a l i w a t a n i JOE

10K posts

a l i w a t a n i JOE

a l i w a t a n i JOE

@HallahKispoti

Natural science technician

انضم Ocak 2022
62 يتبع156 المتابعون
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Yericko Nyerere alipe hela Yetu 😂
SafariMlevi tweet media
Filipino
29
74
637
28.9K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@DonMkwavi @safarimlevi Sisi tunajua Yericko hana pesa ya kutulipa😀😀 tulishajichanganya. Cha msingi ni jamhuri watumie busara watupe hela yetu. Yericko bado yupo waje wamchukue
Indonesia
1
0
1
27
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@spana_Konki Kwamba serikali denge akiharisha wanamuambia just take easy young man umejamba vizuri tuu😂😂
Indonesia
0
0
2
383
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
Oohh unajua mimi nina marafiki wakubwa serikalini japo siwezi kuwataja hapa, hata mama alikuwa anatania siku moja wanauliza huyu katuni yuko upande gani huyu, oohh huwa wananisifia sina matusi, na quote vizuri, hata nikikosea nakosea vizuri tuu 😂😂😂
Indonesia
75
83
1K
37.7K
Ndussa26
Ndussa26@LusajoNdussa·
@EngMapundajr Anko Bendera ni Mali ya Jamhuri, sasa wewe Umiliki Bendera 5 aiseee acheni kujiamulia Mambo, mnyaturu kammiss Tundu Lissu kaona Apate Lifti ya kupelekwa bure Magereza😂🤣🙌🏾
Indonesia
14
1
41
4.5K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Wataalamu wa Sheria kosa la Mwamba ni nini.!!!?Anyway Goodmorning Anko zangu.🤝
Eng.Mapunda Jr tweet mediaEng.Mapunda Jr tweet media
Filipino
40
27
371
43.4K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @Twaha_Mwaipaya Mungu atusaidie siku africa iweze kutengeneza viongozi😁 ila tukiendelea kuzalisha hawa wana siasa, wanaoamini maono yao wao ndio mkondo wa kila mtu kupita kifikra. Huenda watawala wakibadilika itakuja kua worse zaidi ya tuliposimama😁😁 hakuna chuki hoja zijengwe tuu😁😁
Indonesia
1
0
1
10
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
KOMBO anasema Waliouwawa Tarehe 29 OCTOBA waliwatishia Polisi mawe.
Twaha Mwaipaya tweet media
Polski
79
88
675
96.5K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @Twaha_Mwaipaya Sijawai hata kutaka kuusikiliza. Hawa watu kuna muda wanawazisha sana, we hate sisiemu ila kama vijana wenyewe wa chama ndo wa aina hyo😁😁 siku wakitwaa dola hawa si watakua zaidi ya kina KAWAIDA, wanaowapinga watawafanya nini. Huenda ikawa worse kuliko sasa
Indonesia
1
0
1
22
Francis
Francis@Sharb84·
@HallahKispoti @Twaha_Mwaipaya Wanakosea sana. Wimbo kama ule wa Chande,ulikuwa disgraceful kwa Mama yake Chande na akina Mama wote. Mambo ya hovyo hata kuu repost.
Filipino
1
0
1
30
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @Twaha_Mwaipaya Issue ya uvumilivu wa kisiasa kwa vijana wa CDM sio wengi bali baadhi na wenye kutumika na chama imekua ni kitu kigumu sana kwao. Matusi, kuattack watu randomly wasiporidhishwa au wakiwa wanashindana hoja ni changamoto kubwa sana. Matusi na udhalilishaji ndio last option kwao
Indonesia
1
0
2
18
Francis
Francis@Sharb84·
@Twaha_Mwaipaya CHADEMA kama Chama cha Siasa haifai kufanya haya. Hii nimelisema mara nyingi,hata ule wimbo wa Chande sijui kuma.. .unamtukana hadi Mama yake aliyemzaa. Mambo ya hovyo. Wananchi tunataka watu timamu kuwakabidhi nchi. Siyo mambo ya hovyo yasiyo na tija. Jitahidini kurekebesha haya
Indonesia
2
0
2
155
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @mangekimambi Mtu anaua, anatokea mtu anakuuliza kwa nini umeua unakimbilia kusema wanataka raslimali zetu😁😁 anakuambia tufanye upembuzi wa kina kilichotokea, unakimbilia kusema wew ni taifa huru. Kwahiyo unaua watu wako sababu tuu wew ni mtawala kwenye taifa huru? 😁😁 hawa watu wamechoka
Indonesia
0
0
1
18
Francis
Francis@Sharb84·
@mangekimambi Ni propaganda ya kijinga kuhusu raslimali. Zipi hawajawapa hao Wazungu,Wachina na Waarabu? Gesi,machimbo,Bandari,misitu,mbuga za wanyama, madini,n.k,n.k vyote wamegawa kwa bei chee kwa 10% zao. CCM hawamjali mwananchi bali matumbo yao na Familia zao,ndo maana kuuwa siyo tatizo.
Indonesia
1
7
39
1.5K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
CCM wanadai kuwa mabeberu wanataka madini ya Tanzania ndio maana wanaingiliw mambo ya TZ, je kwanini CCM hawaweki wazi rushwa waliojaribu kuwapa Wamarekani ili wakae upande wao (wauwaji)? Watanzania ni hivi. baada ya Marekani kutoa lile tamko lile la kwanza kabisa juu ya mauaji, Samia alitafuta kampuni za Kimarekani na kuzipa contracts za madini akidhani kuwa Marekani wanatetea wananchi sababu wanataka madini. Akadhani akitoa madini basi kesi imeisha. Kampuni kadhaa za Marekani zikakubali offer na kusaini na Samia akadhani keshamlegeza Trump na kesi imeisha. Mnachoona leo ni kwamba wamepaniki na kuchanganyiwa, walitegemea wakimpa Marekani madini ya Tanzania basi kesi imeisha. Sasa imekuwa opposite, kampuni za kimarekani zime sign madili ila ndio kwanza serikali ya Marekani inawasha moto juu ya October 29 . Watanzania daini kujua tokea October 29 Samia katoa contract ngapi za biashara kwa kampuni za Kimarekani ili Wamarekani wafungie macho October 29? Akishajibu hilo ndio mtajua kuwa Wamarekani wanania ya kweli kutusaidia na wamegoma kushiriki ufisadi wao na uuaji wao na wananchi.
Indonesia
34
289
1.3K
29.8K
Francis
Francis@Sharb84·
@millardayo Kuna yule sitaki nataka. Naona Baba Bagonza kamtolea uvivu.
1
0
2
333
millardayo
millardayo@millardayo·
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe Dkt. Benson Bagonza amesema Kanisa hilo halijawahi kukaa kikao chochote cha kupanga Rais ajae wala hakuna Dhehebu lenye uwezo wa kuchagua nani awe Rais. Askofu Dkt. Bagonza ametoa kauli hiyo wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Dayosisi maarufu ‘KAD DAY’ ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Uhusiano, Deus Sangu. “Kitengo chako cha mahusiano kinayahusisha Makanisa, Misikiti na makundi yote ya kiimani, sisi sote wa Makanisa tupo chini yako kwa ajili ya uratibishaji wa mahusiano na makundi haya ya imani ni muhimu kwa sababu ndani yake kuna Vyama vyote, Makabila yote, Rangi zote, Maskini na Matajiri.” “Sisi kama KKKT hatujawahi kukaa kikao chochote kupanga Rais ajaye, hatujawahi na hatuna mpango huo kwani tunaamini hakuna Dhehebu lolote Nchini lenye uwezo wa kutuchagulia Rais, nayasema haya ili kukemea njama ya kuchafua Kanisa letu kwamba tunapanga kuweka Rais mwaka 2030” Askofu Dkt.Bagonza. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
4
13
119
10K
Francis
Francis@Sharb84·
@mayordeah_ @Spearhead_Af The Era of bloggers paid by Corrupt governments to spinn Facts is over. We in Tanzania know our story better than a paid blogger and his minions. African stories must be told in truth and fact to help the continent. Its unfortunate sellout will always be their to spinn facts.
English
1
1
26
597
Mayowa Durosinmi
Mayowa Durosinmi@mayordeah_·
The era of having CNN tell African stories is over, and we at the @Spearhead_Af are telling Africa's story on Africa's terms. As for what really happened on the October 29 election in Tanzania, watch out for the documentary, which will premiere in Accra at 5PM on Tuesday, May 26, at the WAGMC Auditorium, University of Ghana. Subsequently, it will also premiere in Dar es Salaam and Nairobi before going up for general viewership on YouTube on May 31.
Mayowa Durosinmi tweet media
English
177
558
1.3K
36K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@Sharb84 @RKishaija81715 Hawajamuingiza, wamejiingiza mkenge tuu. The guys are very smart na brand zao. Wana team za ku evaluate brand zao😁 you can’t fool them, ndo maana yule bwana kakimbilia et wamemzuia. Yan Rio aamue jambo kwenye page yake Bashite ndo azuie? Issue ni ile ile tuu
Indonesia
1
0
2
253
Francis
Francis@Sharb84·
@HallahKispoti @RKishaija81715 Wajanja wamemuingiza king. Alafu wanasema wamemuambia asi post😂😂😂 Sasa asipo post huo utalii na blabla itafikiaji millions wa fans wake!🤔 Win win sema tumemwambia asipost. Yeye mwenyewe angepost angeshambuliwa,lkn pia tunafanya PR kwa nini hajapost. 😂😂😂
Indonesia
1
0
1
442
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
Rio anaonekana disappointed kinoma
Indonesia
18
25
518
26.1K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@AbgastJ @cleme74076 @RahmaMwita Sasa kama CDM ilijifunza, kuna ubaya gani wengine wakijifunza? Kwa nini kuna hii idea ambayo niite ya “kijinga” kuamini wanachofanya CDM pekee ndio sawa? Ndio demokrasia. Kila mtu acha apate nafasi ua kujifunza kwa wakati wake
Indonesia
0
0
0
23
Jo
Jo@AbgastJ·
@HallahKispoti @cleme74076 @RahmaMwita Lowassa aliwapa somo na sasa wamefuzu. Ujinga ule haujirudii ndii maana mwaka jana chadema ilisimama wima bila kuyumba
Indonesia
1
0
0
100
Rahuuuum
Rahuuuum@RahmaMwita·
Mpina alivyoingia ACT Wazalendo mlibeza ila wakija kwenu ndo patakatifu, mna hitilafu sana kama chama na siku mkiacha kuona nyie ndo wabeba bendera ya harakati za kuitoa sisiemu madarakani wengine mapandikizi basi tutapiga hatua kama upinzani kwa umoja na si vinginevyo.
Godbless E.J. Lema@godbless_lema

Sawa bhana 😄 Dhambi zako zote zimekuwa cleared. Sasa Ijumaa 22/5 fika Releni utoe ushuhuda live 😅. Na usiwe na wasi wasi… huku hakuna nyama za matambiko 😂

Indonesia
167
11
134
51.2K
a l i w a t a n i JOE
a l i w a t a n i JOE@HallahKispoti·
@EduTalkTz Mi kila siku nasemaga😁😁 hata kama nchi wachukue CDM shida ya mataifa mengibya Africa ni moja na ni kuu, tuna wana siasa hatuna viongozi. Hata CDM ina wanaharakati wengi, viongozi wachache mnoo
Indonesia
2
0
1
658
bwakila
bwakila@cleme74076·
@RahmaMwita Hoja sio mpina kuingia act issues ni kumpeleka moja Kwa moja kushiriki chaguzi ambazo mnayajua matokeo tayari Kwa kisingizio Cha kulinda kura
bwakila tweet media
Indonesia
2
0
31
2.1K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Kuna biashara zingine zinachekesha sana 😂
Mwinshehe 🕊️ tweet mediaMwinshehe 🕊️ tweet media
Indonesia
125
76
562
51.5K
Francis
Francis@Sharb84·
@MalisaGJ_ Nilitamani sana kumsikia Prof.Shvji. Nimefurahi kujua bado ana misimamo isiyoterereka kwenye kutetea haki.
Filipino
1
0
1
53
MalisaGJ
MalisaGJ@MalisaGJ_·
ZXX
6
65
226
4.2K