It's me,,,,!

13.7K posts

It's me,,,,!

It's me,,,,!

@DonMkwavi

God's power

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2016
817 Takip Edilen510 Takipçiler
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
@MwananchiNews SUMATRA watu wakukomoa sana washanipiga faini ya 1.5mil kila kosa 500k,,, nikaleta ubishi chuma ikaenda Yard Temesa pale chang’ombe hadi Kesi inaisha hapo K/ndoni Mahakamani nilifurahia Show. Sitaki hata kuwaskia Kikubwa hapo Arusha aje SHOZINIGA wakale nae nyama Kwamromboo 😂
Filipino
1
0
0
205
Mwananchi Newspapers
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews·
Wakazi wa Jiji la Arusha wamepata adha ya usafiri kufuatia baadhi ya waendesha huduma za daladala kugoma kuingiza magari yao barabarani kwa kile walichodai manyanyaso wanayopewa na Mamlaka ya Usafiri Ardhini (Latra). Wakizungumza na Mwananchi leo Jumatatu, Mei 25, 2026 eneo la Soko la Mrombo wamedai kuwa, maofisa wa Latra wamekuwa wakiwatoza faini kuanzia Sh250,000 hadi Sh350,000 magari yanayozidisha nauli iliyopangwa na mamlaka hiyo. Mgomo umeshuhudiwa kwenye barabara za kutoka katikati ya jiji kupitia Mrombo hadi Intel kuelekea Mapambazuko pia kutoka Soko la Kilombero kupitia Uswahilini, Dampo hadi Mapambazuko na Barabara ya Tengeru. Kutokana na mgomo huo wananchi wamelazimika kutumia usafiri wa Guta walikuwa wakilipa Sh1,000 huku bajaji na pikipiki nauli ikiwa kati ya Sh2,000 hadi 3,000 kutoka Mrombo kuelekea katikati ya jiji. Imeandikwa na Filbert Rweyemamu. #mwananchiupdates #tunawezeshataifa
Indonesia
9
24
126
9.8K
Raphael Mheta
Raphael Mheta@RaphaelMheta·
Hivi mlisema kioo cha SAMUSANGI bei gani?😔😔
Raphael Mheta tweet media
Dodoma, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
37
6
83
13.1K
Cool_boy
Cool_boy@october_niga·
@Adventure_36 Mbona umechelewa kujua alafu sio mbweni ni RUVU JKT kule hata kwa SGR unafika kwa nauli ya buku 3 tu
Indonesia
2
0
1
353
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kumbe mbuga ya Mbweni kwenda kuona wanyama ni 50k kwa mtu mzima na mtoto ni 20k tu. Apo unapiga picha na mnyama na unaweza kumlisha kabisa. Tena hakuna limit ya kuona wanyama muda wote unaweza kwenda. Safii sana
Indonesia
8
39
590
17K
PhilTech3297
PhilTech3297@GasperPhilbert·
@Kicheche_jr Hakuna sababu yoyote inayoweza ku justify uuaji, ni Roho mbaya tu
Indonesia
2
0
9
1K
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Kama hujawahi kufanya kazi kwa mchina unaweza kudhani wale wamasai waliomuua Mchina ni watu wabaya.
Indonesia
77
40
704
41.6K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Ukiskiliza Ibrahim Rahby akiichambua Iran unaweza kujua Iran ndio Super power…
Indonesia
33
15
239
17.1K
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Kwa experience wakuu Hivi kati ya 1. Alitop 2. Alyons 3. Boss 4. Sun sun 5. Vida Tv gani nzuri inayo dumu muda mrefu sana na bei nafuu? Ongeza nyingine pia
Filipino
32
17
102
8.7K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Rio kazi anayo,,, Wapwa wamemjazia Inzi kwenye Comments pale mjini Instagram balaa Asipotia kufuli siku 2 hizi sijui 😂😂😂💀
HT
15
20
510
44.9K
Lutherking7
Lutherking7@mayaijumla·
@RKishaija81715 Hata namba zikitoka hakuna wanachofanywa ndomana hawajal wanafanya wanachokitaka
Indonesia
1
0
2
946
Agnostic
Agnostic@RKishaija81715·
Yule jamaa wizara yake inabidi iwe extensively audited
Filipino
18
18
192
14.1K
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Arusha mvumilie SHOZINIGA soon atakuja 😂
Eesti
6
5
32
1.8K
It's me,,,,!
It's me,,,,!@DonMkwavi·
@robkidayo_ Sasa si unataka picha ya mwanaume mwenzio halafu unakuwa muoga muoga.
Filipino
1
0
0
5
RCM
RCM@robkidayo_·
@DonMkwavi Mimi sio wewe 🏳️‍🌈
Indonesia
1
0
0
9
Mchochezi_daily
Mchochezi_daily@Dumelakienyeji·
@Sulphuric_aci17 Hakuna mchezaji aliepita yanga aliewahi kucheza uefa,europa na conference na hatakuja kutokea 😂
Indonesia
4
0
4
2K
Conc.H2SO4
Conc.H2SO4@Sulphuric_aci17·
Hakuna mchezaji yeyote aliepita simba ambaye kaugusa mpira wa world cup toka dunia kuumbwa😅
Conc.H2SO4 tweet media
Filipino
32
10
306
15.4K
Imma💊
Imma💊@mnyamafungotz·
Samsung hawatoi tena simu kali kama...?
Imma💊 tweet media
Indonesia
39
30
133
8.2K
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Iran ilitoa nafasi za watu kujiunga na jeshi million 1 cha ajabu watu wakajitokeza million 11 . Hii inaonesha ni namna gani watu hawana ajira na kazi huko irani wananchi wanaishi katika mazingira magumu bila fursa za kazi Ukosefu wa ajira ndio lilikuwa lalamiko kubwa sana la waandamanaji wa irani
Indonesia
11
4
38
4.4K
This is GoLD
This is GoLD@Rungekuta69·
Kuna vijiji gharama za maisha ziko juu sana. Mfano uku nilipo chumba self ni 30k ( bei ndogo) Ila msosi ni shida ili ule ushibe kwa siku ni zaidi ya 10k. Chapati wanauza jero, soda ni 900 tale away 1200 zile za jero now ni 600. Nilijua nitatoboa ila mhh😁🙌
IAmHaule@IAmHaule

Kuna vijana walienda Ajira za Vijijini wakiwa na confidence kubwa sana kuhusu maisha yao. Walikuwa wanaota biashara, investments, travelling, big city life… Nowadays wanaishi tu from salary to salary waiting for years to pass. That pain is real .

6
1
14
1.2K
It's me,,,,!
It's me,,,,!@DonMkwavi·
@IAmHaule Wazungu walianza kuja Africa karne ya 17 BK,walitoka sehemu zenye maendeleo,Ila walivyo fika wakaona fursa hii dunia unayo iona leo ime endelea haikushwa! Ajira mpya anaweza badilisha maisha na kuendelea na ndoto zake hata akiwa wapi kwa maana Dunia ya leo imepiga hatua.
Indonesia
0
0
1
82
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
One painful thing kuhusu ajira za vijijini ni kuona ambition yako ikianza kufa quietly. Sio kwamba wewe ni lazy… ni kwamba mazingira yenyewe hayakupi energy ya kuendelea kuota bigger things.
Indonesia
10
22
109
2.9K