Nathaniel Mwaipopo
1.4K posts

Nathaniel Mwaipopo
@nathaniel_codes
MultiAward winning Software Engineer || Blockchain || Fintechs || Clean Energy || Ai
Joined Temmuz 2019
267 Following1K Followers

Ndio maana ukitaka kazi yako ifanywe kwa industry level standards. Inabidi ufanye kazi na sisi. Ila kwanza, kindly check our website for quotations:
niatechlimited.com

Filipino

@ally_eh Sale ya $100 ni small? Hapa nahitaji kuelimishwa
Indonesia

@NhongoKe Si unaandikaje hapo message mkuu?? Hapo kwenye un encrypted message?
Filipino

@nathaniel_codes Matako yako,, wajinga mbona waliisha Tanzania? Au bado mnawaokota? Useng3 kabisa
Indonesia

@nathaniel_codes Okay sawa mkuu asantee ila pia mi sijaelewa apo kwenye kujisajili wakapay nafanya vipi mkuu msaada kidogo tafadhari
Indonesia

@nathaniel_codes Nimekufollow sababu wew ni familia
Hakuna mwaisa mnyonge💪🏾💪🏾
Indonesia

@HabariTech 😂😂😂 Ndo hicho kitu! Kusema ukweli hii industry inachafuliwa sana na watu wasio na ujuzi (unskilled) ambao wanakuja kuharibu reputation za watu.
Indonesia

Kuna sababu ile department inaitwa CSE (Computer Science & Engineering).
Nathaniel Mwaipopo@nathaniel_codes
Naomba nitoe elimu kidogo hapa. IT ni mtu anayefanya kazi kwenye application layer akitumia vitu tulivyoviuunda sisi(engineers). IT anafunga CCTV na kuinstall apps. Mimi ni Fullstack Developer na Computer Engineer professionally na GPA yangu inasadiki hilo
Filipino

@nathaniel_codes @gabyconscious Kuna janja alikuwa BS of ALL BS alikunja 4.9 hapo DIT🙌
Indonesia








