Zirconium 🦷 💉💊️.

47.9K posts

Zirconium 🦷 💉💊️. banner
Zirconium 🦷 💉💊️.

Zirconium 🦷 💉💊️.

@a_madembwe

Dentist

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2020
3.3K Takip Edilen12.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Zirconium 🦷 💉💊️.
Zirconium 🦷 💉💊️.@a_madembwe·
Mtu mzima ana meno 32 mtoto 20.. ukichukua hayo meno 32 yaliyotoboka tunaziba yenye ugaga tunasafisha , yanayouma sana tunaondoa uhai, yenye mapengo tunaweka ya bandia. Unakuwa mtu mwenye Afya Kinywa Na Meno 🦷 SMILECURE Karibuni sana Before 👇 After 😁👇
Zirconium 🦷 💉💊️. tweet mediaZirconium 🦷 💉💊️. tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
87
107
549
75.4K
Zirconium 🦷 💉💊️.
Classmates wengi toka mbeya naona wana wito wa kuwa watumishi wa Mungu ….Wanne waliachaguliwa SUA hawakwenda wakaenda Upadre, Mmoja aliongoza shule nzima mwaka wetu kimatokeo hakwenda chuo alienda Upadre , Wawili baada ya kuhitimu medicine wamefungua makanisa kila mmoja🙌👏
Filipino
1
0
0
140
Zirconium 🦷 💉💊️.
@bohny_chengula Hizi ishu basi tu ila nilienda hivi kule kwetu yale maeneo potential ( posta , Soko ) kuna watu walitumwa kuchoma ili gabacholi wa fresh ajenge mijengo yake !.
Indonesia
0
0
0
2.4K
Zirconium 🦷 💉💊️.
Usiwape sana watu vitu , watu wana watu wao binadamu kwa asilimia kubwa hafadhiliki, usiweke matarajio makubwa kwa watu kwamba watakumbuka wema wako watu wema hawaishi mionyoni . watu wanaoishi kwenye mioyo ya watu ni watu wabaya ukitaka mtu asikusahau mtendee mabaya !
Indonesia
0
1
4
54
Zirconium 🦷 💉💊️.
@PresenterNoah Enzo hajafika Uwezo wa Fabregas / Lampard , Cucurella hajafika uwezo wa Ashley Cole / Marcos Alonso … career ya Mpira ni mda mfupi sana wacha waondoke ndyo mentality ya Owners & Sporting Directors .
Indonesia
0
0
1
87
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Enhe wanangu wa chelsea tumemsikia Enzo Fernandez na Cucurella, vipi misimamo yenu iko vipi juu ya interviews zao?!
Presenter Noah tweet media
Indonesia
50
6
165
7.1K
Zirconium 🦷 💉💊️.
@empiremotorstz @MoruoKing Maelezo mazuri , Vipi kuhusu hili unakata ticketi afu wanaghairisha safari kisha abiria unapelekwa kulala hotel ( X ) kusubri safari ya kesho hiyo hotel iko pointed kabisa na ATC hii haisababishi shirika kujiendesha kwa hasara !?
Filipino
1
0
1
1.2K
Empire Motors TZ
Empire Motors TZ@empiremotorstz·
Siku moja tulikuwa tunapiga story na Ngosha nikamuuliza inakuwaje online ticket zimekata, ila wakati wa kukwea unakutana na empty seats? Akanichapa msasa kidogo, na mwisho tukagusia hili la hasara. Naomba kumnukuu alichosema bwana Ngosha:
NYANI MZEE@jwise017

Wachumi naombeni maelezo kwa upole kwanini Shirika la ndege la Tanzania (ATC) linapata HASARA kila mwaka report ya CAG inapotoka? 👉🏿Abiria hawatoshi? 👉🏿Madeni (revenue against debts) 👉🏿Gharama kubwa za matengenezo 👉🏿Gharama kubwa za uendeshaji? 👉🏿Nyinginezo? Msaada wa UFAHAMU

Filipino
12
11
212
48.2K
Zirconium 🦷 💉💊️.
Kila nyumba ya kupanga ina kile chumba kimoja ambacho mpangaji wake anaonekana mara tatu 3 tu. siku anakuja kucheki chumba , siku anahamia na siku anaondoka …yeye hawezi lipa bili za maji , umeme wala taka !😂
Indonesia
0
0
2
147
Zirconium 🦷 💉💊️.
Zirconium 🦷 💉💊️.@a_madembwe·
@KEYDEVU Uko sahihi tajiri ambaye anatikisa kijijini kwake mwaka 2005 alikuwa anauza maandazi na mayai ( Genge) alifungua magenge mawili akaajiri wenyeji wa pale mabinti wawili kwenye hayo magenge …baadaye aliamua kuwaoa wote wawili mmoja ana watoto 6 mwingine 5 na Life Linasonga
Filipino
0
0
17
1.1K
KIDEVU
KIDEVU@KEYDEVU·
Fungua biashara halafu tafuta mfanyakazi wa kike mdogo aisimamie,baada ya miaka 6 muoe,utakuja kunishukuru badae!!📚🗝️
Indonesia
66
112
1.3K
85.7K
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
@a_madembwe Nenda ofisi yoyote ya ardhi iliyopo jirani na wewe.
Indonesia
1
0
0
16
Zirconium 🦷 💉💊️.
Zirconium 🦷 💉💊️.@a_madembwe·
Watu wa Tech hakuna uwezekano wa kutengeneza Application ya kuhifadhi data za umilikishaji wa Aridhi!? 🤔 Mtu anatunza kumbukumbu zake zote kisha awe analipia kwa mwezi / mwaka Inakuwa na Location ya Eneo, mipaka & majirani hapa tutapunguza utapeli wa kuuziwa mara mbili !.
Indonesia
2
0
4
219
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
@a_madembwe Inawezekana na nadhani wizara ya ardhi tayari wanayo hii.
हिन्दी
1
0
1
93
RaHeeM
RaHeeM@Cowwbama·
Kumbe mjomba alikua mbunge wa isimani?😳, na toka 1995 Nilifika nyang’oro sekondari nilikuta maisha ya walimu nikasema hata kwa maisha ya vip siwezi kuishi kule Kama sio Asas kuweka mifugo na yule api kufuga mbuzi hamna kitu tena, barabara ni mbovu mbovu mbovu🙌🏿🙌🏿🙌🏿 Kutoka kihesa kwenda isimani ni kama unaenda nje ya mjii wakati hamna km nyingi kiivo ila ndio hapafai hata stand tu hamna
RaHeeM tweet media
Indonesia
27
33
314
26.9K
It's MalekoGJ.
It's MalekoGJ.@GoodluckMalekoJ·
@Cowwbama Mzee ni Mbunge wa Isimanii ila Mkazii wa Iringa mjini
Indonesia
5
0
9
1.6K
Balyx
Balyx@Balyx_·
Ni mamlaka gani alinayo Waziri aa Habari, Utamaduni na Michezo kutoa kauli hii? Auyupo sahihi kwa position yake?
millardayo@millardayo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kisa tamaa za kupata Urais mwaka 2030 hawatofanikiwa, ambapo amesema Watu hao wote wanaojipanga na Urais mwaka 2030 hawatoupata. Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Jijini Arusha leo Machi 25, 2026, Makonda amesema ““Kuna Watu wengine nikikaa nasikiliza hotuba yake nasema huyu kabadilika lini?, kuna Watu wanapenda kuyatumia matatizo ya Wananchi kama vile Watetezi halafu uwezo wa kutetea hawana kwasababu hawana hiyo rekodi ya kutetea Wananchi” “Sasa tunaelekea huko 2030 wataibuka Watu wengi sana, nataka niwaambie Mtu yoyote atakayemsaliti Dkt. Samia ambaye alituona, Mimi binafsi nilipata bahati Rais Samia aliniona nikiwa Mtaani miaka mitatu na miezi sita hata simu haiiti, unakaa na Mkeo unacheza na Watoto unajifunza na muda wa kuwapeleka Shule, Mtu huyu amekuona akakupa nafasi, sasa kupitia hiyo nafasi umepata hela kidogo, umeanza kuwa na jina kidogo, unatengeneza network halafu unapambana kupambana na yule aliyekupa nafasi na heshima hiyo” “Mimi Paul Makonda sitomsaliti Dkt. Samia Suluhu Hassan na kama uongozi wangu unatakiwa kuishia 2030 utaishia hapo kwani kuna shida gani?, kwani unatakiwa utawale maisha yako yote?, na ndio maana ukiona hao Viongozi wanataka kujitenganisha hii Serikali yeye akae pembeni awe sehemu ya Wakosoaji wa Serikali” “Mimi tukiwa kwenye vita situmi Mtu, sio wale mkikutana mnachekeana aah Kamanda tuko pamoja halafu unasuka mipango huku nyuma aah Mimi nakuja mwenyewe kukushughulikia wote wanaopanga njama za kudhoofisha jitihada za Rais Samia katika uongozi wake huu kwa ndoto zako hazitotumia” “Mh. Waziri Mkuu Mimi nina bahati ya kusema kidogo ya Mungu, Watu wote wanaojipanga hawa hawawezi kushika Urais nakuhakikishia, wekeni kwenye kumbukumbu hawapati, Watanzania hawawezi kuwa wasahaulifu tutaenda rekodi kwa rekodi hauwezi kuwa Malaika dakika za mwisho, shetani ni shetani tu hata kama akizeeka” #MilardAyoUPDATES

Filipino
14
6
67
5.8K
Mod
Mod@CFCMods·
• Wesley Fofana • Trevoh Chalobah Keep or sell?
Mod tweet media
Indonesia
385
52
993
31.2K