lobos

1.7K posts

lobos banner
lobos

lobos

@takecaremate

Suspect is armed and dangerous, proceed with caution.

Dar es Salaam, Tanzania 가입일 Eylül 2022
333 팔로잉85 팔로워
lobos
lobos@takecaremate·
@HildaNewton21 Uzuri taarifa umeipata, na ipo siku uta ! Acha niishie hapa hapa.
Eesti
0
0
0
27
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kwamba Jeshi la Polisi mnataka mie nifike kwa DCI? Mnataka nijilete kwenu nyie ambao April 24, 2025 mliniteka pale Mahakama ya Kisutu mkakaa na Mimi Central Police kisha mkanijazisha na kunisainisha fomu ili nijidhamini halafu nimetoka tu nje mkanigeuka, Mkanikamata tena na kuniweka lockup. Nijilete tena? Nijilete kwenu nyie ambao Oktoba 29 mmeuwa kwa risasi Watanganyika wenzangu zaidi ya elfu kumi na wengine mmewapa vilema vya maisha na wengine mpaka leo wanauguza majeraha ya risasi? Nijilete kwenu nyie ambao mpaka leo mmeshindwa kuwakamata watu waliofanya jaribio la kumuua Mhe. Lissu kwa risasi 37 September 7, 2017 kule Dodoma.? Yani mimi na akili zangu nijilete machinjioni si hata mtoto angu atanishangaa?😂😂😂 Labda niwambie tu kwasasa nna kazi kubwa ya kupigania ukombozi wa Taifa letu, tupate Katiba Mpya, Tume huru ya Uchaguzi tuwe na mifumo Imara ya utoaji Haki ili wote tuishi kwa usawa kila Mwananchi aifurahie nchi yake na ahisi kuwa salama. Baada ya hapo ndio tunaweza kuombana ushahidi wa andiko langu au mimi kujileta kwenu kwasasa acha niwasaidieni kwanza kupambania mifumo ibadilike na kazi yenu itakuwa rahisi. Hata mimi nitawapa ushirikiano huo muda ukifika. Tofauti na hapo sijileti machinjioni ng'o.
Hilda Newton tweet media
125
291
1.7K
127.6K
lobos
lobos@takecaremate·
@joeselasini @HecheJohn Kuandamana? Maandamano ya nini? Kwann niandamane? Acheni kupoteza muda na wanasiasa.
Filipino
0
0
0
151
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Katika hili nawaza @HecheJohn kwanini yasitangazwe maandamano nchi nzima; - Kuutaka uongozi wa mahakama kuwajibika kwa kuonyesha uonevu wa wazi. - Kudai kesi ifutwa na Lissu kuwa huru. - kudai hatma ya wanachama na viongozi mf. Mdude, Soka, nk iwekwe wazi na vyombo vya uchunguzi?
Farah Omar@FarahOm91196252

Mheshimiwa Jaji Mkuu kesi ya Lissu Mwanasheria Mkuu na timu yake wameona hawawezi kufanikiwa kumtia hatiani Lissu wameamua kuchelewesha kesi kuomba mapitio katika Mahakama ya Rufaa nayo imepaki kesi na mtaani vuguvugu la Free Lissu limeanza lawama ni Mahakama sio Mwanasheria Mkuu

Indonesia
5
11
81
2.5K
Mr Nyongololo
Mr Nyongololo@diojariko·
@Baradhuli2 Tangu 1961 wa Tanzania wanakilio cha maji ,ww akili zako zipo matakoni
Polski
2
0
1
409
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Mimi naona faida yao ni kuwafundisha vijana kutokuwa na hoja bali ubishi na kuhakikisha hatusikilizi bali tunatukana watu wenye hoja mitandaoni. Kama naongopa someni komment zitakazokuja hapa.
BARADHULI tweet media
Indonesia
48
27
66
10.9K
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
Hakuna chama Hapa Nchini kitakacho Kufa vibaya kama CCM
Indonesia
8
11
137
1.8K
MOST WANTED JR
MOST WANTED JR@UchafuziM·
1.Tumeona damu za @mdudenyagali sakafuni 2.Tumeona damu za aliekuwa balozi H.Polepole. 3.Tumeona alietekwa Dar @Sativa255 akapigwa risasi mbugani Katavi 4.Familia nyingi wanalia wapendwa wao wemetekwa mpaka leo hawajapatikana Maridhiano bila UWAJIBIKAJI NI SAWA NA UTAPELI.
Indonesia
2
51
161
4.1K
lobos
lobos@takecaremate·
@abelsima45 You're very right, maridhiano yatakuja, atatafutwa mbuzi mmoja au wawili watatu wa kafara. (Notably not the president kama mnavyotaka) but wataletwa watu very credible for sacrifice. And baaam everything is back to normal.
English
1
0
1
5
SIMA
SIMA@abelsima45·
@takecaremate Hatupingi maridhiano ila maridhiano yasiwe ya kiini macho. Maridhiano ya janja ndo hayatakiwi tunataka maridhiano ambayo wahusika watakubali kuwa walikosea na watawajibika kwa makosa yao
Indonesia
1
0
1
46
SIMA
SIMA@abelsima45·
Siku CDM wakiridhiana na CCM ndo siku I will totally withdraw from politics. Bora nikamfatiliage pipy tida tu.
Indonesia
17
8
118
4.4K
SIMA
SIMA@abelsima45·
Just imagine mtu wako wa karibu maybe aliuwawa au aliachwa na ulemavu wa kudumu 29oct then unaskia kuna watu wamekaa wameridhiana kuendelea as if nothing happened na bila mhusika kukiri na kuwajibishwa. Hivi utajiskiaje? CDM mkikubali tutajua mlitutumia wananchi kama sadaka yenu.
Indonesia
2
3
6
209
lobos
lobos@takecaremate·
@Chahali Ni brenda rupia.
Indonesia
0
0
0
45
lobos
lobos@takecaremate·
@Junior18Mandy @Chahali Mnakana taarifa iliyotolewa na mkurugenzi wa mawasiliano - brenda rupia. Si ndio?
Indonesia
0
0
1
25
@מטנגנייקה
@מטנגנייקה@Junior18Mandy·
@Chahali Huyu nae kakurupuka Lisu mara zote akiwa na ujumbe account zake zinareport ila kwanini hii aijareporiea na _Admin
1
1
3
1.3K
Laizer Mayon
Laizer Mayon@MayonLaizer·
Lissu ametoa somo la sheria: Makubaliano yoyote halali lazima yawe na Free Consent. Huwezi kufanya mazungumzo ya haki na mtu uliyemfunga pingu—kisheria hiyo ni Undue Influence. Lissu amekataa "kuuzwa" kwa mazungumzo ya kutafuta uhuru wa upendeleo. Anataka UHURU wake kwanza on merit (kwa haki), ndipo aketi mezani kama mtu huru kufanya maamuzi. Hataki huruma ya Ikulu, anataka haki itendeke Ukonga. Simama kwenye misingi, siyo mteremko! ⚖️✊🏾 #FreeTunduLissu #HakiNaUhuru #JusticeForLissu #KatibaMpya #Tanzania
Laizer Mayon tweet media
Indonesia
6
55
216
7K
lobos
lobos@takecaremate·
@ec971c71be5d422 @Elsukay0 Sasa hayo mazungumzo ya kweli ama uongo wangeyajuaje, kama walikataa kukaa mezani, wakakaza ubongo??? Watanzania wakafa, ili waje kulegeza kipindi hiki???
Indonesia
0
0
0
1
Felix Waitare
Felix Waitare@ec971c71be5d422·
@Elsukay0 Lini alukataa mazungumzo! Mimi nimekuwa nikiwasikia (CDM) kwamba hawataki uwongo, kama ni mazungumzo yawe ya ukweli!
Indonesia
1
0
0
68
EL SUKAYO 🇹🇿
EL SUKAYO 🇹🇿@Elsukay0·
Lissu kumbe kakubali mazungumzo? Upi ni mtazamo wako kazingua ama yupo sahihi?
EL SUKAYO 🇹🇿 tweet media
Filipino
45
11
72
5.4K
lobos
lobos@takecaremate·
Well said. P
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT

Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule, Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize wapinzani wengine Afrika kilichowakuta. Yuko mtu kwasababu ya uelewa mdogo anaamini kuwa Marekani na Ulaya watakuja kumtoa Lissu pale Ukonga au watakuja kuitoa CCM madarakani na Lissu awe Rais. Hizo ni ndoto za chizi na kuota ndoto kwa kiumbe cha Mwenyezi Mungu sio dhambi…. Ulaya na Marekani wanaangalia maslahi yao, Vyovyote ccm na samia watakachowafanyia watz ilimradi maslahi ya Ulaya na Marekani hayaguswi basi sahauni ndoto zenu, mtaishia kupokea barua za matamko ya kulaani na kusisitiza amani na demokrasia tu. Nakujueni mnavichwa vigumu mtakomaza mafuvu yenu kubisha… Tulishauri tangu mwanzo kwamba tufanye siasa za maridhiano, tukawaambia kuwa hii ni kesi ya kisiasa, Siasa ndio imemweka jela Lissu, na Siasa ndio itamtoa jela Lissu, kwa lugha rahisi ni kwamba Lissu lindie kafanya Lissu aende jela, na Lissu ndie atafanya Lissu atoke jela. Kwakibri na jeuri ya umamuma wetu mlitutusi mkatuita wasaliti. Bahati nzuri Lissu akili imemjia kalitambua hili japo kwakuchelewa sana, Tumpongeze na tumtie moyo… karibuni kwenye siasa za kistaarabu za maridhiano kwa maslahi ya Tanzania yetu. Ushauri wangu kwa Serikali ni kwamba Mahakama iachwe ifanye kazi yake na haki ipatikane, Lissu atatukuta mbele tukiendelea na vikao vya maridhiano au atakuta nchi ilisharidhiana inaendelea vizuri na atafaidi matunda ya maridhiano. Na Yericko Nyerere

English
0
0
0
8
lobos
lobos@takecaremate·
@Stany_Midea27 @cw_pedro 😂 for some reason wanasahau misimamo yao ya mara ya kwanza. Very naive set of people.
Filipino
1
0
1
16
I Stan a King!
I Stan a King!@Stany_Midea27·
@cw_pedro Yuleyule wakati kakubali Mazungumzo ambayo toka mwanzo alisema kajiridhisha ccm sio watu wa Mazungumzo na ni kupotezeana muda tu, mbona kaachia mapema sana Mandela Pori,Bado miaka 26😀
Indonesia
1
0
0
163
CWPedro
CWPedro@cw_pedro·
Lissu ni yuleyule jana, leo na kesho. Lissu ni yuleyule akutane na Samia, Chakwera su Pope Leo wa Vatican. Usitarajie maridhiano yatakayoihakikishia CCM kufanya chaguzi za KIPUMBAVU za kuihakikishia kubaki madarakani toka kwa Lissu. Lissu sio Mbowe. Lissu sio Maalim Seif.
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT

Jela sio sehemu salama, hakuna aliyekaa jela akabaki na msimamo wake uleule, Nampongeza Lissu kwakubadili msimamo wake na kuomba sasa maridhiano ya mezani, Ukikomaa utafia jela ndugu….. Waulize wapinzani wengine Afrika kilichowakuta. Yuko mtu kwasababu ya uelewa mdogo anaamini kuwa Marekani na Ulaya watakuja kumtoa Lissu pale Ukonga au watakuja kuitoa CCM madarakani na Lissu awe Rais. Hizo ni ndoto za chizi na kuota ndoto kwa kiumbe cha Mwenyezi Mungu sio dhambi…. Ulaya na Marekani wanaangalia maslahi yao, Vyovyote ccm na samia watakachowafanyia watz ilimradi maslahi ya Ulaya na Marekani hayaguswi basi sahauni ndoto zenu, mtaishia kupokea barua za matamko ya kulaani na kusisitiza amani na demokrasia tu. Nakujueni mnavichwa vigumu mtakomaza mafuvu yenu kubisha… Tulishauri tangu mwanzo kwamba tufanye siasa za maridhiano, tukawaambia kuwa hii ni kesi ya kisiasa, Siasa ndio imemweka jela Lissu, na Siasa ndio itamtoa jela Lissu, kwa lugha rahisi ni kwamba Lissu lindie kafanya Lissu aende jela, na Lissu ndie atafanya Lissu atoke jela. Kwakibri na jeuri ya umamuma wetu mlitutusi mkatuita wasaliti. Bahati nzuri Lissu akili imemjia kalitambua hili japo kwakuchelewa sana, Tumpongeze na tumtie moyo… karibuni kwenye siasa za kistaarabu za maridhiano kwa maslahi ya Tanzania yetu. Ushauri wangu kwa Serikali ni kwamba Mahakama iachwe ifanye kazi yake na haki ipatikane, Lissu atatukuta mbele tukiendelea na vikao vya maridhiano au atakuta nchi ilisharidhiana inaendelea vizuri na atafaidi matunda ya maridhiano. Na Yericko Nyerere

Indonesia
9
13
90
4.2K
lobos
lobos@takecaremate·
@JamiiForums Application yenu kuanzia jana usiku haifunguki, sasa mjadala tutashiriki vipi???
Indonesia
0
0
0
5
Uncle Bernie
Uncle Bernie@ian_kola·
@FrankMagana15 "forever my brother" for someone who's been comfortable calling himself God which according to the Bible is the most unforgivable sin. Then you want to go on a podcast and parade yourself as a Christian conservative woman. GTFO
English
3
0
0
1.4K
Frank Magana
Frank Magana@FrankMagana15·
Candace Owens comments on Ye’s SoFi stadium performances “I can't explain it but Ye defeated Hollywood. Bringing Lauryn Hill back and putting on a show like this is exactly why he is so inspirational. Forever my brother.” “You can’t cancel this man. He never belonged to you guys.”
Frank Magana tweet mediaFrank Magana tweet media
English
65
879
8.6K
230.8K
Eng ,PMT
Eng ,PMT@MzambiaPaschal·
@ayubu_madenge Je kuna ngono? Nisije kujichanganya nikaleta home
Indonesia
2
0
1
210
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
“The Godfather” moja kati ya Movie bora za muda wote ilizinduliwa rasmi siku kama ya leo miaka 54 iliyopita yaani 1972. Kama haujawahi kuitazama hii Movie nakushauri uitazame kabla wiki hii haijaisha. Ndani yake kuna lessons nyingini mnoo, tena za msingi sana.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
11
21
348
8.3K
lobos
lobos@takecaremate·
@zed_officially Acheni kutisha watu bhana, hoteli ya kawaida tu. Swala ni kwamba balance isiwe chini ya laki.
हिन्दी
1
0
0
10
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Yolanda hotel Kahama. Hii hotel wewe kama siyo mfanya biashara ya dhahabu usiingie utaacha ndala
𝗭𝗘𝗗 tweet media𝗭𝗘𝗗 tweet media
Indonesia
17
19
207
20.4K