
@alpro26 @spana_Konki Issue sikulipwa. Nikeeli anaweza kuwa hapati pesa za harakati ila za gavoo anapata na alitumika. Hawa wanaharakati inajulikana wanafadhaliwa! Alipost mambo yakulipwa kipindi kile kukamilisha kazi ya CCM
Indonesia
KingK
1.9K posts













Uzuri na wewe umekula hii hela..me sijala, kesho andaa space nipe muda niongee kama unaweza...mmetaka niongee



Njoenii Na Hoja Pls Sio Matusi. Kama Hao Mnao Waita Wanaharakati Madenge Akionyesha Miamala Yao Walipokea Pesa Nini Mtafanya Ndugu Wananchi Wa Tanzania Mtaanza Jisimamia Wenyewe Au😂😂



















Tatizo la Msukuma @rollymsouth ni uoga 😂. Mwanzo alikua na mbwembwe nyingi ila baada ya kukutana na mashambulizi ya wanaharakati akaufyata. Madenge man up na elezea upande wako watu waukubali au waukatae. Usife kinyonge.