silencerR
507 posts


@ChachaWegelo Fungua duka la dawa dogo tu then unakua mdg mdg may be unaweza otea bingo ukafungua kubwa zaid
Indonesia

@godbless_lema @UlimwenguJm kama wanataka pesa si wajenge Express way tulipie? wajenge parks tulipie? wao wanataka vilivyo tayar tu
Indonesia

@UlimwenguJm Na kitu kibaya zaid ametoa kauli hii huku akiwa amevaa suti na tai !! Imagine ?
Indonesia

@ProjectChiga @FaradayMtz01 Vunjabei Ana real estate company hii sio level ya production?
Română

@XMusk04 @FaradayMtz01 Jack Ma ni service provider anayesaidia wauzaji na wanunuaji wa bidhaa kukutana na kufanya biashara. Jack ni intermediary ambayo kama haipo traffick ya biashara inapungua sana. Impact yake kubwa mno, wakati hawa waliosemwa hapa hawana relevant impact in supply chain or production
Indonesia

@GraceNguo mke wangu kama anataka zaid ya watatu atahudumia yeye 😎
Indonesia

This is one of first discussions nailetaga mezani during talking stage. Watoto na idadi. Kuna namba siwezi vuka bora tuelewane mapema😅😅
Sonia@BalogunSonia4
What happens if your partner wants kids and you dont...?
Filipino


Nilikua naongea na old classmet ambaye anapenda kua Neurosurgeon USA. Nikamwambia kwamba ni ngumu sana kuipata yaani almost impossible. Hizo specialty most of the time wanapewa wazawa. Akasema kama hivyo bora abaki bongo.
Wewe unaonaje? Ni bora uwe neurosurgeon bongo utimize ndoto yako ya kua na shule bila pesa au ufanye speciality yeyote USA afu uwe na mpunga mwingi?

Filipino

@baraka_asege Wanashangaza sana yan mtu kawekeka assist zote kwenye njia ata angekuwa Selemwalim angefunga alafu hawampi Man of the march
Indonesia

Usiishie hapo…
Pia ongezea CURRENCY DISPARITY.
Kuwa 1$ ni sawa na Tsh 2500 (at least)
na kima cha chini cha mshahara cha Wastani ni $8 kwa saa, ambayo kwa siku ya masaa 8 ya kazi ni $64 (Tsh 160k)
Soo mtu wa chini kabisa analipwa kwa siku hela ya kutosha kunanunua litre hata 42 za wese.
Mshahara wa Daktari ni 900k kwa mwezi. So kwa siku ni 30k, so anaweza nunua litre 8 tu (na huyo ni Daktari)
Tanzania sidhani kama kuna watu zaidi ya million 5 wanaolipwa at least 900k .
NDIO TATIZO LA VIONGOZI HARAMU
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki
Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters So 1Liter = 0.26 Gallons. Kama Gallons 6🇺🇸 =22.7 Liters = 30$=Tsh.77,500/= Then Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters =5$ = Tsh. 12,900/= Gallon 0.26 = 1.3$ = 1Liter = Tsh. 3,360/= Hence 🇹🇿 Wese lita 1 = 3800 🇺🇸 Wese Lita 1 = 3,360 HII DOLA 800 Imetoka wapi?🤔 800$ Lita 1?😌😳 Ujue 800$ = Milioni 2 Na Elfu 70
Filipino

@Wakazi Kima cha chini cha mshahara wa wastani kwa bongo hivi ni shi ngap?
Indonesia

@tibaasili3 @Twaha_Mwaipaya ata akitizama thaman bado marekan mafuta ni bei rahs kuliko tz
Indonesia

@Twaha_Mwaipaya hapo hatazami quality ya mafuta wala thamani ya pesa yetu,hapa kazi tunayo
Filipino

@MichaelMad29165 @Twaha_Mwaipaya mafuta marekani ni bei chee kuliko bongo 😂
Filipino

@Twaha_Mwaipaya Hivi kwanini viongozi wetu wa serikali hawaweiz kusolve matatizo ya wanachi wao bila kujifananisha na mataifa makubwa
ambayo kimsingi yamtuzidi kila kitu.
Indonesia

@AnthonyEme27082 Nikununulie gari uache kutembea kwa miguu unaonaje?
Indonesia

@Henrydan25 @emabilly2001 Faida yake ni kwamba utajenga nyumba alafu baada ya miaka ya bond kuisha utarudishiwa pesa yako, may be ni miaka 20 au 15 lakn utarudishiwa mil 100
Indonesia

@XMusk04 @emabilly2001 Nipe shule zaid ya hii hapa, faida yake ni nn?
Eesti

Kama angekopa 100mil akajenga nyumba nan angelipa deni?
Davinci🎯@ThatDocc
@XMusk04 @emabilly2001 Na hiyo million 100 ya kwanza nani atakuwa ameilipa?
Indonesia

@SportsarenatzTz juzi bandani kuna mshikaji kasema hili gueye ni machachari ila hana hatari, ni kama akina mpanzu na kisinda tu
Indonesia

💬 | Tuhamie kwa mchezaji anayeitwa Libasse Gueye. Alipoingia katika timu niliona ataleta jambo jipya. Ana kipaji maridhawa lakini nimeanza kuwa na mashaka na msaada wake katika timu.
Kipaji siyo kila kitu. Kipaji inabidi kilete bidhaa ya mwisho Bao au pasi ya bao. Libasse anahitaji kubadilika.”
— Legend, Edo Kumwembe.


Filipino















