Sabitlenmiş Tweet
Ismail
337 posts

Ismail
@189ismail_
My thoughts and more..
Dar es Salaam Katılım Ocak 2015
191 Takip Edilen39 Takipçiler

@lubamach @MarekaMalili Barabara si zinajengwa kwa mahitaji.. na uwezo wa serekali... roughly 1km ni kama 2b... em fanya unatenga shingapi kwa Barabara zote kwa mwaka na tuna bajeti ya shingapi.
Indonesia

@MarekaMalili km 99 za barabara ya rami kwa mikoa 23 kwa mwaka!? Wastani wa km 4 kila mkoa..!? Hiki ni kitu cha kujivunia na kupiga taralira?
Indonesia

Jumla ya km 98.89 za barabara za mikoa zimejengwa kwa lami, na km 192.89 zilikarabatiwa kwa changarawe. Ujenzi/ukarabati wa madaraja madogo 12 (Mfuko Mkuu) na 13 (Mfuko wa Barabara) unaendelea katika hatua mbalimbali.
#BajetiUjenzi2025
Indonesia

@rapidbrainsfor1 @AnethSissya Ki uhalisia 90% biashara inafika mauzo 4m kwa mwaka, ambayo ni mauzo ya 11000 kwa siku au 330000 kwa mwezi.. tulitakiwa hizi laki laki ziwe nyingi sana tra😅
Indonesia

@AnethSissya 1. Mauzo ghafi kwa mwaka hayazidi 4mil kodi NIL
2. Mauzo kwa mwaka yanazidi 4mil ila hayazidi 7mil kodi 100,000 per yr.
3. Mauzo kwa mwaka yanazidi 7mil ila hayazidi 11mil kodi 250,000 per yr
4. Mauzo kwa mwaka yanazidi 11mil ila hayazidi 100mil kodi 3.5% ya mauzo
Indonesia

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amekosoa namna ambavyo serikali imekuwa ikitoa tenda mbalimbali kwa Raia wa nje ya nchi na kuwaacha watanzania bila ajira, akikosoa pia usafirishaji mkubwa wa malighafi kilimo ikiwemo Korosho zinazosafirishwa kwenda nje ya nchi badala ya kuongezewa thamani ndani ya nchi ili kuongeza fursa za ajira na mzunguko wa fedha nchini.
Wakati wa Mkutano wake wa hadhara Mtwara Mjini leo Aprili 05, 2025, Heche ameeleza kuwa vijana wengi kwasasa wamejiingiza kwenye michezi ya kamari kutokana na kukosekana kwa siasa safi na utawala bora nchini, akiwataka wananchi wa Mtwara kujihurumia na kuchukua hatua za kukiondoa Chama Cha Mapinduzi madarakani.
"Hata tukiwapa miaka 10,000 hawawezi kubadilisha nchi hii, wataendelea tu kuturudisha nyuma. Tunapita kwenye barabara za Mtwara utafikiria tunaenda kwenye maandaki ya vita." Ameeleza John Heche.
Akiilingalisha Tanzania na Dubai, Heche amesema mwaka 1961 Dubai ilikuwa na watu 70,000 na ilipofika mwaka 1969 wakati Tanzania ikiwa tayari imekwishapata uhuru, Dubai ndipo ilipogundua pipa lake la kwanza la mafuta na leo hii Dubai ina watu milioni tatu huku Tanzania ikiwa na watu Milioni 63, lakini ameshangaa namna ambavyo mpaka leo Tanzania imeshindwa kujiendesha kufikia hatua ya kuikabidhi Dubai Bandari zake waiendeshe.
Heche pia amekosoa namna ambavyo serikali imeshindwa kuwa na Mpango wa ujenzi wa viwanda vya Kimkakati ikiwemo ujenzi wa kiwanda cha kubangua Korosho Mkoani Mtwara, akisema Kiwanda hicho kingesaidia kuongeza fursa za ajira, kusisimua uchumi wa Mtwara pamoja na kustawisha uchumi wa Wakulima kwa kuongeza thamani kwenye mazao yao ya korosho.
Indonesia

@denniehanda @celestine_mat Bila kufata katiba ndio inakua udikteta
Indonesia

@celestine_mat Lengo ni kulinda nidhamu, mshikamano na maadili ya harakati sio kukaa na kulea ujinga na kulinda maslahi binafsi. Sabotage una deal nayo kama inavokuja.
Indonesia

@_elite_andrew @gabyconscious Kila kitu sio conspiracy kuna maisha mengine lazima yaendelee
Indonesia

@gabyconscious Social Engineering at its best. 📍Whatever sticks more to people's minds to keep them away from the important things at the moment.
People have or probably will in a short time forget about the rising National Debt and embezzlement of public funds.
English

Haina haja ya TTCL kuuza mda wa maongezi, huko mmeshindwa, TTCL jikiteni kwenye kuuza Internet, Let's say mtu akinunua SimCard/laini anapewa 1GB free au Ofa ya 2 weeks free internet, pia Gharama ya Internet iwe chini (1,000 = 1GB), Fiber pia muwekeze nguvu.
TTCL CORPORATION@TTCLCorporation
Vifurushi vyetu, bei zetu. Code ni moja tu, TTCL📍 #ishikidigitali #usalamamtandaoni
Indonesia

@foreigny99 @ze_mandevu Achana na stori za wanasiasa... hapo hujui kabla ya kuwekwa zege palikuaje, sio kila anaepiga kelele anafahamu
Indonesia

@189ismail_ @ze_mandevu Chini wap Hawa mainjia wa bongo tunawajua vzr
Indonesia

@foreigny99 @ze_mandevu 😅😅 kwahiyo umepiga hesabu za juu tuu chini aaaah
Filipino

@ze_mandevu When they tell us that they've made it for 1billion at least it'll make sense maana kwa 4bil ni uongo ukifanya evaluation hapo Hadi waseme 4bil Kwa huyo tujengo tu na zege la chini Hapo plus cement hapana tumepigwa kabisa💯😂😂
Filipino

YANGA SC WALIFANYA MAZOEZI SIKU 1 KABLA DABI - BITEBO
Kamishna wa Mchezo wa Simba na Yanga wa mzunguko wa kwanza Khalidi Bitebo "Zembwela" kutoka Mwanza amethibitisha kupitia kipindi cha Sports Am cha Azam Tv kuwa Yanga walifanya mazoezi siku moja kabla mchezo bila kubughudhiwa wala kuzuiliwa na Simba ambao walikua wenyeji kwenye mchezo huo
Bitebo amekwenda mbali na kusema siku ya mchezo Mabaunsa wa Yanga walimzuia Meneja wa Simba Patric Rweyemamu asiende kukagua timu kama kanuni inavyotaka.
Maelezo haya ya Bitebo yamekuja baada ya taarifa potofu kwamba Yanga SC hawakufanya mazoezi siku 1 kabla ya Dabi ya kwanza, hii ilikuwa inataka kuweka usawa kwamba hata Simba SC kutofanya mazoezi sio shida.
Credits: @azamtvtz @jemedarisaid
Filipino

@patric_ph Nilikua nathan his biggest advantage ni kutokuwa na background ya siasa .. ila kumbe ni disadvantage..
Filipino

@UmeingiaTarime @LMpume25768 @SportsarenatzTz Tufanye kazi serekali haiwezi kutatua matatizo yetu yote..
Indonesia

@buggyboisNFT @Locked1183 @anslem69 @Mo_Magoda Another issue is we import alot from them and loans which we obligated to pay interest but whose is not taking loans from china?USA? European? China is the manufacturer of the world right now.. other issues are less correct
English

@buggyboisNFT @Locked1183 @anslem69 @Mo_Magoda I'm a Tanzanian.. i can assure you, there is nothing like that here.. our biggest issue is construction project which comparing to their technology and experience most of our construction is undertaken by them,
English

Only Africans should own land in Africa
Ian Jaeger@IanJaeger29
BREAKING: Rep. Chip Roy says that only American citizens should be able to own farmland in America. Agreed.
English









