Wakana Wakilo

2.3K posts

Wakana Wakilo

Wakana Wakilo

@77Rondo5

Businessman

Dodoma Katılım Ekim 2022
299 Takip Edilen168 Takipçiler
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Kama niliwahi kumsema vibaya Clatous Chama naomba nisamehewe, mwamba ni fundi wa soka kweli kweli. Tena anazeeka na ubora wake.
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
16
45
842
10.4K
Wakana Wakilo retweetledi
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
MBEYA: Mwananchi akiuliza swali akiwa katika Mkutano kati ya Vijana na Viongozi wa Dini kuhusu Haki na Amani Ulioandaliwa na Kamati ya Dini mbali mbali (ISCEJIC) kufuatia Matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025. Mkutano ulifanyika Aprili 16, 2026 ukiongozwa na Sheikh Khamis Mataka wa BAKWATA na kuhudhuriwa na viongozi wa Dini mbalimbali akiwemo Mchungaji Modest Pesha wa CCT. Zaidi jamii.app/ViongoziWaDini #JamiiForums #Uwajibikaji #JFMatukio
Indonesia
37
134
595
24.6K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
MIRISHO SARAKIKYA Na DAVIS MWAMUNYANGE Ndio Wakuu Wa Majeshi Pekee Walioongoza Jeshi La Wananchi Kwa Miaka 10 Wengine Ni Chini Ya 10.
KIDUKU OFSA NGIRI tweet mediaKIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Filipino
1
1
20
467
Wakana Wakilo retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
😅😅🤣🤣 NGOMA ya KYANDE imetoka. Repost 200
111
286
1.5K
60.1K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
@Iam_jac5 VIJANA WA CHADEMA NI VIJANA WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA NCHI HII
Suomi
3
1
2
1K
iam_Jac
iam_Jac@Iam_jac5·
Chande ameingia kwenye mgogoro mkubwa sana na jamii kabudi na Samia wamemtumia vibaya sana huyu mzee Umma wa sasa ukifanya kosa unawajibishwa
Indonesia
39
111
529
40.4K
Wakana Wakilo retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Tumeambiwa RIPOTI haituhusu ni ya DIKTETA JIKE-Hawa malaya waliogoma kuzeeka wanatuletea UFAFANUZI sisi wa nini? Kyande na wazee wenzake ni mikundu ya NYATI.
Indonesia
16
73
745
15.1K
Wakana Wakilo retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
"Kupata katiba mpya ktk mazingira ya amani; mtasubiri sana." Prof. Anna Tibaijuka.
Indonesia
11
105
740
9.7K
Wakana Wakilo retweetledi
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹@ThatBoyKhalifax·
katika historia nzima ya tanzania, hakujawahi kutokea tume yenye kujitetea na kujieleza kama hii ya chande. i mean, c’mon, give us a fucking break, will ya? nafsi zenu kuwasuta kwa kusafisha na kuhalalisha mauaji halaiki ya raia isiwe ni mateso na kwetu sisi. chill the fuck out!
Indonesia
11
137
488
7K
Wakana Wakilo retweetledi
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa; - Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS) bado yupo ofisini - Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) bado yupo ofisini - Wakuu wa Mikoa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa yote husika wapo ofisini - Wakuu wa Wilaya na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya zote husika wapo ofisini Hakuna kuwajibika wala kuwajibishwa, halafu Umma ukubali kuwa hii haikuwa kazi ya dola yenyewe kujiandaa kuua watu wake?
Filipino
98
288
1.4K
67.5K
Wakana Wakilo retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Yes kwa sababu mmezingua sana, yaani mmejivunjia hata heshima ndogo mliyokuwa mmebaki nayo kama WAZEE…Mmelisaliti Taifa na kuliongezea maumivu mioyoni kwa kutoa ripoti ya ovyo ya KUBUMBA!
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
94
282
1.9K
28.5K
Wakana Wakilo retweetledi
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Air Tanzania mmepoteza sanduku langu. Jana usiku nimesafiri na Air Tanzania Ndege Bamba 125 kutoka Kilimanjaro muja Dar es Salaam. Ajabu yake ni sanduku langu ndilo halikufika. Lolote litakalofanywa kwenye sanduku hilo utakuwa ni wajibu wa Air Tanzania.
Indonesia
58
246
1.2K
32K
Wakana Wakilo retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️VIONGOZI WA KKKT WAPO KWENYE MTEREMKO MKALI WENYE UTELEZI‼️ Nduli Idd Amin Mama amefanikiwa kuwaweka ‘mfukoni’ baadhi ya Viongozi wa kanisa la KKKT kwa ahadi ya madaraka. Wiki kadhaa zilizopita Nduli Idd Amin Mama alizungumza na baadhi ya Viongozi wa Kanisa la KKKT akiwemo Mkuu wa Kanisa Askofu Gehaz Malasusa. Pamoja na mambo mengine Katika mazungumzo hayo Nduli Idd Amin Mama anadai kwamba Kanisani la Roman Catholic linamshambulia sana na kumpiga vita hivyo anaomba Viongozi wa KKKT wamuunge mkono kwenye awamu yake hii mwisho kwa ahadi ya kwamba term ijayo atahakikisha Rais anatoka KKKT. Idd Amin Mama anasema kwamba miaka yote ndani ya nchi hii, ikiwa ni zamu ya Wakristo kutoa Rais huwa anatoka kanisa la Roman Catholic sasa anaona mara hii iwe zamu ya KKKT. Nduli Idd Amin Mama kawambia Viongozi wa KKKT kwamba mtu ambae yeye anamuandaa kuwa mrithi wake ni Mwigulu Nchemba ambae ni muumini wa KKKT ndo maana kampandisha na kumfanya Waziri Mkuu haram wa Tanzania Jambo hili limewaingia moyoni baadhi ya Viongozi wa KKKT ndo maana mnaona hata wale Maaskofu na Wachungaji ambao walikuwa wanaonekana kidogo wanagusia maswala ya Haki za Watanzania sasa hivi wamewasaliti Wananchi, wamegeuka kuwa machawa wa Idd Amin Mama na wengine bila aibu wala hofu wanasema bora wamuunge mkono Idd Amin Mama ili 2030 awape Rais wa ‘kwao’ washasahau kabisa kwamba huyu Idd Amin Mama alijiweka madarakani baada ya kuuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi. Mpaka sasa tayari imeundwa team ya watu ambayo inawaunganisha wanaKKKT wote ambao wanadhan wana Ushawishi kwenye jamii ndani ya team hiyo kuna Wanasiasa, Wasanii wa Bongo, Watemgeneza maudhui mitandaoni , Waandishi wa Habari n.k Team hii ni mahususi kwa ajili ya kumfanyia PR Mwigulu Nchemba na vikao vyao vyote pamoja na mipango yao huwa wanafanyia pale Kanisa la KKKT Kijitonyama. Kwahiyo mkiwaona wanafanya Uchawa huko madhabahuni na mtaani basi mjue sababu ndo hii. Mwisho nawapongeza Viongozi wote wa KKKT ambao mmekataa kuunga mkono huu upumbavu wa wauaji.
Hilda Newton tweet mediaHilda Newton tweet media
Indonesia
32
125
620
36.6K
Wakana Wakilo retweetledi
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹@ThatBoyKhalifax·
hii yenyewe ni aina ya ukatili unaofanywa na dola dhidi ya w’nchi. hii ni dar, inayozalisha utajiri mkubwa kila sekunde. unakwenda wapi, kama mitaa inaonekana kama hivi? well, inakwenda kwa wahuni na majambazi wachache, waliopora madaraka, na kila siku kuimba amani na uzalnedo:
khalifa said #SUDAN 🇸🇩 ☭🌹 tweet media
Indonesia
44
180
718
18K
Wakana Wakilo retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Derrick aliuwawa Oktoba 29 kwa risasi akiwa anafanya biashara maeneo haya , mwili wake ulikaa barabarabi siku tatu bila kutolewa…”-; Mwanachama wa CHADEMA
Indonesia
6
160
951
22.6K
Wakana Wakilo retweetledi
myahudi
myahudi@barackasaketz·
Mwaka 2020 ni mwaka ambao Siwezi kuusahau niliwekwa kilema ambacho hakiji pona na polisi wa nchi hii nilikua sero kwa kesi ndogo tu ya kuonekana kwenye machimbo ya kamari lakini nikiwa sero nilipishana kauli kidogo na askari nikasogea kwenye nondo.....
Indonesia
17
30
329
28.2K
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Kifo ni fumbo! juzi tunalia kwa kuondokewa na Mwanetu kwa ajali, leo tuliyelia naye, naye ameondoka kwa ajali. Pumzika kwa amani Mwanangu Justine Kiulamagulu (@magulu94) 🕊️💔
Fadhili Kangusi tweet mediaFadhili Kangusi tweet media
Indonesia
137
84
670
62.8K
Wakana Wakilo retweetledi
Chamlile R Kivuruga
Chamlile R Kivuruga@c_kivuruga·
Jana kuna mshikaji alikuja kupaki pikipiki yake mbele ya ofisi yetu kuanzia asubh, mimi sikuwa nimemuona lakini wakati anaipaki. Hadi inafika saa 3 usiku tunataka kusepa jamaa akawa bado hajarudi kuichukua pikipiki yake. Kwa sababu ofisi ipo karibu na kituo kikubwa cha polisi-
Indonesia
11
26
596
55.6K
Wakana Wakilo retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Girishoni Msigwa ana kazi ngumu sana. Huu ujinga wake ume leak. Watumishi unaotaka wamsafishe muuwaji nao wana maumivu ya mauwaji. Ametuita NGUCHIRO baada ya kupelekewa moto. Haina shida. Tutafika mnapopahitaji. In the meantime, apelekewe moto kadri iwezekanavyo.
Tito Magoti tweet media
Indonesia
12
81
421
11K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nawakumhusha tu kwamba Mwaka 2017 wakati Magufuli ameanza kutumbua watumishi wa umma wenye vyeti feki Serikalini. Kwenye list ya watumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam ambao walikuwa na vyeti feki jina la Profesa Palamagamba Kabudi na lenyewe lilikuwepo kwenye list ila kilichomuokoa, Magufuli alimteuwa kuwa mbunge maana sifa ya Ubunge ni kujua kusoma na kuandika. Ushawahi kujiuliza kwanini anatambulika kwa majina sita? Kama hujui basi hiyo ni story ya siku nyingine😂
Indonesia
54
144
1.3K
64.3K