Manyanya
327 posts


Mtangazaji 🎤 Malkia Karen uliwahi kusema huoni mwanaume wa kuzaa nae Tanzania na umeamua kwenda kupandikiza hii leo mbona unaleta huruma kua umepigwa na mme wako imekuaje?
Malkia karen 🎤 kiukweli ni kiburi cha ustar ndo kilisababisha niji u hivyo ila ukweli baba wa mtoto yupo na ndo huyu manager wangu, kitendo alichokifanya naomba mamlaka zimchukulie hatua kali pia naenda kufungua file police na kumshtaki
Ila wasanii🙌 Punguzeni standard aisee nyie ni waTanzania wenzetu dharau, kiburi na malingo viwe na kiwango ✍🏿

Suomi

#TajiriLaKihaya
Manzi huwa hazielewi wanataka Nini😂😂
Huyu kaachwa kisa…
“He’s too nice”
Hoops Crave@HoopsCrave
Lori Harvey has ended her relationship with Damson Idris: “He’s too nice”
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Watu wanaojidai kushangazwa/kukasirishwa na LISSU kuzungumza Au kuweka maridhiano na Serikali Regardless to whether akiwa Gerezani Au Huru ni WANAFIKI na WABINAFSI MNO!
Dunia KWA Sasa imebadilika saana ni KATILI MNo … International Laws zipo kwenye karatasi tu ila Hazifatwi…
Kanuni ni ile ile ONLY THE STRONG WILL SURVIVE!
Iran,MOJTABA khamenei -Marekani /Israel-Wameua BABAKE MZAZI,MKE wake na Familia yake…wamelipua Raia wakiwemo wanafunzi 168… wamelipua miundo mbinu nk…
Ila BADO wanaenda PAKISTAN kuzungumza, Kuona jinsi gani watayamaliza maisha yaendelee…
Alafu wewe unajidai Hutaki Lissu azungumze-
Ningewaelewa Kama na nyie mliopo URAIANI,mngegoma kuzungumza na serikali Au kuifanyia kazi…
Ila wewe ni mfanyabiashara- BADO unaendelea na shughuli zako na unalipa Kodi serikali bila shida… mlioajiriwa serikalini mnaenda kazini… kila kitu kipo Normal Alafu unaendelea kufurahia mwingine yupo Gerezani!
Yaani mtu mmoja akupiganie wewe…
Kama kweli mngekuwa na hio NIA…
Watu wote mngegoma hamfanyi chochote hadi LISSU Aachiwe Huru…
Walimu msiende shuleni, Madaktari msiende Hospitalini… mlioajiriwa msiende kazini…
Wafanyabiashara Msiagize mizigo… mathalan, waagiza mafuta wagome kuagiza hadi lissu aachiwe huru nk.
UCHUMI usimame…
Wiki moja tu- LISSU angekuwa URAIANI…
Ila nyie mnaendelea na your normal duties- mmeshaHALALISHA serikali mnayoiita ni HARAM…
Alafu LISSU awapiganie😅 mnashangaza! Kama kweli unampenda LISSU hauwezi furahia akiendelea kukaaa KOROKORONI… sio Sawa kwanza Kwa waliomweka in the first place Ila DUNIA HAIJALI…
Hakuna HAKI kwenye DUNIA KATILI…
Kimsingi tayari- RAIA tumesha MSALITI TUNDU… maamuzi yoyote ambayo LISSU atayachukua… ni HALALI na HATUMDAI Kwa chochote Kile…
Indonesia



















