FARISAYO Zee la kimila

4.3K posts

FARISAYO Zee la kimila

FARISAYO Zee la kimila

@Caibunku

Mzee wa kimila

Tanga, Tanzania Beigetreten Aralık 2017
850 Folgt325 Follower
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Kuna jamaa alikuwa anataka kuoa, ila kwenye michango watu walikuwa wanajivuta sana kutoa, Kaona isiwe kesi, katoa wote kwenye group la michango, kafuta na group Kauza gari yake moja, kaita watu kadhaa wamefanya sherehe harusi imeisha 💪
Indonesia
25
46
462
13.7K
Buba9️⃣9️⃣
Buba9️⃣9️⃣@massuidentity·
Hivi kati ya udaktari wa wanyama BVM pale SUA na Pharmacy ipi ni Cozi ngumu.? Janja anataka akapige moja ya hizo so ushauri wenu muhimu.
Indonesia
32
23
130
7.5K
KIPEPE RUNGU🇹🇿
KIPEPE RUNGU🇹🇿@DanfordTun96400·
Kufukuzwa Kazi na Kufutwa Kazi kuna utofauti gani?
Polski
5
4
37
804
Afya News
Afya News@AfyaNews255·
Mara ya mwisho post zake ni Oct 2025 @Kudu_ze_Kudu upo salamaa daktr....?
Afya News tweet media
Filipino
18
7
78
17.2K
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
Linganisha (google) bei za kuchimba visima virefu mashambani (kwa metre) kwenye baadhi ya nchi zetu humu Africa. Inaelekea kwa baadhi (Kenya, Nigeria, Afrika Kusini etc) ni nafuu. Bongo tunaelekea ICU. Sasa Chimba kisima 100m. Hapa, bila msaada wa kisheria hapa hatutoboi!
Juma Wickama tweet media
Indonesia
5
2
16
1.6K
Being 6 💊💉🌡️🩺
Daktari ataandika mwandiko Mbaya sehemu zingne zote za matibabu lakini akitaka kukuandikia kiasi cha fedha anahakikisha anaandika vizuri mno na mwandiko unasomeka 🤣🤣🙌
Indonesia
5
4
24
784
Dr.Kamami (kibungo😌) 🇹🇷
Mchungaji ametwambia sio kila mtu aliumbwa aolewe,ameshauri tumtumikie Mungu kwa nguvu zote,huku akisisitiza kutokua na ndoa hakutokuzuia kuona ufalme WA mbinguni. Bwana Yesu asifiwe wapendwa.
Indonesia
9
15
53
965
myahudi
myahudi@barackasaketz·
Nimemsindikiza jamaa angu kwenda kuoa alooh vitu anavotajiwa kwa ajili ya mahali ni vingi vingine havina kichwa wala miguu sasa hela ya bikra laki 6 ya nn na demu hajamkuta bikra...??
Indonesia
23
23
124
4.3K
FARISAYO Zee la kimila
@EsirEid Hili likifanyika ipasavyo kwa kila mtia nia Hakika itapita miaka saba bila kijana yeyote kuoa.
Indonesia
0
0
0
82
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kwa Hali ilivyo saa hizi…. Rafiki yangu akitaka kuniomba ushauri wa Kuoa… Namuambia kwanza Achukue simu ya mke Wake mtarajiwa ghafla bila taarifa…walau akae nayo mwezi mmoja! Pitia magroup yake yote… pokea simu zake zote na sms zione… Akishajilizisha ndio atangaze siku ya harusi…. Asilimia 80% ya wanawake watachomoa hapa… Mwanamke ambae hayupo tayari Uwe na simu yake walau mwezi mmoja Hana Hadhi ya Kua MKE WAKO! Ndoa sio lele mama…
Indonesia
59
53
393
14.4K
#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿
Miaka ya nyuma twitter haipiti mwezi ni challenge iwe retweets likes wazo bora Hatukukaa kinyonge laki laki simu sijui tuposho twa hapa na pale aaah tuliishi Kwani matajiri asaivi hela zenu zipo strait of hormuz?😩
Filipino
5
5
16
378
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Miji migumu kuanza Maisha Tanzania Tabora Shinyanga Singida Tanga Babati Kigoma Tuseme ukweli maeneo yenye baragashia zimekaa pamoja ni changamoto sana🥸
PASTA JOSHUA tweet media
Filipino
51
30
199
12.3K
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Events za harusi zinaboa sana. Mambo ni yale yale kila siku hakuna kipya. Ingia ukumbini, cheza kidogo, kata keki, tambulisha ndugu, toa zawadi halafu nenda kwenye msosi. Hatuwezi kufanya mambo tofauti? Yaani ni kama tumekua “programmed” kufanya hivyo. Boring and boring 🚮🚮
Indonesia
57
43
542
31.6K
FARISAYO Zee la kimila
@kasesco_tz Huyo mzee kama si ndugu yako mkulie bibi yake, ajam akaoshe masahani na huko peke yake. He has failed terribly as head of the family.
Filipino
0
0
4
1.4K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kuna hii famili nimetembelea, mkimaliza kula kila mtu anaosha sahani yake hadi baba mwenye nyumba na mgeni pia unaosha sahani yako..😅
Filipino
31
41
415
14.8K
Pharm Iddy 💊💉
Pharm Iddy 💊💉@FanuelIddy·
Yule single mother niliwaambia juzi Kati nimempata mkali naoa kaamua kuniibia pesa zangu laki 3 halafu kasepa na mwanae saiv hata sim hapokei😭😭💔💔
Filipino
20
22
92
2.7K
Mutie
Mutie@Spartatom312848·
I remember day flani siz ya Mom alikuja kutuvisit,day one she just acted normal,day 2 msichana started being nice to mzae . Adi kuna time alipelekea mzae maji kwa bafu,,Tuliamka morning flani tukamkosa, kumbe mom alimfukuza morning arudi ushago 😂😂😂
Filipino
20
62
563
23.3K
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Welcome to Kigoma Kwangu mimi Kigoma – Nambari Moja kwa Kilimo cha Mihogo na Michikichi
Thomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet media
Filipino
11
9
62
2.3K