aluta continua

4.6K posts

aluta continua

aluta continua

@BarakaPixel95

Katılım Eylül 2019
1.6K Takip Edilen1.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
aluta continua
aluta continua@BarakaPixel95·
I propose that every 29th of the month (or 28th for February), we all retweet/quote every video within @mangekimambi page rather than writing words/texts to commemorate them. Here's below are the why's 👇:-
English
1
0
2
83
aluta continua retweetledi
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kwanza kabisa, NALIPONGEZA Jeshi la polisi kwa kuanza UCHUNGUZI wa HARAKA wa KIFO cha JAMES TEMBA. Hata kama UCHUNGUZI huo utachukua MUDA MREFU kuleta MATEKEO, tuendelee KUVUMILIA kwa sababu kazi ya UCHAGUZI ni NGUMU SANA.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
6
4
37
1.2K
aluta continua retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
WATEKAJI WA NINJA WAMEJULIKANA. Kwahiyo @tanpol mmekaa na @Ninja_Damour kwa zaidi ya masaa 24, ndugu zake wamezunguka vituo vyote vya Polisi mkakana kwamba sio nyie mliomkamata, saizi ndo mnakubali kwamba mnamshikilia? Ule ni ukamataji wa aina gani, sheria ipi ambayo inaruhusu maofisa wa Polisi kwenda kukamata mtu huku wakiwa wamevaa musk za kufika sura zao na kutumia gari lenye plate number fake? Halafu siku hizi watu wote mnaowateka, mnawapeleka kwenye karakana yenu ya kutesea watu hapo Chang’ombe. Nyie ndo watekaji wenyewe, haya mtuambie na ndugu zetu wengine mliowateka akiwemo Balozi Polepole, @mdudenyagali, @DEUSDEDITHSOKA, @DIONIZKIPANYA25 n.k mmewapeleka wapi..? #FreeNinjaDamour
Hilda Newton tweet media
Indonesia
14
39
154
6K
aluta continua retweetledi
Hassan Ahmadian حسن احمدیان
Summary of Iran’s amendment to the previously submitted proposal: 1. The agreement begins with ending the war regionally, including the lifting of the blockade and addressing the situation in Lebanon—with international guarantees. 2. Negotiations over the Strait of Hormuz will not bring about a change on the ground until after the war ends—and shall be built upon the new realities emerging after the war. 3. Talks on the nuclear program comes after the end of the war, and includes concluding a non-aggression pact. 4. Regional security will be discussed regionally, that is, without direct U.S. involvement. If Washington agrees with it, this would reinforce a reality born out of war and Washington's military failure; and if it doesn’t, it will face nothing but similar responses facing its difficult options.
English
61
204
1K
39.2K
aluta continua retweetledi
Séamus Malekafzali
Séamus Malekafzali@Seamus_Malek·
Fascinating footage released by the IRGC of a class at the org's staff college in the 90s, where future IRGC leader Hossein Salami teaches a course on asymmetric warfare, teaching officers how to drag out a war with the US by driving up economic costs and political turmoil.
English
68
1.3K
6.2K
370K
aluta continua retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Nyie ambao hamna bundle la kuandika ‘Free Ninja,’ we see you! Na haina shida. Lakini shida haina adabu!🙏🏽 Free Ninja Now!!
Indonesia
5
177
379
3.4K
aluta continua retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mpwa wa #MheshimiwaTemba ametekwa kwa zaidi ya siku tatu, huku msanii huyo akikaa kimya bila kutoa tamko lolote. Huu ndio udhaifu mkubwa wa wasanii wazembe wa mbogamboga. Ndugu yake ametekwa, haonekani nyumbani siku zote hizo, hajawahi kupaza sauti kwa kuandika katika kurasa zake huko Instagram au kusema kwa maneno. Baada ya kijana huyo kupatikana ameuawa kinyama, akiwa amekatwa kichwa na mwili wake kutupwa mtoni, ndipo Temba anaibuka na kuandika: “Mungu yupo, atatenda miujiza.” Mungu hamsaidii asiyejisaidia: Huwezi kusubiri majanga yafike mwisho ndipo upaze sauti. Hakuna aliye salama. Ni lazima sote tusimame kidete na kukataa katakata vitendo hivi vya UTEKAJI na mauaji ya kinyama.
Indonesia
22
133
793
21.5K
aluta continua retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Watekaji 7 walikuwa na land cruiser, silaha na pingu. Bila shaka hawa ni polisi au task force. Tunalitaka jeshi la polisi litoe taarifa rasmi kuhusu tukio hili, tujue Ninja anashikiliwa wapi na kwa sababu zipi. Na haki zake zilindwe. Free Ninja Now!!
Tito Magoti tweet media
Filipino
5
108
300
3.5K
aluta continua retweetledi
#FreeNinja
#FreeNinja@MwansasuSnr·
#FreeNinja Mpaka mwanangu urejee home ✊
#FreeNinja tweet media
Indonesia
3
151
245
2.9K
aluta continua retweetledi
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨 Michael Carrick in four months as Man United interim manager… ➖Defeated Pep Guardiola’s Man City. ➖Defeated Mikel Arteta’s Arsenal. ➖Defeated Arne Slot’s Liverpool. ➖Defeated Liam Rosenior’s Chelsea. ➖Defeated Unai Emery’s Aston Villa.
Fabrizio Romano tweet media
English
2.7K
11.9K
81.2K
1.9M
aluta continua retweetledi
Al Jazeera English
Al Jazeera English@AJEnglish·
Hezbollah is increasingly using a new kind of weapon in its fight against Israel. The group is using small fibre-optic drones to attack Israeli soldiers and tanks inside Lebanon. They’re cheap, very difficult to detect, and can’t be jammed. Al Jazeera’s @TheMikeAppel reports.
English
109
1.5K
6.4K
292.9K
aluta continua retweetledi
Dapo.
Dapo.@Dxpo_·
Ya Allah strike down this league.
Dapo. tweet media
English
708
4.5K
49K
1M
aluta continua retweetledi
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
In CSI point of view, kwa kuondoa kichwa, wameziba mianya ya pathologist kukadilia muda wa tangu kifo hadi kugundulika kwa maiti (Postmortem Index PMI) Ni kwa sababu haitawezekana tena kufanya observation kwenye Ocular changes (mabadiliko ya macho tangu kifo). Vitu kama ocular opacity (ukungu wenye umpo la pembe tatu kama marehemu hakufunga macho), na pupillary/corneal reflexes, haviwezi kuwa established ku support PMI Pia kwa maiti kuwa majini, PMI haiwezekani kuestablish Algo-mortis (change of corpse’s body temperature to ambient temperature) But naona bado kuna chances kuestablish PMI kwa kuangalia rigor-mortis. Maiti inayoelea bado imekamaa hivyo bado protein ya kwenye misuli haijakuwa decomposed. Hali hii inasuggest kuwa kifo kimetokea chini ya masaa 36 (less than three days) Pia kwa Livor-Mortis (Kusimama kwa mzunguko wa damu baada ya kifo, husababisha damu kuvilia sehemu ya chini aliyoegemea maiti) inaweza kubainika kama maiti iliuwawa sehemu kisha ikahamishwa na kutupwa mtoni, au ilichinjiwa mtoni. Baada ya masaa 12 tangu kifo, lazima sehemu yoyote ya maiti zilizoguswa zitaacha ile alama ya pressure iliyotumika wakati wa kuhamisha maiti. If I would be investing this case, ningeanza sana kuziwakia nyendo za marehemu siku tatu nyumba kabla ya tukio. Marafiki, ndugu na jamaa wangesaidia kidogo kumprofile marehemu. Kwa maendeleo ya sasa ya tekinolojia, simu za marehemu na mitandao yake ya kijamii (kama alikuwa nayo), vyote vingeunda profile ya marehemu. Profile ya marehemu ingeleta profile(s) ya wauaji wake equivocally Ningejiuliza pia, Je marehemu alishawahi kuwa na maoni yoyote kinzani na yale yanayoendelea Gaza? Ni kwa sababu nchini Gaza ni bora umseme Mungu kuliko Ruth aliyegeuka mwamba wa chumvi.
Fortunatus Buyobe tweet media
Fortunatus Buyobe@fbuyobe

F1 is the footage that surfaced this weekend on social media portraying a headless corpse of a male human being. The voice from the footage alleges the corpse to be found in Tabata area, the suburb of Dar Es Salaam Today I have received credible information that the deceased has been positively identified by his family members as JAMES TEMBA, a second year student at the Institute of Finance Management I’m closely following up the scene to understand the motive of his supposedly culprits

Indonesia
17
42
224
20.5K
aluta continua retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi
66
298
889
38.8K
aluta continua retweetledi
Mark Kretschmann
Mark Kretschmann@mark_k·
The scale of @SpaceX Starship is just so insane. In this video it's especially visible:
English
877
2.4K
19.8K
30.4M
aluta continua retweetledi
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Kwa nini tusiache hashtag ya #FreeNinja? 1.​Inalinda usalama wa mhanga kwa kuweka macho ya dunia kwake. ​2.Inazuia tukio kusahaulika au kuzimwa. 3.​Inatuma ujumbe kuwa umma unajua na unafuatilia. Paza sauti, usinyamaze #FREENINJA
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI tweet media
Indonesia
8
204
324
4.8K
aluta continua retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Nimechoka na kuona ukatili kila siku! Hivi ina maana WOOOOOOTE mliopo kwenye mfumo mnaona hii ni sawa? Mtu anatekwa alafu mwili wake unakutwa hivi? Kweki? Huku polisi wakiendelea kuteka! Tumetoka kuona MAELFU wa ndugu zetu wameuwawa kikatili na miili yao kuachwa barabarani na baadaye kusombwa na kutupwa kama takataka! Nyie kimyaaa Nyie ni binadamu? Hamjisikii hata kidogo vibaya? Nyie ni mashetani WOTE! 🚮mi hata huyo @nchimbie wengine mnamfagilia nasema ni walewale! Kwani sisi wengine tulishindwa nini kukaa kimya ili maisha yetu yaende? Tulishindwa kukaa kimya kwa sababu ya UTU! Sasa mi nawaona ninyi wote mlioufyata wasaliti! Mmekaa kimya ili uovu utawale - basi ninyi ni sehemu ya uovu! #ChangeTanzania
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
53
177
615
42.6K