KingK

1.9K posts

KingK

KingK

@MichaRama

call me

Dar es Salaam انضم Mart 2013
190 يتبع57 المتابعون
KingK
KingK@MichaRama·
@mTusiOriginal Kwahiyo kama studio.tokea magumegume kwamba ilikua tu hivyo bila kuongezewa thamani?
Filipino
0
0
0
114
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Yule barnaba kama ana bima mshajua anacho kitaka mazee sa studio za toka magube gube mpaka leo😂😂😂🙌🙌🙌
Indonesia
9
11
86
3.5K
Judith Ndunguru
Judith Ndunguru@JudithNdungulu·
@rose_mayemba Hizi chuki sasa zimepita mipaka video ya huko kusiko julikana mtu unaiposti alafu unasema ni kazi ya mikono ya Samia kweli nchini kwentu kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake 😂😂😂😂😂
Filipino
2
0
0
89
Rose Mayemba
Rose Mayemba@rose_mayemba·
Kazi ya mikono ya Samia hii. Mwanamke aliyejitwalia umaarufu mkubwa duniani kwa kuua na kutesa watu wa nchi yake. Hivi ndivyo alivyopata ushindi wa 98% October 29. Ila, IKO SIKU.
Filipino
11
39
118
2.8K
barawih
barawih@barawih2145·
@TitoMagoti @OleMtetezi ABDUL YEYE SIO MTOA ROHO NA JIFIKIRIE AKUUE KWA SBB ZIPI?KUNA KITU GANI UMEFANYA MPKA WATAMANI KUKUUA?
Indonesia
2
0
2
772
MteteziWaKatiba
MteteziWaKatiba@TZMtetezi·
@godbless_lema Unadai uwajibikaji lakini mwenyewe umetumia lugha ya kutusi. Huwezi kudai heshima ukiwa huna heshima mwenyewe.
Indonesia
7
0
0
2.6K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hili nalo ni kosa ambalo natuhumiwa kulifanya kwa mujibu wa Msajili. Sasa narudia tena kusisitiza, ofisi za Serikali si duka la wazazi wenu wala mali ya familia zenu. Mkipewa mamlaka ya umma, mnapaswa kuvumilia kukosolewa, kuulizwa maswali na kuwajibika kwa maamuzi yenu. Kama hamtaki kusemwa, kuhojiwa au kuwajibika, acheni hizo ofisi mrudi mkakae na wake zenu, waume zenu na familia zenu. Mamlaka si kinga dhidi ya uwajibikaji. Na hili linamhusu kila mmoja wenu, hususani pia na wewe Msajili
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
116
351
1.4K
45.5K
KingK
KingK@MichaRama·
@mangekimambi Jamani mwenye account za AFCON na Miss world azitag hapa waone nchi wanayokuja kufanya mashindano yao
Indonesia
0
0
0
5
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
The Tanzania police deployed military-grade weapons during the October 29th protests. It’s as though the illegitimate government had declared war on its own people. Instead of listening to the voices of its citizens, it responded with overwhelming force. The world cannot allow Samia Suluhu to remain in power!!!!!! @potus @realDonaldTrump @SenTedCruz @SenatorShaheen
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
English
44
259
901
41.7K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Adding videos for additional evidence, in case Samia Suluhu’s evil regime attempts to distort the facts or question the location and credibility of the photos. The 3rd video attached, that’s a different victim also shot in the head by a military grade weapon. Military grade weapons were used on unarmed Tanzanian protesters . The purpose was to instill fear and terrorize citizens.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi

The Tanzania police deployed military-grade weapons during the October 29th protests. It’s as though the illegitimate government had declared war on its own people. Instead of listening to the voices of its citizens, it responded with overwhelming force. The world cannot allow Samia Suluhu to remain in power!!!!!! @potus @realDonaldTrump @SenTedCruz @SenatorShaheen

English
12
79
218
8.2K
KingK
KingK@MichaRama·
@mangekimambi Hapa zitagiwe na account za Afcon na Miss world waone wanakuja kufanya mashindanonyak sehemu gani
Indonesia
0
0
4
242
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
BREAKING: VIDEO MPYA. NEW VIDEO EVIDENCE OF THE VIOLENCE THAT TANZANIANS ENDURED DURING THE INTERNET BLACKOUT UNDER SAMIA SULUHU ORDERS. WATANZANIA AMBAO MLIKUWA MNAOGOPA KUACHIA VIDEO, PLEASE NITUMIENI ILI DUNIA IONE ILI TUPATE MSAADE WA NJE!!!!! WhatsApp +1 424 537 3057
Filipino
100
451
1.4K
59K
KingK
KingK@MichaRama·
@alpro26 @spana_Konki Issue sikulipwa. Nikeeli anaweza kuwa hapati pesa za harakati ila za gavoo anapata na alitumika. Hawa wanaharakati inajulikana wanafadhaliwa! Alipost mambo yakulipwa kipindi kile kukamilisha kazi ya CCM
Indonesia
1
0
1
13
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
Si mnaona yadayada nyingi, kasema hawezi kuwataja 😂😂 sasa alikuwa anataka space ya nini? Au tuendelee kusubiri? 😂
Indonesia
38
56
733
17.8K
KingK
KingK@MichaRama·
@spana_Konki Jamaa kamuuliza swali Zuri sana. Yeye anadai hakulipwa, anawafahamu wanaolipwa, hakuona umuhimu wakuwauliza wanaolipwa kwanini hawawashukur Ford akajipostia tu. Yote sawa, aoneshe hiyo DM yahiyo tarehe
Indonesia
0
0
12
1.7K
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
🤣🤣🤣 katoa dakika 2 space iishe ana mambo mengine ya kufanya, bila hata kutoa majibu yoyote 🤣
Indonesia
36
49
749
26.4K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
@EsirEid Kwahiyo Tweet Ya KIKATUNI Ilikua Sahihi Lakini Hakuitoa Kwa Muda Sahihi Na Wazito Wakaitumia Kuwaadhibu WANAHARAKATI Huku Wao Wakikwepa UWAJIBIKAJI Swali La Msingi Madenge Alikua Kazini Au Hakua Kazini? Ukituliza Fuvu Utagundua Madenge Alikua Kazini Na Alivuta Mpunga Mzito Sana.
Indonesia
4
6
66
3.7K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Ni Ukweli Usiopingika kwamba WANAHARAKATI WANALIPWA…. hasa waliopo Nje ya nchi kwa huku kwetu na kuna foundations kibao tu za HUMAN RIGHTS ACTIVISTS karibu kila Nchi duniani kote…. ila Kwa yaliotokea Oct 29. haikuhusiana na Malipo haya wala msukumo wa wanaharakati… Wananchi wenyewe tu walichoka… kuna raia waliandamana hata hawana SmartPhone… wengine hawapo hata mitandaoni… Yaliotokea ni matunda ya Udhalimu wa Viongozi wetu…. Huwezi zuia chama kikuu cha Upinzani chama kinachoPendwa zaidi Tanzania nzima- KUTOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU… Umfunge Mgombea Urais wa Chama…anaependwa zaidi na Vijana… Alafu u expect ZERO REACTION… HAIWEZEKANI! Tusijifiche kwenye malipo ya FORD FOUNDATION… Hawajaanza leo kulipwa… wanalipwa toka enzi… kila mtu analifaham hili… wanalipiwa RENT, CHAKULA na UPKEEP ZOTE na hata Kutoa Elimu, yale ma space nk. Ni kazi kama kazi zingine tu. Wengine wanaotaka kuongeza Elimu… wanapewa ufadhili! Hili lipo wazi… na sijui kwa nn WANAHARAKATI wanalificha hili,hawataki lijulikane! Ila haihusiani kivyovyote vile na yaliotokea Oct 29th. Tuliweke hili sawa!
Filipino
223
258
1.3K
56.3K
KingK
KingK@MichaRama·
@bizzybilo @Bughalizah @rollymsouth Nafkiri tuko same page,labda nlikua sijakuelewa toka mwanzo! Mimi nlikua sielewi watu wanaoshadadia sijui aweke space atoe ushahidi wa wanaharakati kulipwa juu ya October 29. Wanaharakati husaidiwa na haya mashirika ni kawaida, swala ni je October 29 watu walitoka kwauongo?
Indonesia
1
0
0
37
🙂
🙂@bizzybilo·
@MichaRama @Bughalizah @rollymsouth Kama umesoma vizuri nimekwambia pambano moja likaleta mengine na hayo mengine ni mapambano madogo madogo ambayo yanasaidia watu kujua uchafu unaoendelea kwenye siasa ila lengo kuu ni serikali watu wanayoitaka na katiba yenye haki kwa kila upande
Indonesia
1
0
0
23
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Kama kuna mwana harakati yeyote anajihsi ni jeuri kwangu, mwambieni aande space me ntaongea kila kitu hadi makosa yangu...Hii dhambi sitaki kufa nayo, akitokea nambieni.
Indonesia
292
100
959
295.5K
KingK
KingK@MichaRama·
@EsirEid Nafkiri shida iankuja "kulipwa" yaani kama vile waliambiwa hamasiheni fujo bila ya sababu ya msingi wakalipwa, lakini pia wakati wakuitumia hiyo kigezo chalulipwa nikama kuhalalisha Serikali wanaposema Tanzania inafata utawala wa sheria kwahiyo hao hawaitakii mema Tz
Indonesia
0
0
1
37
KingK
KingK@MichaRama·
@bizzybilo @Bughalizah @rollymsouth Msaliti ni yupi? Wanaharakati waliotishiwa maisha wakakimbia kuokoa uhai nakupata ufadhili wa mashirika ya kutetea haki nakuendelea kuikosoa serikali? Coz bado sioni kwanini mnataka kujua waliopewa pesa ilhali walichokua wanapigia kelele ni yakweli? Matatizo hayakuwepo?
Indonesia
1
0
0
28
🙂
🙂@bizzybilo·
@MichaRama @Bughalizah @rollymsouth Na katika hayo mapambano msaliti lazima ajulikane aambiwe na anapunguzwa kwenye mapambano kama wengine waliopita
Filipino
1
0
0
24
KingK
KingK@MichaRama·
@KKifaruand1377 @Bughalizah @EsirEid @rollymsouth @lifeofmshaba Yuko Nairobi kwasababu gani? Alitishiwa nchini mwake kwa kuikosoa serikali? Hizi NGOs niwatetezi wahaki na democracy. Nahawalipi kwauharakati, niwanawasaidia wahanga harakati. Wanaopambana wengi niwanataka nchi inyooke warudi tufaidi nchi wote.
Filipino
0
0
1
14
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Madenge anajaribu kuhamisha mjadala kutoka kwenye maumivu ya wananchi kwenda kwenye “wanaharakati wanafadhiliwa” suala la kufadhiliwa ni la kawaida duniani kote. Yeye ajibu kwa ku tweet ili tubaki na risiti kama alivyotweet Ile asiombe space! Swali letu ni kwanini alitumika kupush agenda kwamba walioandamana walilipwa? Zed Michele inatakiwa uelewe kitu kimoja kazi ya wanaharakati ni kutetea haki za wananchi, kusaidia waathirika wa mifumo kandamizi na kufichua abuses dhidi ya watu. Ndiyo maana mashirika ya haki za binadamu huwasaidia kwa legal aid, security, makazi na mahitaji muhimu wanapokuwa threatened Na wengi wamekimbia nchi na huko hawajaenda vacation, wengi walikuwa wanakabiliwa na vitisho, utekaji, kesi na mashambulizi kutokana na kazi zao Kwahiyo hata organisation ikiwafadhili hiyo siyo issue mpya. Hoja inayotakiwa kujibiwa na gavoo ni kwanini watu walikuwa barabarani? kwanini wengine walipotea, kuumizwa au kuuawa?
Big@Zephania_Ndaki

Njoenii Na Hoja Pls Sio Matusi. Kama Hao Mnao Waita Wanaharakati Madenge Akionyesha Miamala Yao Walipokea Pesa Nini Mtafanya Ndugu Wananchi Wa Tanzania Mtaanza Jisimamia Wenyewe Au😂😂

Indonesia
13
21
73
8K
KingK
KingK@MichaRama·
@Bughalizah @EsirEid @rollymsouth @lifeofmshaba Kinachotokea ni je watanzania wataelewa kwanini wanalipwa? Mimi naamini kabisa wanaharakati husaidiwa (kulipwa si shaihi) nahaya mashirika ya haki za binadamu. Swala ni kwamba, kama walihamasiha, waliyohamasisha si yakweli? Tanzania haina shida? Kwanini tusidili natatizo?
Indonesia
2
0
1
43
EBughaliza
EBughaliza@Bughalizah·
@EsirEid @rollymsouth @lifeofmshaba Nnavyuoona hili saga linakwenda kuwalamba baadhi yahoo wanajiita wanaharakatii yawezekana madenge ana kosa ilawale wanaweza kuwa wanamakosa lukuki kiasi kwmba madenge akaonekana malaika 😁😁 Ngoja tusubiri njaa lazima zijitenge na haki
Indonesia
4
0
4
431
KingK
KingK@MichaRama·
@Zephania_Ndaki Sasa nikuulize? Ulitegemea waishije kama serikali zinawatishia? Sawa walilipwa, matatizo ya Tz wameyatengeneza wao?
Indonesia
0
0
0
46
Big
Big@Zephania_Ndaki·
Njoenii Na Hoja Pls Sio Matusi. Kama Hao Mnao Waita Wanaharakati Madenge Akionyesha Miamala Yao Walipokea Pesa Nini Mtafanya Ndugu Wananchi Wa Tanzania Mtaanza Jisimamia Wenyewe Au😂😂
Indonesia
48
32
179
14.7K
KingK
KingK@MichaRama·
@Mwinshehe07 @trill_09 Mtu ashambiwa nimahdhirika yakutetea haki za binadamu anaulizia faida
Indonesia
0
0
0
5
KingK
KingK@MichaRama·
@azory_j46751 @Mwinshehe07 @trill_09 Ushaambiwa nu watetezi wahaki za binadamu! Sasa kufaodika nanini wao nikuona ustawi wa jamii yeyote ile (binadamu) wakiishi kwa haki. Ni sawasawa nauulize kwanini wakili au jaji analipwa kufanya kazi mahakamani.
Indonesia
1
0
0
11