Lfc-2025epl winner

7.5K posts

Lfc-2025epl winner

Lfc-2025epl winner

@78Potential

I really enjoy learning new things and am constantly seeking out new learning opportunities. Mr. Liverpool

가입일 Ağustos 2019
1K 팔로잉770 팔로워
Magobe
Magobe@Robertmagobe·
@aidanmponeza @jwise017 Huku Mbeya mchimba madini mmoja anaitwa Mdimi - Aidan Msigwa alipiga kg 112, hizo ni anazotaka ujue (reported) bado za kuficha. Kunajamaa yake wala hamsogelei MDIMI kabisa,, wakati wa kampeni za mbogamboga akawapiga 2billions za bure
Indonesia
1
0
0
124
Learner✝️🛐
Learner✝️🛐@ProLearner77·
@Paulmeda1 @Positivenga1 Nakujibu kama unataka kujua. Kwa lugha rahisi. Mo ni DALALI Mo ni TRADER Mo anazalisha bidhaa chache sana (Khanga, Tshirt, mafuta ya kula, sabuni, other FMCGs Anauza Mafuta likely na ana Empty container depot. Mtandao wake wa viwanda nje ya TZ siyo mkubwa, kama ilivyo TZ.
Filipino
3
0
0
78
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Ukiuliza nani anamzidi Mo utajiri watu hawamtaji mtu, wanataja sekta. “Kuna wachimba madini wametulia uko ila …” “Kuna wasiasa wamejikausha tu ila wana ela…”
Indonesia
14
8
103
9.4K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Pale Advance ilikuwa tunacharge simu chooni,.. extention moja inaunganishwa waya kama mia tano hivi, bhasi kuna mwana alikuwa na tambo kali sana, muhuni mmoja wa kigoma akaingia tamaa akaiba..watu wa kusoma alama wakadeal na kila anayetoka nje ya shule siku inayofata, team moja ya upelelezi ikamnyaka mwana ndio yupo kwa fundi anaiflash ile simu,.. bhasi wakamnyaka na ushahidi hadi skuli,. Habari zikatembea kama kawaida, nikaulizwa mimi nikiwa ndio monitor wa comb ambayo mwizi anatokea,. Nikaamuru kijana wangu apige bakora tatu na kila mtu , hapo masela combination zote tupo kama 100+, ila mimi kwa sababu ndio baba ake darasani mimi nikamchapa tano😂💔 ... usiku baada ya prepo wana wamepanga mstari wanachapa huku wanamuonya, kiufupi Aliiva🙌.. Walimwengu hatuna uchoyo kwenye mafunzo🤒🤝.
Filipino
29
34
347
23K
Ray Asel
Ray Asel@rayasel94·
Curtis Jones anavuta pesa ndogo kuliko Samatta Ila Liverpool jau sana 😂
Indonesia
23
9
318
29.9K
Eng Jubel
Eng Jubel@EngJubel·
Kuna msikiti mmoja upo mitaa ya upanga, nafikiri ukiwa na good communication skills na uka swali pale mara 2 3 lazima upate ajira.
Indonesia
37
37
953
47.3K
R.M
R.M@shibobo___·
@EngJubel Kama ni ngozi nyeusi utapiga ibada hata miaka 20 ule uwanja it’s for Asian peoples tu na sio pale tu misikiti ya posta karibu yote ya ushuani
Indonesia
2
0
20
3.1K
Lfc-2025epl winner 리트윗함
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Daah kummke africa tupo bize sana.🤣
Filipino
36
45
383
27.6K
Hussein Mshangama
Hussein Mshangama@HusseinM16614·
@kikomasta Ghaza mbali huko hapo Somalia tu Delta Force walichakaa mpk wakakimbia kwa aibu.
Indonesia
1
0
4
1.9K
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Kila nikikumbuka hawa Delta Force waliingia Gaza kutafuta Mateka wa Israel wakatoka mikono mitupu nashindwa kuwaelewa Venezuela. #BilaGanzi
Jack upepo tweet mediaJack upepo tweet media
Filipino
82
31
640
45.4K
Lfc-2025epl winner 리트윗함
† 👑OGUNNUSI KING LEXZY OF ABUJA † 💙
I thoroughly enjoyed this short documentary of Chris Eubank boxing career.💪🏽 If you love boxing you’ll enjoy it too.🔥
English
373
6.7K
22.3K
489.1K
Gery
Gery@Gery_Gerrald·
Wenye uzoefu na biashara za mawssiliano, ni afadhali ukauza accessories ndogo ndogo kama covers, chargers n.k au bora uuze simu moja kwa moja?
Indonesia
9
7
107
24.5K
Lfc-2025epl winner 리트윗함
Dirty Footballer 👊
Dirty Footballer 👊@DirtyFootbaIIer·
This will never be beaten 😂
English
21
95
1.6K
536.8K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Hii assist ya Robert Sanchez italeta shida sana pale Tasaf najua tu 😀😀
Indonesia
29
28
767
18K
Lfc-2025epl winner 리트윗함
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Yote yalishasemwa… WAKAZI #TZHipHop “Listen, internet ina athari kiuchumi Huduma za Afya, Elimu, na Socially sio uvumi Wanahabari wapo huru, Sheria zilizowafunga zipo hai Alipewa kesi ya kutanga Freeman wa Hai Political Oppression, Democracy Regression Media zinabanwa, hakuna Freedom of Expression Tuna mengi sana mama, lets put our words to actions Naongea kwa niaba ya wana, through the speakers that I’m blasting”
Indonesia
2
45
153
2.5K
Lfc-2025epl winner
Lfc-2025epl winner@78Potential·
@GeorgeJob14 Tuliwahi kuwa na Suarez ambae ni Bora zaidi ya Salah ila hatukuchukua epl, kuchukua league ni muunganiko wa defense nzuri, mid na mbele sio Salah tu. Koch pia
Indonesia
0
0
0
537
George Job
George Job@GeorgeJob14·
Someone just reminded Carragher that before Salah also Liverpool didnt win the EPL for 30yrs.😂
English
47
71
1.2K
46.1K
Lfc-2025epl winner 리트윗함
Lea
Lea@Lea_EFC·
Which Cartel do you belong to?🤔 🔴 Red Cartel 🔵 Blue Cartel 🤔 Don’t let them red mf’s win this!
Lea tweet media
English
279
390
15.5K
203.3K