
@eastafricatv Polisi wetu kufanya uchunguzi wako chapu tatizo kumaliza uchunguzi na kuleta report ndio tatizo.mpk leta uchunguzi wa kibao uko wapi?
Polski
Absalut Charles🇹🇿
8.9K posts

@AbsalutC
Entrepreneur Electrical Engineer and Business men, Electrical materials supplier General supplies Jesus is my Lord,Arsenal fan

















@millardayo Mbunge wa sumbawanga kachangia kitu cha maana sana japo wengi watapuuza.yaani unabomoa mhimbili eti unajenga mpya wakati tuna hospitali ya mlonganzila yenye majengo ya kisasa ambayo nayo ni back up ya mhimbili! Huu utakuwa upotevu wa pesa kama nchi tuboreshe huduma za afya mikoan








