
@Mr_pikipiki Boda 70 anazisimamiaje na yeye yupo busy muda wote !!!
Indonesia
ENGINEER
1.8K posts

@EngineerMbwa
art of thinking


Kama unafanya boda boda na ukiwa TIMAMU unajenga utajiri kimya kimya Tena kama boda ni yako na sio ya mkataba, Ni swala la muda tu.













Ukichukua chapisho lako uliloandika 2015 (mfano my own disertation) na kuingiza kwenye so called AI detectors, zinaweza kukwambia kuwa ni 80% or more AI-generated. Why? Because these models were trained on human knowledge, hivyo zinafanya assumptions kuwa zenyewe ndiyo zili-generate.



