Sevmash

899 posts

Sevmash

Sevmash

@ProjectChiga

Dar es Salaam, Tanzania Joined Aralık 2018
127 Following98 Followers
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@XMusk04 @FaradayMtz01 Jack Ma ni service provider anayesaidia wauzaji na wanunuaji wa bidhaa kukutana na kufanya biashara. Jack ni intermediary ambayo kama haipo traffick ya biashara inapungua sana. Impact yake kubwa mno, wakati hawa waliosemwa hapa hawana relevant impact in supply chain or production
Indonesia
1
0
0
145
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Ukiwa na akili timamu Vunjabei, Niffer, Chief Godlove, Diamond, Lugumi n.k huwezi kuwaweka kwenye kundi la watu waliofanikiwa kiuchumi. Sababu, Hawawezi kuchangia 4% ya GDP ya nchi wote kwa pamoja. Pili, sio producers wa bidhaa wao ni kama suppliers Real wealth is productions.
Indonesia
60
74
826
32K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@Tanganyikan Lodges za Dodoma zinazidi hotels za mikoani. Nenda Mbeya uone bei ndogo ya hoteli.
Indonesia
0
0
0
270
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@Rasheed_Atm Wewe ambaye haujasoma unashindwa nini kuwa kama ambaye hajasoma mwenzio huyo Bakhressa????
Indonesia
1
0
2
206
RASHIDI ADINANI
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm·
Eti Wasomi njaa, Dangote anawezaje kuwa na Pesa ya kufungua Refinery halafu Serikali ishindwe??? Mafuta yanatoka hapo Uganda tunayapeleka Ulaya kisha ndio tuyanunue tena jamaa Hatuna wasomi Bakhesa hakusoma ila yuko mbali mara Elfu kuliko wasomi wa Africa ajabu hii.
Indonesia
18
5
107
7.5K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@Enemy_19 Nina safari ya Bukoba hii Pasaka. Kazi ngumu
Indonesia
0
0
0
143
Maverick 🇸🇴
Maverick 🇸🇴@Enemy_19·
EWURA wameshamaliza kazi yao, Sasa tusubiri mzozo kati ya LATRA na wamiliki wa Mabasi na Daladala. Hakuna mtu atakubali kufanya kazi ya hasara. Kuna mikoa kutoka Dar nauli yake itakuwa sawa na nauli ya Ndege 🤣🤣
Maverick 🇸🇴 tweet media
Indonesia
27
17
94
6.7K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@Balyx_ They are not special, hata wewe ukienda uko ukatishiwa maisha polisi wa Belgium watakulinda. Wewe si umezoea polisi wanaoua raia wao wenyewe, kule sivyo.
Indonesia
0
0
3
211
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@Jaguar_455 @jwise017 Nyerere hakuwa mfanyabiashara, serikali haikatazi mtumishi au mwanasiasa kuwa mfanyabiashara.
Indonesia
0
0
1
39
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
@jwise017 Kwahiyo nyerere alikuwa na mjengo kama huo? Hayo mambo mengine umeongea ni wewe hoja ya msingi ni kuwa nyerere hakuwa na hotel kama hiyo over
Filipino
2
0
4
1K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@muyongaedwin @ByCardoJason "Tanzanians are a funny lot man...". Focus on your primary school education, make sure you graduate.
English
0
0
1
12
Edd Muyonga Jr.
Edd Muyonga Jr.@muyongaedwin·
@ByCardoJason Tanzanians are a funny lot man, like whole grown ass men discussing music, I mean is there any other things you guys could discuss, like politics, business, meaningful things apart from yanga simba, diamond and such.
English
5
1
22
3.7K
BAD NUMBER🥷🏿
BAD NUMBER🥷🏿@ByCardoJason·
Bien alikalisha Mondi,Marioo na Harmonize mbaya kwenye featuring finale kaja kujichanganya kwa King Kiba.😁 King alimpa melody kwa ile bridge na baadae Kiba akatumia hiyo hiyo bridge kwa kubadili lyrics with the same melody kumuua Bien. Kiba ni Extraordinary .🙌🏿🙌🏿🐐🐐
Filipino
38
78
877
45.3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Chanzo cha Top C - Ulofa kuachana na mziki kipindi kile 2011 alirekod album, management yake walisambaza album bila Top C kupata chochote. Anakuja kusikia album yake watu wamekula 80M jamaa akapata hasira akarud Tanga kuuza mitumba aliacha mziki kabisa. Jamaa alipigwa 💔. PB
Filipino
17
41
576
24.6K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@INFLUENCERjr Wazungu wanafanya utalii, nyinyi mnaita kutazama mali. Wewe mali yako unaweza muachia mtu yuko Kigoma na wewe upo Mtwara na uwezo wa kusafirisha unao? Mali gani hizo unazokuja kuona tu, sio kutumia.
Indonesia
0
0
0
412
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@wimbousiobora @INFLUENCERjr Yaani mali za Mjerumani uachiwe wewe mganga wa kienyeji? Kwamba Bonn au Berlin haifikiwi usafiri hakuna au?
Indonesia
0
0
0
36
DV
DV@wimbousiobora·
@INFLUENCERjr Sio hivyo tu wale jamaa kila mwaka wanatuma wajerumani kuja kukagua mali zao kama ziko vilevile. Nyie mnaona ni watalii kumbe watu wamekuja kuhakiki mali zao
Indonesia
3
0
1
540
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@ProfessorWerner "Werner" a German name, why can't you give examples from your own. The Germans had 2 colonies in Africa, they massacred hundreds of thousands of Tanganyikans and Namibians. Then came WW1, Germans killed. WW2 Germans killed Jews, Polish, Soviets and here you tell us about Mao.
English
2
0
0
90
Professor Richard A. Werner
Professor Richard A. Werner@ProfessorWerner·
It's sad how brainwashed people are to believe that the hundreds of millions killed in the 20th century are dead despite good intentions. The principle of Revealed Preference teaches us the killings were as planned & desired. Like in China under Mao. See rwerner.substack.com
Handre@Handre

Tanzania's forced collectivization under Julius Nyerere killed more people per capita than Stalin's agricultural disasters, yet Western intellectuals still romanticize ujamaa as "African socialism." Between 1967 and 1975, Nyerere's government forcibly relocated over 13 million Tanzanians—roughly 80% of the rural population—into collective villages called ujamaa. The state promised modern amenities, shared prosperity, and liberation from "capitalist exploitation." Instead, they delivered mass starvation. Agricultural output collapsed by 50% within five years. Food imports skyrocketed from 50,000 tons in 1970 to 400,000 tons by 1974. Rural villagers who had fed themselves for generations suddenly couldn't grow enough grain to survive winter. The mechanics were predictably Austrian. When you destroy private property rights and eliminate price signals, you obliterate the knowledge that makes agriculture work. Farmers knew their local soil, rainfall patterns, and crop rotations. But central planners in Dar es Salaam decided that "scientific socialism" trumped centuries of accumulated farming wisdom. They forced communities to abandon fertile ancestral lands for designated plots that bureaucrats selected from maps. Villages that resisted faced military force—troops literally burned homes to drive families into the collectives. And the damn tragedy continues reverberating today. Tanzania remains one of Africa's poorest countries, importing food despite having some of the continent's best agricultural land. Per capita income in 2023 sits at $1,192—lower than Bangladesh. You can draw a straight line from ujamaa's destruction of property rights to Tanzania's persistent poverty. But mention this at any development economics conference and watch professors explain how Nyerere had "good intentions" and the real problem was "insufficient implementation." Lesson: Collectivism fails equally hard across race, language, geography, population size, education level, continent, or any other possible metric you can dream of.

English
7
29
104
5.8K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@Handre Am a Tanzanian. 1st, We don't have winter. 2nd, The only deaths from famine was during colonialism: the Germans in Maji Maji rebellion burned food storage and farms so as to starve people 300,000 starved. In WW1 colonial govt forced manpower to focus on war resources and fighting
English
0
0
6
394
Handre
Handre@Handre·
Tanzania's forced collectivization under Julius Nyerere killed more people per capita than Stalin's agricultural disasters, yet Western intellectuals still romanticize ujamaa as "African socialism." Between 1967 and 1975, Nyerere's government forcibly relocated over 13 million Tanzanians—roughly 80% of the rural population—into collective villages called ujamaa. The state promised modern amenities, shared prosperity, and liberation from "capitalist exploitation." Instead, they delivered mass starvation. Agricultural output collapsed by 50% within five years. Food imports skyrocketed from 50,000 tons in 1970 to 400,000 tons by 1974. Rural villagers who had fed themselves for generations suddenly couldn't grow enough grain to survive winter. The mechanics were predictably Austrian. When you destroy private property rights and eliminate price signals, you obliterate the knowledge that makes agriculture work. Farmers knew their local soil, rainfall patterns, and crop rotations. But central planners in Dar es Salaam decided that "scientific socialism" trumped centuries of accumulated farming wisdom. They forced communities to abandon fertile ancestral lands for designated plots that bureaucrats selected from maps. Villages that resisted faced military force—troops literally burned homes to drive families into the collectives. And the damn tragedy continues reverberating today. Tanzania remains one of Africa's poorest countries, importing food despite having some of the continent's best agricultural land. Per capita income in 2023 sits at $1,192—lower than Bangladesh. You can draw a straight line from ujamaa's destruction of property rights to Tanzania's persistent poverty. But mention this at any development economics conference and watch professors explain how Nyerere had "good intentions" and the real problem was "insufficient implementation." Lesson: Collectivism fails equally hard across race, language, geography, population size, education level, continent, or any other possible metric you can dream of.
Handre tweet media
English
145
902
2.6K
101.3K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@BuxMsafi @Therealngassa Stasi ilipambana against all odds. KGB with limited resources ila ilishawishi every cause mfano Palestinians, Africans na communist wazungu. Mossad imezungukwa na maadui but its surviving. CIA ina monetary resources, tech na training. MI6 has hundreds of years of experience.
English
1
0
0
29
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@ProjectChiga @Therealngassa Upo sahihi Hakuna source yoyote duniani agreable ya kuonyesha ni shirika gani bora.... HAIPO... Wengi wanaenda na CIA kwa sababu ya resources alizo nazo ila wewe unaweza kuyarank kwa historia zao... Walifanya nini? Walifanikiwa wapi? Walipitia nini n.k
Filipino
1
0
1
91
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Between mosad and CIA Nani mtabe zaidi ya mwenzake kwenye intelligencia na operation
HT
42
12
135
13.5K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@BuxMsafi @Therealngassa Kihistoria the best ni Stasi ya East Germany, Mossad, KGB, CIA na MI6. Sasa kuchukua moja direct ni ngumu labda isemwe ipi nzuri kwenye kipengele fulani.
Filipino
1
0
2
129
iamfebiani
iamfebiani@BuxMsafi·
@Therealngassa Ukitoa ushabiki wa hovyo wa humu ndani na mahaba ya watu kwenye hayo mataifa makubwa duniani.... Intelligence agency bora duniani ni MOSSAD. Shida huwa inakuja unakuta huyu ni pro Russia atakuja na FSB (KGB), Huyu ni pro US atakwambia CIA n.k Ingia chimbo wasome wote utaelewa
Indonesia
4
1
15
1.1K
mhd
mhd@mhdhamad·
Wakristo pia acheni kusema Yesu alikuwa mzungu au kushikilia picha za kizungu kama uhalisia wake Biblia haijaeleza hivyo. Yesu alikuwa Myahudi wa Mashariki ya Kati, si Mzungu. Na kuhusu mjadala wa ibada na mwenendo wake: Alisujudu alipokuwa akiomba “Akaanguka kifudifudi, akaomba…’ (Mathayo 26:39) Alizingatia usafi kabla ya ibada (mfano wa kunawa) ‘Yeye aliyeoshwa hana budi kunawa miguu…’ (Yohana 13:8–10) Hakuingia “kanisani” kama tunavyojua leo, bali alihubiri kwenye masinagogi ‘Akaingia katika sinagogi siku ya Sabato…’ (Luka 4:16) Alisisitiza ibada ya unyenyekevu na si makelele au maonesho ‘Mnapoomba, msiwe kama wanafiki…’ (Mathayo 6:5-6) Alikataza kupayuka-paya katika ibada ‘Mnapoomba msipayuke-paya kama watu wa mataifa…’ (Mathayo 6:7) Hakukuwa na mfumo wa nyimbo za ibada kama wa leo alifundisha zaidi maombi ya unyenyekevu na mafundisho ‘Basi ninyi salini hivi…’ (Mathayo 6:9) Alifundisha Mungu ni mmoja ‘Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja’ (Marko 12:29)
Indonesia
28
10
59
24.1K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@kighera50 @Hon_KibayasiF @zed_officially Siwatafuti na sitaki, ninao watu ninaoshinda nao mazingira sawa na mimi na wana kampuni, mashamba, mifugo nitatafuta hao. Hii mindset ya kuamini watumishi wa umma hawawezi kufanikiwa nje ya kazi mnakujaga kulalamika wakifa na mali zao zikajulikana.
Indonesia
0
0
1
9
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Mtu anakataa 2.5M ya kampuni anachukua 1M ya serikali et anakwambia anaangalia job security. Sasa wewe job security inakusudia nini mtafutaji ?
Indonesia
55
66
843
41.1K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@kighera50 @Hon_KibayasiF @zed_officially Basi tazama wa kwako wa private sector, mimi ninao wa kutazamia wa public maana private sibahatiki kuwaona successful mi naona wanafungua biashara hawana muda wa kusimamia. Kila mtu atazame kwenye mazingira yake, point iwe ni kufanikiwa.
Filipino
1
0
1
7
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@arnold148037 @mjomba__nimama Unaoita wajinga wanakuzidi hela wengi wao, kuna watu hawana muda wa kuzurura Kariakoo. Hiyo unayoona ni hela wanapigwa na wao wanakuona kama chokoraa kuingia Kariakoo.
Indonesia
0
0
0
46
arnold
arnold@arnold148037·
@mjomba__nimama Sio nguo tu hata home appliances zote za mlimani city wanatoa Kariakoo alafu wajinga wanaenda pale wanapigwa bei mara tatu yake
Filipino
2
0
2
345
MJOMBA NI MAMA 🦘
MJOMBA NI MAMA 🦘@mjomba__nimama·
Maduka mengi Mlimani City Wana chukua nguo kariakoo na kutundika kwenye maduka Yao alafu Bei Wanayo uza sasa unalipia mpaka wale wano kwenda kupiga picha kwe zile mbao zao..
Filipino
7
8
105
6.4K
Sevmash
Sevmash@ProjectChiga·
@MrAdventureTz @LikombeSr Umeambiwa Bolt, au unahisi wanaweka kidebe kama wewe unavyoenda na kurudi kazini. Bolt kazi yao kuendesha alfajiri mpaka usiku wa manane.
Indonesia
0
0
0
131
Mr. Gesi asilia (CNG)
Mr. Gesi asilia (CNG)@LikombeSr·
Jamaa kanunua Ist yake show room mwaka jana kwa lengo la kuipigia bolt, yeye mwenyewe ndio dereva Kaanza kazi ndani ya mwaka ananiambia mdogo wangu kila siku ya Mungu naweka mafuta si chini ya 50k ili nifanye shughuli zangu.🤔 Wiki iliopita tu, akaja tukamfungia gesi....
Indonesia
26
24
408
52.4K