
@Robertmagobe @aidanmponeza @jwise017 Sasa unahisi hiyo list zikiwekwa na cash number zitabaki hivyo? 😁
Filipino
Lfc-2025epl winner
7.5K posts

@78Potential
I really enjoy learning new things and am constantly seeking out new learning opportunities. Mr. Liverpool



Kwamba GSM hata kwenye kumi bora hayupo? Aisee!



@MarekaMalili Mzee hizo ni PR na zinalipiwa,me country meneja wa forbes niliwahi kaa nae ili apablish kuhusu MD wangu kipindi icho na invoice ilikuwa yuro 10K na nilikataa




@gabyconscious @Positivenga1 The total gold sector economic value for Tanzania ni around $5B, hapo umechanganya wachimbaji wakubwa, wa-kati na wadogo. Then net worth ya MO ni $2.2B, hao jamaa huwa wanamchukuliaje MO 😂😂😂















