
@Elinisaidie_TZ @ayubu_madenge Acha ,kusema yasiyo na maana, mafanikio ni mipango ya mungu na kila alietumika serikalini na kutoka na mali alichukua kodi hakuna jipya, hakuna mafanikio kwa kuchota kodi wewe ni mwizi kama wezi wengine, na kama elimu basi mafanikio alikupa babako na mungu
Filipino






















