Kuna jamaa alikuwa anataka kuoa, ila kwenye michango watu walikuwa wanajivuta sana kutoa,
Kaona isiwe kesi, katoa wote kwenye group la michango, kafuta na group
Kauza gari yake moja, kaita watu kadhaa wamefanya sherehe harusi imeisha 💪
Linganisha (google) bei za kuchimba visima virefu mashambani (kwa metre) kwenye baadhi ya nchi zetu humu Africa. Inaelekea kwa baadhi (Kenya, Nigeria, Afrika Kusini etc) ni nafuu. Bongo tunaelekea ICU. Sasa Chimba kisima 100m. Hapa, bila msaada wa kisheria hapa hatutoboi!
Daktari ataandika mwandiko Mbaya sehemu zingne zote za matibabu lakini akitaka kukuandikia kiasi cha fedha anahakikisha anaandika vizuri mno na mwandiko unasomeka 🤣🤣🙌
Mchungaji ametwambia sio kila mtu aliumbwa aolewe,ameshauri tumtumikie Mungu kwa nguvu zote,huku akisisitiza kutokua na ndoa hakutokuzuia kuona ufalme WA mbinguni.
Bwana Yesu asifiwe wapendwa.
Nimemsindikiza jamaa angu kwenda kuoa alooh vitu anavotajiwa kwa ajili ya mahali ni vingi vingine havina kichwa wala miguu sasa hela ya bikra laki 6 ya nn na demu hajamkuta bikra...??
#TajiriLaKihaya
Kwa Hali ilivyo saa hizi….
Rafiki yangu akitaka kuniomba ushauri wa Kuoa…
Namuambia kwanza Achukue simu ya mke Wake mtarajiwa ghafla bila taarifa…walau akae nayo mwezi mmoja!
Pitia magroup yake yote… pokea simu zake zote na sms zione…
Akishajilizisha ndio atangaze siku ya harusi….
Asilimia 80% ya wanawake watachomoa hapa…
Mwanamke ambae hayupo tayari Uwe na simu yake walau mwezi mmoja Hana Hadhi ya Kua MKE WAKO!
Ndoa sio lele mama…
Miaka ya nyuma twitter haipiti mwezi ni challenge iwe retweets likes wazo bora
Hatukukaa kinyonge laki laki simu sijui tuposho twa hapa na pale aaah tuliishi
Kwani matajiri asaivi hela zenu zipo strait of hormuz?😩
Miji migumu kuanza Maisha Tanzania
Tabora
Shinyanga
Singida
Tanga
Babati
Kigoma
Tuseme ukweli maeneo yenye baragashia zimekaa pamoja ni changamoto sana🥸
Events za harusi zinaboa sana. Mambo ni yale yale kila siku hakuna kipya. Ingia ukumbini, cheza kidogo, kata keki, tambulisha ndugu, toa zawadi halafu nenda kwenye msosi. Hatuwezi kufanya mambo tofauti? Yaani ni kama tumekua “programmed” kufanya hivyo. Boring and boring 🚮🚮
I remember day flani siz ya Mom alikuja kutuvisit,day one she just acted normal,day 2 msichana started being nice to mzae . Adi kuna time alipelekea mzae maji kwa bafu,,Tuliamka morning flani tukamkosa, kumbe mom alimfukuza morning arudi ushago 😂😂😂