Mbwana Shekivunge

542 posts

Mbwana Shekivunge

Mbwana Shekivunge

@Sheky___

Pharmacist | Africa CDC Vaccine manufacturing Industrial Fellow 2025-2026

Durban, South Africa Se unió Eylül 2019
457 Siguiendo758 Seguidores
mr makame
mr makame@mr_makame08·
@mwampoma1 Biggy, Mungu ni mwema sana, two shots missed, aah nirudi kanisani aisee, Mungu bado ananipenda🙏🙏
Eesti
2
0
4
850
mr makame
mr makame@mr_makame08·
Nimeshihudia tukio la hivi pale Ubungo msewe, na hapo ni baada ya kutembea almost 5kms kutafuta where to buy foods, finally tukapata duka, tukapanga foleni then gari la polisi likapita, tukakikimbia, yule kaka akabaki dukani peke ake, alimiminiwa za kutosha akiwa dukani kwake
Modesta Z@ModestaZ7

Mwingine alipigwa risasi tarehe 1 akiwa dukani anahudumia wateja waliompigia simu aje awafungulie wanunue bidhaa maana wanakufa kwa njaa. Ikiwa ni saa 2 asubuhi tu na kulikuwa hakuna maandamano. Pumzikeni kwa amani ndugu na jamaa zetu .

Filipino
29
254
576
25K
Samz•
Samz•@samz__23·
"Mimi siasa sio mambo yangu" you know a nigga is stupid akiongea statement kama hio.
Filipino
28
129
455
15.8K
MgangaMeno
MgangaMeno@Choga_Innocent1·
Congratulations @LeilaUliza for serving as a panelist and bringing home a Best poster award on behalf of Blood Cancer Foundation of Tanzania and MUHAS
Muhimbili University@muhimbiliuniver

September is Blood Cancer Awareness Month (BCAM). Our MUHAS team proudly represented Tanzania on the global stage! 🌍 #Ms Leila Uliza (MUHAS Dept. of Haematology & Blood Transfusion) joined a panel on breaking barriers to CLL care, representing the Blood Cancer Foundation of Tanzania (BCFT). 🇹🇿 #BCAM2025 #MUHAS #BloodCancerAwareness

English
3
1
10
502
Lucas Massawe
Lucas Massawe@lucasmassawe_·
Alipotajwa baba levo tu nikaweka Mpira Bora niwaangalie Arsenal Nisubrie Barcelona wangu wacheze nilale.
Polski
4
0
4
305
Barakah
Barakah@stiobhans·
Kaka, @WhitefrankFrank kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ukiwa ni mwaka wa uchaguzi, na kwa kuzingatia umuhimu wa ushiriki wa vijana, tunakuomba uchukue fomu ya kuomba ridhaa ya Chama chetu Cha Mapinduzi kugombea jimbo kule K'njaro. Kuhusu hela ya fomu tutachanga
Indonesia
5
2
16
720
Barakah
Barakah@stiobhans·
Kaka @Sheky___ huyu ni yuleyule wa ghorofa la kijani pale External au namfananisha?
Jambo TV@Jambotv_

Kijana msomi na mtaalamu wa masuala ya udhibiti wa bidhaa za tiba, Japhari Saidi, ametangaza rasmi nia yake ya kuchukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2025. Akizungumza baada ya kutangaza nia yake, Japhari amesema kuwa ameamua kujitosa katika kinyang’anyiro hicho ili kutoa mchango wake katika maendeleo ya wananchi wa Singida Mjini kwa kutumia uzoefu wake katika utumishi wa umma, taaluma na ushirikiano wa karibu na jamii. “Ninaamini kuwa Singida Mjini inahitaji mwakilishi mwenye maono mapana, anayejua changamoto za wananchi, na mwenye uwezo wa kushirikiana na serikali pamoja na wananchi katika kuleta maendeleo ya kweli,” amesema Japhari. Japhari ni mzaliwa wa Kata ya Utemini, Singida Mjini. Ana Shahada ya Kwanza ya Kemia kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), na Shahada ya Uzamili ya Sayansi ya Bioteknolojia na Udhibiti wa Bidhaa kutoka Purdue University, Marekani. Kwa zaidi ya miaka 10, amekuwa akihudumu kama Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa katika Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), akihusika na usalama na ubora wa dawa katika soko la Tanzania. Katika hatua za awali, Japhari anatarajia kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo mara baada ya mchakato wa CCM kufunguliwa rasmi, huku akiwasihi wananchi wa Singida Mjini kumpokea kwa moyo wa ushirikiano na kuungana naye katika safari ya mabadiliko chanya.

Indonesia
2
0
5
380
MgangaMeno
MgangaMeno@Choga_Innocent1·
@stiobhans Hiyo kazi wanayofanya huioni? Do you think hiyo nafasi anaweza kugombea na kupata mtu yoyote? wakitoka hapo wanapata positions gani?
Filipino
1
0
1
45
Mbwana Shekivunge
Mbwana Shekivunge@Sheky___·
Senselet Tanzania was officially launched on 5 June 2025 in Dodoma by School of Pharmacy at MUHAS for enhancing the supply chain capabilities throughout the country🔥🔥 Primary partners & collaborators being #MUHAS | #LEARNLogistics by #KühneFoundation | Funding by #NovoNordisk
Mbwana Shekivunge tweet media
English
2
7
25
584
Mbwana Shekivunge retuiteado
Hamisi Msagama
Hamisi Msagama@HamisiMsagama·
Happy and energized for the team at One Health Society @onehealth_tz to receive this very important funding support to implement AMR project in Tanzania. I am always moved by the passion and commitment we have in addressing AMR. @ntulikapologwe @WHO @ProfJanabi @ECSA_HC
The Trinity Challenge@TrinityChall

We are happy to announce the winners of our 2025 Youth Funding Competition. Winners from across Sub-Saharan Africa and South Asia will be delivering campaigns on animal health to mitigate #AntimicrobialResistance. Find out about our winning teams here: thetrinitychallenge.org/news-and-stori…

English
0
11
24
837