Son of Kilimanjaro🇹🇿
7.4K posts

Son of Kilimanjaro🇹🇿
@HopeTonito
a small farmer
Kilimanjaro, Tanzania Bergabung Eylül 2018
3K Mengikuti911 Pengikut

@Kiokote03 @FamWorld2025 Jamaa upo nchi hii au dunia ipi
Indonesia

@FamWorld2025 Kuna watu wanakuwa matajiri kwa kuwa lesbians?😅
Filipino

kutoa ass hole
lesbian
hizi nimezikataa kwa gharama yoyote duniani na mbingu imeingilia kati🙌🏾
kama Mungu ni wa wote huo utajiri atanipa sio lazima nifanye huo ujinga
SPOON@TonnyUnfiltered
Ni dhambi gani huwezi kufanya na hufikiri kufanya ata ulipwe kiasi kingi cha pesa?
Indonesia

Enzi za serikali halali ya Mwl JKN, kuteuliwa uwaziri zilihitajika sifa haswaa ulizozionyesha katika utendaji kazi na uongozi wako wa awali!. Sasa tupo kwenye enzi za serikali haramu, kigezo kikubwa cha uteuzi ni UCHAWA. Nimeona uteuzi wa mtu aliyesema uchaguzi wa 2025 polisi walikuwa rafiki zetu wakati ndio uchaguzi pekee tulipoteza ndugu zetu wengi haijawahi kutokea tangu taifa letu liundwe. Ina maana hakuitambua hata hotuba ya tume ya jaji Chande iliyoundwa na raisi wake kuwahadaa waTanganyika.
Something is wrong somewhere,ebu fikiria kwenye nchi yenye watu 68,000,000 ambao zaidi ya nusu ni Vijana,tena Vijana walioenda shule with degrees and masters mpaka wengine wanaokota makopo na masters zao.Tunaletewa Naibu Waziri mwenye form 4 tu!
Sio fair yaani si haki kwa WaTanzania,mimi nilisema zile teuzi zilikuwa na nia ovu na wananchi waliowengi walikubaliana na mimi.@ccm_tanzania tuwakumbushe tu kwamba hii nchi ni yetu sote.Hakuna aliealikwa kwenye hii nchi,we are here by birth right.
Tuendelee kukichangia chama chetu ili mapambano ya kutafuta haki yaendelee ndugu zangu namba ni :0744 446969 Jina ni CHADEMA HQ



Indonesia

@Mziwanda98 Jamaa acha uoga,hapo washa freezer,anza kuchuna mbuzi ngozi chap
Indonesia

@killo_killo11 We ulioa kwa sababu alikuwa na simu au alikuwa na uke kama mwanamke
Filipino

@PolycarpMDM @munyamambogo Mbona kitenge anasema hakuna ubaguzi. Au hujaona video ile akinengua na wasauzi
Indonesia

ASUBUHI YA LEO, MTANZANIA MWINGINE KAPOTEZA MAISHA SOUTH AFRICA.
Anaitwa Ally Zidane (Pichani)
Ndugu yetu Ally Zidane ameuawa na raia wa South Africa kwa kupigwa risasi.
Inasemekana bwana Ally Zidane amepigwa risasi 8 katika mji wa Port Elizabeth South Africa leo, Tarehe 3/5/2026 siku ya Jumapili
Hii sio taarifa nzuri katika jamii yetu ya kitanzania, lakini ndio lishatokea tena hatuna jinsi ya kulipokea kama lilivyo.
Ally Zidane Tanzania anatokea Dar es Salam Kinondoni Manyanya.
Taarifa hii imetolewa na Mohamed Taibalh Hamza Msangi
Tarehe 3/5/2026
Phone number
+255763005575

HT

@WiliamAndason Kama hujataja Air Msae, Arusha Dar ongeza hapo
Indonesia

Nimechoka na kuona ukatili kila siku! Hivi ina maana WOOOOOOTE mliopo kwenye mfumo mnaona hii ni sawa? Mtu anatekwa alafu mwili wake unakutwa hivi? Kweki? Huku polisi wakiendelea kuteka!
Tumetoka kuona MAELFU wa ndugu zetu wameuwawa kikatili na miili yao kuachwa barabarani na baadaye kusombwa na kutupwa kama takataka! Nyie kimyaaa
Nyie ni binadamu? Hamjisikii hata kidogo vibaya?
Nyie ni mashetani WOTE! 🚮mi hata huyo @nchimbie wengine mnamfagilia nasema ni walewale! Kwani sisi wengine tulishindwa nini kukaa kimya ili maisha yetu yaende? Tulishindwa kukaa kimya kwa sababu ya UTU! Sasa mi nawaona ninyi wote mlioufyata wasaliti!
Mmekaa kimya ili uovu utawale - basi ninyi ni sehemu ya uovu!
#ChangeTanzania

Indonesia

@Maestrowafact We nawe ni wale wale tu kampani ya watekaji itakuwa,kwann achukuliwe bila taarifa anapelekwa wap kwann iwe kificho
हिन्दी

@Alphared_11 We jamaa itakuwa ubongo wako umeliwa na wadudu ukabaki na fuvu aisee
Filipino

@SSostenes14538 @Sativa255 So unatetea huo upuuzi wa Elimu ya huyo mama
Filipino

@Sativa255 Hivi ni kweli mmekubaliana ya kwamba mnapima uwezo wa utendaji kwa kuangalia uwezo wa ufaulu wa kwenye hii elimu yenu ya makaratasi?
Indonesia

Kwamba Tanzania nzima hatuna WASOMI mpaka tunaenda kuchukua hawa VILAZA na kuwapa WIZARA waongoze wasomi?
Hivi huyu kweli anastahili Uwaziri achilia mbali hata Udiwani?
Waziri gani ambaye ni Form Four Failure?
Waziri gani ana certificate 3 na zote ni za online?
Waziri mwenye certificate ndio ataongoza wizara ya ajira?
Atamsaidiaje kijana mwenye degree ambaye yuko mtaani hana ajira?
Waziri gani ana udaktari wa mchongo wa kupewa?
Samuya kaamua kutafuta Form Failure wenzake awajaze ndani ya serikali haramu maana hapendi wenye akili KUBWA anajua watamchallenge.
Anapenda vilaza wenye elimu mbalimbali kama yeye ili awaburuze.
Ni kama tupo zama za MAWE.

Indonesia














