CodeMetal

494 posts

CodeMetal

CodeMetal

@CodeMetalai

Contact: [email protected]

Bergabung Mart 2026
12 Mengikuti14 Pengikut
Dr. Meku 🇿🇼
Dr. Meku 🇿🇼@DrMeku·
@francismtey Sema sio mbaya, maana initially, walitakiwa waletwe Uganda kabla hawajapelekwa walipo sasa hivi, 😅😅 acha awakaribishe tuu warudi kwa nguvu.
Indonesia
3
0
1
183
I AM
I AM@francismtey·
Amin Dada aliwakataa Wale Jamaa na hakuna nchi inawataka sababu wanawaelewa hawa jamaa ni wakishakaa kwako wanataka "kwako iwe yao peke yao" na wakati mliwakaribisha 😆 huyu General anafanya Kosa kubwa sana. hili ni janga ...
Filipino
7
7
44
4.6K
Eli Cohen
Eli Cohen@_kibaba_·
@ayubu_madenge Hapo wameona mwandiko wa mtu kiziwi bado hawajaona wa kipofu mwenyewe kwa mkapa😂🙌🏾
HT
1
0
3
127
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Ripoti ya CAF ya ukaguzi wa viwanja inasema mpaka sasa Kenya haina kiwanja hata kimoja kilichokidhi viwango vya kuchezewa mechi ya AFCON 2027.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
20
22
385
8.5K
Mansa Mussa
Mansa Mussa@Ludan180·
@ayubu_madenge Toeni habari iliyokamilika, kama Kenya hawana, vipi majirani zao Tz na Uganda, report imekaa kimya?
Indonesia
1
0
3
328
msangi Arsenal.mkiwa
msangi Arsenal.mkiwa@Nereymsangi7·
@ayubu_madenge Hawa wanataka kuhamisha michuano kijanja kuipeleka morocco.maana tangu mwanzo walisema hatuna uwezo
Indonesia
2
0
5
502
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@gagagigikokoan @giboretz Neno maintenance halipo kwenye terminologies za kiswahili, hivyohivyo pia halipo kwenye utamaduni wa mswahili😅
Filipino
0
0
0
1
bulicheka
bulicheka@gagagigikokoan·
@CodeMetalai @giboretz Hata wangejenga miundombinu still tungeiharibu tu baada ya kuiacha, Mwafrika hana utamaduni wa maintenance, tuna shida na hatutaki kukubali ukweli
Indonesia
2
0
0
10
TheProtégéTZ
TheProtégéTZ@giboretz·
Hii ndio ilikuwa Bendera yetu, Na Katikati ya bendera ni Ngao ya Jamii (Coat of arms) ya Nchi yetu enzi tunaitwa Deutsch-Ostafrika (Ujerumani ya Afrika Mashariki) miaka ya 1885 mpaka 1918. Wakati huo nchi ilikuwa na Eneo la Mita Square 994,996 Km² ndani yake kuna Burundi na Rwanda, na Eneo la Nchi ya Msumbiji lililoitwa Kionga Triangle. Je wajua Neno La Kiswahili "Shule" limetoka kwenye Neno la Kijerumani "Schule" yote yakimaanisha "School" Maeneo Mengine yaliitwa hivi: Maeneo maarufu Kasanga → Bismarckburg Tukuyu → Langenburg / Neu-Langenburg Uvinza → Gottorp / Neu-Gottorp Lushoto → Wilhelmstal / Wilhelmsdorf Rombo → Fischerstadt Nyakanazi → Friedberg Nyanda za juu kusini Ikombe → Alt Langenburg Ilembule → Emmaberg Igulwa → Mariahilf Ushetu → Marienthal Liganga → Leudorf Galula → St. Moritz Mashariki na pwani Kisarawe → Hoffnungshöh Kazimzumbwi → Kaiseraue Mikese → Neu-Bonn Mnazi → Neu-Bethel Kusini na Ukanda wa Kilimanjaro Moshi → Neu-Moschi Arusha (Chini) → Kleinaruscha Shume (Pare Mountains) → Neu-Hornow Mbulu → Neu-Trier Kanda ya ziwa Ujiji → Udjidji Kigoma → Rutschugi Nansio (Ukerewe) → Peterswerft Liuli (Lake Nyasa) → Sphinxhafen Manda (Lake Nyasa) → Wiedhafen Sehemu nyingine Mibirizi → Bergfrieden Mlalo → Hohenfriedeberg Sekenke (gold mine) → Sachsenwald Kirondatal (mine) → Kirondathal Kipindi hiki ndio Tulijengewa Reli iliyoitwa Usambara Railway mwaka 1891 Ilijengwa na Wajerumani na ilikua na Km 350, Ilianzia Mjini Tanga, Ikawa na Makutano Na Kenya Mji wa Kahe, Ikapita Moshi mpaka Arusha. Wajerumani Katika Reli hii walikua na Vichwa vya Treni 18 (Locomotive) na mabehewa 199, Kipindi hicho Reli hii ilikua na Wafanyakazi 562 huku kati yao 35 tu ndio Walikua Wajerumani. Lengo la Wajerumani kujenga Reli hii ilikua ni Kuunganisha Bandari ya Tanga na Ziwa Victoria kupitia milima ya Usambara. Treni la Kwanza Lilipita Likiwa Tupu Tarehe 26 September 1911 ili kujaribu Safari na Kufanikiwa 100%, Likapita tena likiwa na Abiria Tarehe 4 October 1911 na kufanikiwa 100% Wajerumani wakaamini Kweli Kitu ni Konki. Hivyo ukafanyika uzinduzi wa Reli Tarehe 7 February 1912, Na Baada ya Hapo Treni lilikua lazima lifanye safari Kila siku Kutoka Tanga mpaka Buiko na Kurudi, Safari ilichukua Muda wa masaa 14 na dakika 40. Reli hii haikukamilika Mpaka Arusha sababu ya Vita ya Kwanza ya Dunia, Waingereza ndio Wakaiunganisha. Bora walivyoondoka majina magumu knoma😂
TheProtégéTZ tweet media
Indonesia
9
24
69
6.4K
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@gagagigikokoan @giboretz Ni kweli, ila hii michache iliyopo pia mingi yake alijenga mjerumani. Tofauti na muingereza aliekuja purely kuhamisha malighafi kupeleka kwake tu! Nadhani pia angesaidia kidogo ku shape mentality ya watu, tukapunguza kidogo uvivu na kuthamini kazi!
0
0
0
12
uncle chitemo
uncle chitemo@Mikumifinest·
Nazani Utawala huu ndo umeingia kwenye list ya Utawala uliochukiwa zaidi na wananchi kuliko tawala zote hapa Tanzania. Ni wa pili ukitoka Utawala wa Wakoloni ✍️
Filipino
26
46
432
10.2K
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@Addy_Adams Kwanza wameharibu starehe ya mihogo ya coco. Ilikuwa sehemu moja simple ya kwenda na family na hata hautumii hela nyingi. Siku hizi budget ya mtu mmoja pale bora niende in good restaurant nikale a very good meal! Pia professionalism hamna, mtu anapark gari anavamiwa na watu 10
Indonesia
0
0
2
302
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Hao Machinga na Mawinga wa Mihogo hapo Coco Beach walimchangia jiwe 2mil ya form waache kulialia Mabanda yatolewe yamekaa kiuchafu sana. Tunachotaka maendeleo Mwekezaji aje hatujali Mjomba wa Oman, UAE au Beberu. Kikubwa WATOKE kazi iendelee mandhari ya jiji la Dar iwe safi 🤝
Indonesia
28
39
322
16.5K
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@blackculer Na ukikaa sana na watu unaamini hauwezi kaa in silence with yourself.
Filipino
0
0
1
8
BARÇAGUY
BARÇAGUY@blackculer·
Moja ya vitu vinachukuliwa poa na kizazi cha sasa hivi ni kukaa mwenyewe ( kujitenga ) bila kuwa na watu wa kupiga nao story kubadilishana mawazo Hii ni hatari kuliko hata kisukari
Indonesia
7
11
50
1K
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@prossoff Sikusimangi mkuu na sijui hali yako, ila kiukweli maisha ya chini huwa ni gharama kuliko ya juu. Mafuta ya 20k mara 5 na mafuta ya 100k kwa pamoja ni mbingu na ardhi, unapata milage nyingi zaidi ukiweza kuweka mengi kwa pamoja. Tuzidi kupambana kwakweli!
Indonesia
0
0
0
26
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Nimeenda Petrol station moja kupima mafuta ya 20k. Taa ya gari ilikuwa imewaka na ratio huwa naijua, hii gari nikiweka 20k gauge inapanda vizuri na taa inazima. Nimempa maelekezo apime fresh na sikushuka kwenye gari, sa anasema amemaliza lakini naona taa haizimi. Ikabidi niende nje ya pump nizime gari niwashe tena pengine itazima ila hakuna. Nikaondoka kwa imani kwamba itazima. Wakuu nimeenda about 3k mzigo hauzimi na gauge inazidi shuka. Nimemrudia ananipa receipt kwamba aliweka, nikazimia gari kwenye pump wakaita manager wao akasema jambo haliwezekani. Kwa hasira manager bila kunichukua maelezo akasema wanipimie tena ya 20k. Amepima na taa ikazima on the sport na gauge tayari ikawa imefika kwenye nill. Huyu dada amezingua ila mwisho wa siku nitaonekana mie ndio shida. Harrier engine 2AZ watu mnaelewa hiyo 20k unatembea kiasi gani.
ProsperNow. tweet media
Indonesia
97
30
528
59.5K
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@Baharyy25 @Jambotv_ Wanakera sana, ila turudi twende mbele na kurudi nyuma. Waki report ya nyumbani wanatekwa, wananyang’anywa leseni, wanafungiwa kufanya kazi. Then wa mtz watasikitika kwa wiki moja halafu wanaendelea na mishe zao kama kawa!
Filipino
0
0
1
10
Mbwaa wa Ileje.
Mbwaa wa Ileje.@Baharyy25·
@Jambotv_ Vp kuhusu Tanzania kummaye zenu, ina mana mambo ya nchi za watu ndo yanawauma sana mna ya adres ktk media zenu kuliko yale ya October 29, wasenge nyie
Indonesia
2
1
4
498
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: 📍AFRIKA KUSINI - Maandamano yaliyogeuka kuwa vurugu zinazolenga biashara zinazomilikiwa na wageni weusi zimeongezeka katika maeneo ya jimbo la KwaZulu-Natal, nchini Afrika Kusini, hali iliyosababisha maduka mengi kufungwa na kuibua hofu miongoni mwa raia wa kigeni wa Kiafrika wanaoishi nchini humo. Maandamano haya yanajiri wakati ambao Afrika Kusini ikiendelea kukabiliwa na kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira kinachokaribia asilimia 32, ambapo baadhi ya Wananchi wanawalaumu wafanyabiashara wageni, hususan kutoka Nigeria, Pakistan, Ethiopia na Somalia, kwa kudhibiti sekta ya biashara ndogo ndogo, ikiwemo maduka ya rejareja maarufu kama 'spaza shops'. Mnamo Machi 25, Polisi jijini Durban walilazimika kutumia risasi za mpira na mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji baada ya maandamano kugeuka kuwa vurugu, yakihusisha vitendo vya unyanyasaji na uporaji katika baadhi ya maeneo. Kabla ya maandamano hayo, maduka mengi yanayomilikiwa na wageni yalifungwa kwa hofu ya usalama. Kwa mujibu wa Vyombo mbalimbali, tangu kuanza kwa maandamano haya, video zimesambaa mtandaoni zikionyesha raia wa Afrika Kusini wakiwashambulia wafanyabiashara wa Kiafrika, wakidai kuwa wanachukulia ajira zao na kutokuwa na vibali sahihi vya kuishi nchini humo. Matukio haya yameongeza mvutano na hofu miongoni mwa jamii za kigeni zinazohusika. Wakati huo huo, maadhimisho ya mwaka mmoja ya vuguvugu la “March and March,” linaloongozwa na Jacinta Ngobese-Zuma, yalishuhudia ukaguzi ulioratibiwa wa biashara za wageni, hatua iliyoongeza mvutano zaidi katika maeneo ya biashara hizo. Makundi kama Operation Dudula, yakisaidiwa na vyama vya siasa vikiwemo ActionSA na Inkatha Freedom Party (IFP), yamekuwa yakitoa wito wa kuchukuliwa hatua kali zaidi dhidi ya wahamiaji wasio na nyaraka halali. Aidha, taarifa zimeeleza kuwa mamlaka zimefunga zaidi ya maduka 1,000 katika miezi ya hivi karibuni kutokana na masuala ya uzingatiaji wa sheria na afya, ingawa wakosoaji wanasema kuwa kanuni hizo mpya zinaathiri zaidi wafanyabiashara wadogo wa Kigeni. MUHIMU: BAADHI YA PICHA KWENYE VIDEO HII ZINA MAUDHUI YA KUOGOFYA
Indonesia
13
8
142
18.3K
CodeMetal me-retweet
Farai Mazhindu
Farai Mazhindu@FaraiMazhindu·
The most effective trap set for Africa was the preservation of a victimhood narrative, one that many Africans have unknowingly embraced. While former British colonies elsewhere have leveraged their history to build global powerhouses, too many African nations remain tethered to the past, settling for the bare minimum while perpetually blaming imperialism for modern stagnation. Singapore, Malaysia, and Hong Kong aren't so bad today. They're building and innovating, they're not participating in the Victimhood Olympics.
Farai Mazhindu tweet mediaFarai Mazhindu tweet mediaFarai Mazhindu tweet mediaFarai Mazhindu tweet media
English
168
434
1.6K
57.9K
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@Sirajitz1 Shuleni ulikuwa back bencher anae mchora mwalimu wa physics akiwa anafundisha!
Filipino
0
0
0
225
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Tuongee serious hapa Hivi friji huwa inabadili vipi umeme kuwa baridi?
Filipino
23
25
102
8.4K
Philiberty Silayo
Philiberty Silayo@Philiberty2071·
@pastajoshuatz Ila wa africa tuna jionaje tukiwa na uongozi kidogo .tuna ona walio kuwa chini yetu kama Mataka taka yani.sijui.tumelogwa na nani au ni asili yetu tumerithi kutoka kwa na babu zetu
Filipino
2
0
1
1.3K
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Mwana katoka bongo kaingia SA kusaka dusko ana makaratasi kabisa kihalali lakini kachezea mikwaju ya kutosha kmmk Wasauzi wasenge sana huwezi ona wanamfanyia mzungu hivi na kuna sehemu katika nchi yao hawaruhusiwi kukanyaga 😖
Indonesia
71
37
289
24.5K
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@pastajoshuatz Black south Africans wamekuwa spoilt brats. Uchumi wa nchi memuachia mzungu, ila sasa serikali yao inawapa vibenefits vingi vya bure ambavyo ni vya kuwapumbaza tu ili wasilete fujo!Wakiona mtu mweusi mwingine wanahisi anataka akawapokinye hivyo vi benefits vyao🚮🚮
Filipino
0
0
0
81