Matupa senior

3.6K posts

Matupa senior banner
Matupa senior

Matupa senior

@Matupsenior

Mercy to the guilty is cruelty to the innocent. - Adam Smith

Antananarivo,Madagascar. انضم Ekim 2023
413 يتبع445 المتابعون
Ole-Sebele
Ole-Sebele@OleSebele·
@julius99168 @MkulimaKante Wewe ndio hujui kitu mimi ni Civil Engineer with more than 15 yrs of experience nimefanya kaz na kusimamia wanafunzi na wahitimu wa vyuo vingi ofcn na field kwahyo sihitaji kuuliza tofaut ya ubora wa wahitimu au wanafunzi wa hivyo vyuo ninaijua na ninaiishi
Filipino
4
0
0
286
Kante
Kante@MkulimaKante·
Kuna chuo kinaitwa MUST kipo mbeya huko pale bwana kozi zao zote za engineering zinahitaji mtu awe makini sana. Ninao wanangu kumi walidisco pale na wote nawajua form four ndio walipataga division one kali wakati sisi wengine tunapata zile division four za kukupeleka vyuo vya kati. Nilipowauliza walinambia MUST ni chuo bora sana ila lazima uwe serious na masomo kweli kweli.
Filipino
23
21
267
25.6K
Winga teleza ✨
Winga teleza ✨@mwananchi99·
@bonifacejoseph_ Wana recruitment portal yao nahsi haijakaa poa last time walikuwa wanaifanyia majaribio itakuwa labda wako kwenye process ila pia watawatese kina baba kanituma 🤝
Filipino
1
0
5
953
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
Nafasi za majeshi kwanini watu wasi apply online then kwenye usahili ndo watu waende huko Dodoma au waweke matawi kama Mwanza, Mbeya, Arusha & Dar es Salaam?? Mtu kufunga safari ya kwenda Dom na kurudi na ukiwa huna uhakika wa kupata ni waste of Money & time Ombeni wakuu 😂
Indonesia
31
33
491
26.9K
Matupa senior
Matupa senior@Matupsenior·
@MwangaHJ @EsirEid Ww huna cha kunifundisha , kwanza hauamini mm ninachoamini , na mm siamini kile unachokiamini.
Indonesia
2
0
0
7
Mwanga
Mwanga@MwangaHJ·
@Matupsenior @EsirEid Ndio Zionist-christian wabongo wanaamin Zionists ndio wana wa Israel. Yesu atakuja kuipiga vita hiyo Zionist-Israel. Utakuja kukijua hichi on judgrment day.
Indonesia
1
0
0
11
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kuna muda nlisema… IPO siku WAISLAMU na WAKRISTO tutaungana kuwapiga wazayuni 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Pope Leo XIV@Pontifex

Communion between Christians and Muslims takes shape under the mantle of Our Lady of Africa. Here, in #Algeria, the maternal love of Lalla Meryem gathers everyone as children, within our rich diversity, in our shared aspiration for dignity, love, justice, and peace. In a world where division and wars sow pain and death, living in unity and peace is a compelling sign. #ApostolicJourney

Filipino
20
9
99
5K
Matupa senior
Matupa senior@Matupsenior·
@MwangaHJ @EsirEid Sio Yesu sema isa . Yesu atakuja kuiokoa Israel baada ya kupigwa na mataifa ktk vita ya Armageddon.
Indonesia
1
0
1
16
Mwanga
Mwanga@MwangaHJ·
@Matupsenior @EsirEid Yesu ataungana na Imam Mahdi kumuua mpinga kristo(Dajjal) na kuwapiga Wazayuni.
Filipino
1
0
0
11
Matupa senior
Matupa senior@Matupsenior·
@MwangaHJ @EsirEid Sijahukumu mm . Ila ni kutokana ufahamu kutoka kwnye tafsri ya ndoto ya nabii Daniel pamoja na ufunuo wa Mtume Yohana
Indonesia
0
0
0
9
Mwanga
Mwanga@MwangaHJ·
@Matupsenior @EsirEid Hapo juu kwa akili yako umehukumu kuwa wakristo na waislam hawawezi kuungana kuwapiga wazayuni.
Filipino
1
0
0
6
Son of God(Huios)
Son of God(Huios)@EliabuDanford·
Let's be honest, Kuna swali huwa linanisumbua sana 1. Wachambuzi wa siasa za Kimataifa kama @KennedyMmari wanatueleza kwamba Origin ya Wayahudi/Zionists ni Ulaya. Hivi inawezekanaje serikali ichukue Idadi fulani ya wananchi na iwafukuze katiba gani inakubali?? 2. Pili, kama Origin yao ni Ulaya, serikali za Ulaya waliwezaje kuwatambua aina fulani tu ya watu wasiwachanganye na wengine, [waliwezaje kuchambua kati ya wananchi na kujua hawa ni Wayahudi, wakati wengine wanasema hakuna Wayahudi Duniani]?? Naomba elimu;
Indonesia
11
1
22
6.7K
edward fadhili
edward fadhili@fadhili_gavi·
@Matupsenior @siyagaenock1 @EliabuDanford @KennedyMmari Nimekutolea mfano ya mtu alibadili dini na kuwa myahudi now, kukuonesha kuwa kunawatu kibao walibadili dini miamia ya miaka iliyopita na kuwa wayahudi wakati hawana uhusiano wowote na ethnicity ya wayahudi. Hivyo kusama hawa ni wale wale ni UWONGO!!
Filipino
1
0
0
23
Rashid Said
Rashid Said@Roshyofficial·
@Matupsenior @EsirEid Subir nikufundishe kitu Mayahud hawa wa leo weng wao ni km wale waliotaka kumuua Yesu and walimtafuta usiku na mchana hadi kusalitiwa sio wale waliokuwa wanamsapoti hawa ni wabaya sana, msiwaunge mkono
Indonesia
1
0
1
11
Mwanga
Mwanga@MwangaHJ·
@Matupsenior @EsirEid Unavoona kwa akili yako hukumu yake kwa matendo ya US/Israel itakuaje?
Indonesia
1
0
0
12
Matupa senior
Matupa senior@Matupsenior·
@MwangaHJ @EsirEid Hatakuja kama mwanasiasa -Atakuwa upande wa Mungu na haki -Atawahukumu watu wote (mataifa yote) kulingana na matendo yao.
Indonesia
1
0
1
16
Mwanga
Mwanga@MwangaHJ·
@Matupsenior @EsirEid Atakua upande wa sera za Israel na US au upande unaokinzana na US/Israel.
Indonesia
1
0
0
16
Matupa senior
Matupa senior@Matupsenior·
@EsirEid Umesema kama unaashiria the current situation bauna Papa.
Indonesia
0
0
2
61
Matupa senior
Matupa senior@Matupsenior·
@kahumbyanancy @kikomasta Wanasema sijui north Korea mara Iran Wana nuclear, wakati mwaka 1945 Dunia bado ipo nyumba USA walitengenwza nuclear bomb na kulitumia kuiangamiza Japan . Je ssa hv atakuwa nayo kiasi gan.
Indonesia
1
0
2
31
Nancy kokuhumbya
Nancy kokuhumbya@kahumbyanancy·
@kikomasta Marekani ndo nchi ya kwanza kupeleka binadamu mwezini...hizo silaha za nuclea zinazowapa kiburi ni zulipenda kwa marekani
Indonesia
2
0
2
288
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Hivi ikitokea Meli za mafuta za China na Urusi zinasindikizwa na meli zao za kivita unadhani Marekani anauwezo wa kuzizuia? Tuliza kichwa kujibu usikurupuke kama umeshikwa bega. #BilaGanzi
Jack upepo tweet mediaJack upepo tweet media
Indonesia
26
8
175
10.4K
Matupa senior
Matupa senior@Matupsenior·
@fadhili_gavi @siyagaenock1 @EliabuDanford @KennedyMmari Conclusion ni kuwa wayahudi Hawa ndio wale wale , sababu historia yao ipo na inaonyesha matukio yote tangu wakati wa Musa, mitume, utawala wa Roma , n. k mpka sawa . Hakuna sehemu ime-skip. Ila ww nikikuuliza historia ya watanzania , tulitokea wapi utajing'atang'ata tu.
Filipino
1
0
0
13
Sky High. 👽🌴
Sky High. 👽🌴@Dawizzy_9·
@Matupsenior @EddoLalika @EsirEid Ukipewa sifa za kimbunga kinachoendelea kufanya uaribifu hatutegemei kwamba uulize dalili ya kimbunga hicho kikiwa kinakuja... sababu sifa ni zile zile ila zinakuwa hazina makali kama kimbunga kikishakolea.... mfano upepo huanza kuvuma kwa kasi sana...
Indonesia
1
0
0
17