Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒
328 posts

Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒
@MaviatuBackup
#Tanganyikan| Entrepreneur | Footwear Specialist🥾👟👞 ITech💻& Accessories | Bridging People, Business & Brands | Movies🎥 & Film🎬 https://t.co/k7GugOkeqQ |
Tanganyika Beigetreten Kasım 2025
606 Folgt1K Follower
Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒 retweetet
Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒 retweetet
Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒 retweetet

@ravuway @mentor209 Nchi zilizoendelea ndio kazi za kipato Duni zinafanywa na wageni, nchi masikini kama TZ hakuna hiyo jeuri watu hawana hata mahitaji yao muhimu jeuri inatoka wapi?
Indonesia

Mfano Paaap leo wapinzani hawapo hivi vyombo si vitakua havina kazi, au vitaanza kuwinda wanachama wajeuri?
Mwananchi Newspapers@MwananchiNews
Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameeleza kushangazwa na hatua vya vyombo vya ulinzi na usalama kutoshtukia mipango ya vurugu za kabla na wakati wa uchaguzi, akidokeza inamaanisha haviko karibu na wananchi. Kauli hiyo ya Warioba imerejea taarifa ya Tume ya Rais ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, iliyosema vurugu hizo ziliratibiwa, kupangwa na kuna watu walipewa mafunzo katika kambi iliyokuwa umbali wa mita 10 kutoka kilipo kituo cha polisi. Soma zaidi instagram.com/p/DYMdXkHjWco/
Indonesia

@mentor209 Kazi nyingi za kipato duni, nchi zote duniani, zinafanywa na wageni.
Hafu sema kazi za vibarua sio ujenzi.
Na elimu ndogo Zenji ni form four.

@Kawambwa01 @KDKRafiq01 @Roma_Mkatoliki Wewe ambae ni mtu wa karibu wa huyo jamaa ambae una taarifa zaidi ya Roma ndio ilibidi utueleze.
Indonesia

@KDKRafiq01 @Roma_Mkatoliki Jitahidi kuwaza hata kidogo, Huyo Mama yake hana ndugu hata mmoja wakike?
Indonesia

Homeboy anamuuguza mama yake, hakuna ndugu wala majirani wa kumsaidia.
Alizaliwa peke yake kwao hakuna hata mtoto wa kike na homeboy hana hata mke wa kumsaidia.
Mama hali mbaya ni wa kubeba kutoa nje na kurudisha ndani na kujisaidia hapo hapo kila kitu!!
Naam, homeboy anafumba macho anaangalia pembeni huku anamuogesha mama yake…..
Yes you heard me right anamuogesha mama yake, inamuumiza lakini ndio mitihani ya dunia!!
Homeboy anambadilisha mama yake pampas, kama ambavyo mama alimbadilisha yeye akiwa kichanga!!
#LIFE 🤲
Filipino

@zed_officially watu wa mitandaoni mnajifanya wajuaji sana mengine kama haujui ulizia au fanya research utaelewa zaidi kuliko kupost vitu ambavyo haujui?? haujakaa jela hauijui jela punguza ujuaji
Indonesia

@RevColeman First museum? Interesting? What about the one which has been in butare even before 1994 ? U r just making urself ridiculous !
English

Rwanda’s First Private Museum Shut down by Government: Museum Ingabo was Rwanda’s first private museum, founded and directed by Rwandan multidisciplinary artist King Ngabo (also known as Ngabo Musango).
The City of Kigali closed this museum as of May 7, 2026, citing the museum’s failure to meet outstanding rental payment obligations. The City of Kigali also confiscated the museum’s collections, including artworks owned by individual artists who had been working and exhibiting in the museum’s studio spaces.
According to a businessperson based in Rwanda who contacted us,"It is virtually impossible to successfully operate a major business in the country unless the ruling Rwandan Patriotic Front (RPF) and President Kagame’s inner circle hold a share in it. The government systematically bankrupts businesses that are not connected to the political elite or do not generate profits for the ruling class."


English

MASHINE YA KAZI NZITO
LENOVO THINKPAD P14s
👉INTEL CORE i7
😎 10th Gen
😋@2.3Ghz
🤭INCH 14
😊48GB RAM
😍1TB SSD
😊FINGERPRINT SCANNER
😛TOUCHSCREEN
🙈NVIDIA QUADRO P520, 2GB DEDICATED
Price: 1,900,000/=
DSM FREE DELIVERY MALIPO BAADA YA KUPOKEA MZIGO

English
Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒 retweetet

MASHINE YA KAZI NZITO
LENOVO THINKPAD P14s
👉INTEL CORE i7
😎 10th Gen
😋@2.3Ghz
🤭INCH 14
😊48GB RAM
😍1TB SSD
😊FINGERPRINT SCANNER
😛TOUCHSCREEN
🙈NVIDIA QUADRO P520, 2GB DEDICATED
Price: 1,900,000/=
DSM FREE DELIVERY MALIPO BAADA YA KUPOKEA MZIGO
☎️0788106694




English
Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒 retweetet
Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒 retweetet
Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒 retweetet
Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒 retweetet
Baraka Maviatu👞👟🥾🛍️🛒 retweetet

Ambaye ameangalia masaa yote manne ya episode 2 ya huyo jamaa wa forex aniambie kwa ufupi anaongea nini hasa? au anatafuta huruma ya watanzania 😂
youtube.com/watch?v=ID3RvR… youtu.be/ID3RvR1qJ2A?si…

YouTube
Indonesia

















