasaka ulishatoa
Indonesia









