Bill Jerry

231 posts

Bill Jerry

Bill Jerry

@JabiryJeremiah

Gracious year

Katılım Şubat 2021
137 Takip Edilen7 Takipçiler
Brenda Rupia Jonas
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia·
Enzi za serikali halali ya Mwl JKN, kuteuliwa uwaziri zilihitajika sifa haswaa ulizozionyesha katika utendaji kazi na uongozi wako wa awali!. Sasa tupo kwenye enzi za serikali haramu, kigezo kikubwa cha uteuzi ni UCHAWA. Nimeona uteuzi wa mtu aliyesema uchaguzi wa 2025 polisi walikuwa rafiki zetu wakati ndio uchaguzi pekee tulipoteza ndugu zetu wengi haijawahi kutokea tangu taifa letu liundwe. Ina maana hakuitambua hata hotuba ya tume ya jaji Chande iliyoundwa na raisi wake kuwahadaa waTanganyika. Something is wrong somewhere,ebu fikiria kwenye nchi yenye watu 68,000,000 ambao zaidi ya nusu ni Vijana,tena Vijana walioenda shule with degrees and masters mpaka wengine wanaokota makopo na masters zao.Tunaletewa Naibu Waziri mwenye form 4 tu! Sio fair yaani si haki kwa WaTanzania,mimi nilisema zile teuzi zilikuwa na nia ovu na wananchi waliowengi walikubaliana na mimi.@ccm_tanzania tuwakumbushe tu kwamba hii nchi ni yetu sote.Hakuna aliealikwa kwenye hii nchi,we are here by birth right. Tuendelee kukichangia chama chetu ili mapambano ya kutafuta haki yaendelee ndugu zangu namba ni :0744 446969 Jina ni CHADEMA HQ
Brenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet mediaBrenda Rupia Jonas tweet media
Indonesia
17
56
235
20.5K
husseinkhalid
husseinkhalid@husskhalid·
We call on Tanzanians to reject the recently released report on election violence. The report lacks truth and justice. It does not reflect what truly happened.
English
49
298
1K
28.8K
Bill Jerry
Bill Jerry@JabiryJeremiah·
@HecheJohn Si urudi kwenu Tarime..... unatafuta nini Dar es salaam
Filipino
0
0
0
326
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Yaani kutoka Ubalozi wa Ufaransa mpaka Oysterbay, tumechukua saa nzima na dakika kumi, sioni hata dalili za kufika Morocco!!! Alafu hawa ndio wanataka kutawala watu kwa nguvu kwa mtutu. Hakuna wanachoweza.
Indonesia
76
296
2.1K
34.5K
Dorothy Semu
Dorothy Semu@SemuDorothy·
📍Dar es Salaam CHADEMA HQ Leo tarehe 25 Aprili 2026 nimekutana na kufanya mazungumzo na @hechejohn Makamu Mwenyekiti Bara wa @CHADEMA ofisini kwa makao makuu. Lengo la kuonana naye ni kutoa salamu za mshikamano toka kwa chama changu cha @actwazalendo baada ya CHADEMA kufunguliwa kufanya siasa. Niliambatana na Katibu wa Haki za Binadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi, Ndg Maharagande. . . #TaifalaWote #MaslahiyaWote
Dorothy Semu tweet mediaDorothy Semu tweet media
Indonesia
66
68
678
32.1K
Muhoozi Kainerugaba
Muhoozi Kainerugaba@mkainerugaba·
I thank my dear elder Gen.Jeje Odongo for coming to support the birthday run. I have always loved and respected him.
Muhoozi Kainerugaba tweet media
English
90
318
3K
66.6K
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Namuomba Mungu sana nisife bila kushuhudia anguko la CCM 🙏
Filipino
117
376
2.2K
35.6K
Bill Jerry
Bill Jerry@JabiryJeremiah·
@Advocate_Jebra Pumbavu zenu, wauwaji wakubwa nyie.... subiri tume ya uchunguzi ije kuwaanika wahaini wakubwa nyie
Indonesia
0
0
0
169
Jebra Kambole
Jebra Kambole@Advocate_Jebra·
Nilitamani kuwa Jaji lakini baada ya kumsikiliza Jaji Kiande sitaki tena!!
Indonesia
44
170
1.3K
16.1K
Bill Jerry retweetledi
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Ntu wa dili Maria, hii list alimwambia nani aitengenezee. Ye kama nani? 😂!! Maria, mambo ya kuwa ntu wa dili ndio huwa yanakutokea puani, AIBUUU, AIBUUU. Alafu wewe, ndio unajiita mkombozi wa nchi, unaijua nchi wewe, kikundi chako tu hiko kinakushinda kila mara unachanganya mambo!! Yaan nyie, mtu ambaye anashindwa kubadilisha carpets kwao, anashindwa kujenga kaburi la baba yake ndio ataweza kukomboa nchi mfixuuuu!! AIBU YAAN AIBUUU, NJAA MBAYAAA HIZI!! Tumalize kwa Maria, alafu tuje kwa Nabii wa uongoo 😂
Johari Mshana tweet media
Indonesia
18
33
32
2.7K
Bill Jerry retweetledi
Magogoni Daily
Magogoni Daily@magogonidaily·
Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Magogoni Daily tweet media
Indonesia
1
6
17
461
Bill Jerry retweetledi
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Mungu akulinde na kila baya Dkt @SuluhuSamia ♥️
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
2
18
23
1.7K
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Mzee Seleman Bungara Bwege? Rest in peace, My Goat! You were a real one. Forever in our hearts.🫡😭
English
8
129
903
12.8K
Martha Karua
Martha Karua@MarthaKarua·
Release @TunduALissu and all political prisoners among then, Amb Polepole @mdudenyagali and stop the harassment of @ChademaTZ2 leaders if your unity bid is genuine @SuluhuSamia
MwanzoTV@MwanzoTv

#TANZANIA: TANZANIA PRESIDENT MEETS 2025 PRESIDENTIAL CANDIDATES IN PUSH FOR UNITY President Samia Suluhu Hassan convened a landmark meeting with all candidates from the 2025 presidential race, underscoring her commitment to dialogue and reconciliation. The March 31 session focused on reviewing election outcomes and fostering inclusivity, with President Samia urging political leaders to respect results and embrace civility. “We must safeguard leadership ethics, accountability, and citizen participation in order to strengthen national cohesion,” President Samia said. She emphasized that unity beyond political divides is essential for Tanzania’s progress, calling on leaders to collaborate in advancing national development. The meeting highlighted a deliberate effort to transform electoral rivalry into cooperation, strengthening cohesion in the post‑election period.

English
21
154
502
15.8K
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Kutakuwa na BIASHARA tena ya kununua WAPINZANI. Move imeanza na itaendelea, mkiyasikia hayo msishtuke. Wako busy kununua wapinzani badala ya kupunguza kodi kwenye mafuta. Wanalenga kupunguza upinzani bila kujua wanaamsha upinzani mkubwa wa UMMA. Muda wa ukombozi umekaribia.
Indonesia
16
74
539
9.6K
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Mpambanaji Bwege amelala. Makamu mwenyekiti wa Chadema Bara, Mheshimiwa John Heche ataongoza mazishi ya kumpumzisha mpambanaji mwenzetu. Ungana nasi kuishika mkono familia kwa kutuma kiwango chochote ulichonacho kwenda kwenye namba ya CHADEMA KANDA YA KUSINI
John Pambalu tweet media
Indonesia
3
29
124
1.7K
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
letter. URGENT APPEAL FOR REVIEW OF THE APPOINTMENT OF JAKAYA KIKWETE AS AU HIGHLEVEL REPRESENTATIVE.
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
English
26
151
427
19.7K
Bill Jerry
Bill Jerry@JabiryJeremiah·
@Muller95Diego @HecheJohn @TunduALissu Yale maneno sijui "shule ya sheria" mara "mwalimu wa sheria" yameishia wapi? Nyie endeleeni kuleta utoto tu, katuga yuko serious sana na hii issue.
Indonesia
0
0
0
5
Bill Jerry retweetledi
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Ninawatakia Waislamu na Watanzania wote sikukuu njema ya Eid al-Fitr. Tumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehma, kwa kutujalia kukamilisha Ibada ya Swaumu, na tumwombe apokee funga, dua na sadaka zetu. Tuungane na ndugu, jamaa, jirani na marafiki kusherehekea sikukuu hii kwa upendo na utulivu, huku tukidumisha umoja na kulinda amani ya nchi yetu, kwani ndiyo msingi wa ustawi na maendeleo ya Taifa letu. Tuyaishi na kuyaendeleza mema yote tuliyojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani: upendo, huruma na kusaidiana, tukiimarisha maadili mema na mshikamano katika jamii zetu. Eid Mubarak.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
121
130
612
33.9K
Bill Jerry retweetledi
KING WA DSM 👑
KING WA DSM 👑@dsm_wa·
Kiko wapi 😀😀😀😀
KING WA DSM 👑 tweet media
Filipino
0
3
3
314
Bill Jerry retweetledi
Lissu ni Mhaini
Lissu ni Mhaini@Dunguboy1·
UN yaisifu Tume ya Uchunguzi. Umoja wa Mataifa, United Nations, umeonyesha tena imani yake kwa Chande Commission katika juhudi za kuimarisha mfumo wa haki na utawala bora nchini Tanzania. Tume hiyo inalenga kukusanya maoni ya wananchi na wadau kuhusu
Lissu ni Mhaini tweet media
Indonesia
4
28
20
2.5K