Dr.Ankobiotics

3K posts

Dr.Ankobiotics banner
Dr.Ankobiotics

Dr.Ankobiotics

@Dr_Labaan

MEDICINE||FUNNY&JOKER||#STETHOSCOPEMYTHING.

Lake Zone Katılım Şubat 2019
1.5K Takip Edilen1.1K Takipçiler
JA TZ
JA TZ@winani_herman·
@chapo255 Uongo huo,huku visiwani wamejaa criminal kibao wanafanya dhughuli za uvuvi polisi wenyewe wanaogopa kuingia visiwani,we njoo tu hapa migingo,au visiwa vya ndani ya lake victoria tena unaenjoy maisha zaidi ya bongo,maana kuna dhambi ambazo h7jawahi kuziona
Indonesia
3
0
3
1.5K
Dr.Ankobiotics
Dr.Ankobiotics@Dr_Labaan·
@SouthernBuses EFN 649 nimetoka nalo jana Bukoba-Dar dereva James na Hassan,picha imepigwa wakati wanashusha Mbezi.Dada yupo vizuri anajitahidi kwa huduma na namna ya kuongea,shida iliyopo mvua ikinyesha mnalowa ndani huko sijui kwanini mvua ilitukuta Singida.
Indonesia
0
1
2
532
Southern Highland Buses
Southern Highland Buses@SouthernBuses·
Karibuni Kemebos x Kaizerege twendeni Rio De Janeiro na Ms BHAJUNI🇳🇺🇳🇺
Southern Highland Buses tweet mediaSouthern Highland Buses tweet media
Indonesia
19
6
165
73.4K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Dawasa excuse zao ni zilezile kipindi cha Jua watasema uhaba wa Mvua na kipindi cha Mvua watasema Mvua zinaharibu miundo mbinu.😭
The mandevu tweet media
Filipino
84
175
2K
48.7K
Patriot 254🦅🇰🇪
Patriot 254🦅🇰🇪@Mutugian_K·
@Kibet_bull Unatake care of your mom, unamtumia doh kila mwezi na bado unapata hio doh yote anapeleka hapa na ako fully active hadi hapatikani home. Hata kuku ulimnunulia kama side hustle aliuza zote akaleta pesa kwa mtume.
Filipino
4
2
114
7.9K
Yoko
Yoko@Kibet_bull·
Take care of your mothers wasifike hapa.
Yoko tweet media
English
116
609
5.2K
152.9K
Dr.Ankobiotics
Dr.Ankobiotics@Dr_Labaan·
@DrMaleto @Jambotv_ Shida ni nafasi kaka.Hizo kozi nzuri tayari zishajaa kwa sasa.Nawaonea huruma kwa namna watakavyoteseka this time,sidhani kama itakuwa rahisi kuhamia hivyo vyuo vingine kwa muda uliobaki.
Indonesia
1
0
1
5
IUPAC system
IUPAC system@ancient_gen·
@Jambotv_ Halafu ada yao nimecheki online eti ni milioni 6 kwa mwaka. What a shame nawashauri mwaka wa kwanza walioko hapo wajaribu ku hamia kwenye kozi zingine vyuo vingine mfano pale UDOM,MUST kunakozi nzuri tu.
Polski
1
0
0
52
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesitisha kibali cha udahili na usajili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Shahada ya Udaktari wa Binadamu katika Chuo Kikuu Mwanza (MzU) kwa tuhuma za kudahili na kusajili idadi kubwa ya wanafunzi mara kumi ya idadi iliyoidhinishwa na mamlaka ya urekebu. Akitoa taarifa hiyo leo kwa waandishi wa habari Katibu Mtendaji wa TCU, Profesa Charles Kihampa amesema chuo hicho kimedahili na kusajili idadi kubwa kuliko uwezo wa chuo kimiundombinu katika kujifunzia na kufundishia ikiwamo idadi ya walimu waliopo. "Tume katika kikao chake maalumu cha 127 kilichofanyika tarehe Novemba 28, 2025 imefanya maamuzi yafuatayo; moja tume imesitisha kibali cha udahili na usajili wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Shahada ya Udaktari wa Binadamu kwa Chuo Kikuu Mwanza (MzU) katika mwaka wa masomo 2025/2026,". Ameongeza kuwa "Usitishwaji huu unatokana na chuo husika kushindwa kuzingatia maelekezo ya Tume, kwa kudahili na kusajili idadi kubwa ya wanafunzi kuliko ile iliyoidhinishwa na kuchapishwa kwenye kitabu cha Mwongozo wa Udahili kwa mwaka wa masomo 2025/2026. Aidha, Chuo Kikuu Mwanza kilishindwa kufanya marekebisho ya idadi hiyo licha ya kupewa maelekezo ya kufanya hivyo. Chuo hicho kitaendelea kutoa mafunzo kwa wanafunzi wengine wanaoendelea na masomo”.
Filipino
5
10
111
13.5K
Dr.Ankobiotics
Dr.Ankobiotics@Dr_Labaan·
@gabyconscious Huyu jamaa hachoshi kumsikiliza kabsa na wala hata hajali,yeye ni mwendo wa gitaa, zeze na kinubi
Filipino
0
0
0
23
Dr.Ankobiotics
Dr.Ankobiotics@Dr_Labaan·
@hozza139 @MarekaMalili Askof Niwemugizi alipingana na Rais Magufuli kukataa Lockdown ili kujilinda dhidi ya Covid,hapo ndipo walitibuana.Askofu aliagiza makanisa yote ya jimbo lake hakuna kusali kanisani wote tutasalia nyumbani na ikawa hivo.
Indonesia
0
0
1
31
Mtumshamba2
Mtumshamba2@hozza139·
@MarekaMalili Unakumbuka yule padri kule Ngara alipigwa zengwe eti diyo mtz sababu ya msimamo wake kwa Magu.
Filipino
3
1
3
1.1K
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Nitajie eneo lolote nikwambie nimewahi kufanya delivery ya kitu gani? Delivery ni moja ya eneo linalohitaji umakini sana kwenye biashara hasa za mitandaoni.
M.D (🅨) tweet media
Indonesia
12
15
91
4.6K
Dr.Ankobiotics
Dr.Ankobiotics@Dr_Labaan·
@koku_shekya Hivi kinakuwa imetokea nini hadi watu kuachana despite of being with all signs of loving na chance kubwa ya kurudiana??
Filipino
0
0
0
7
Dr.Ankobiotics
Dr.Ankobiotics@Dr_Labaan·
@TBoundBuses Maning Nice ya Dar - Tandahimba ile DPK ni kisanga kesho unaamka kama vile ulikuwa umechukuliwa msukule
Indonesia
0
0
0
13
Tanzania Bound Buses
Tanzania Bound Buses@TBoundBuses·
Kuna baadhi ya mabasi ukipanda hakikisha umebeba dawa za kupunguza maumivu
Filipino
9
3
52
5.4K
Professor
Professor@EddieBahati·
@kapeto98 Bora asome Dental Surgery kuliko Medical doctor
Română
2
0
1
1.4K
KAPETO🇹🇿
KAPETO🇹🇿@kapeto98·
Mshauri Mdogo wako Asome Course hizi. 1. Bachelor of Science in Marketing ( UDSM ) 2. Information Technology / Computer Science Asome IFM 3. Jonalism and Mass Communication SAUTI 4. Medical Doctor (MD ) Muhimbili University 5. Bachelor of Science in Insurance and Risk Management. IFM. Kama Unataka Mdogo wako apate Ajira kwa Haraka asikae Mtaani.
English
47
53
554
75.3K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Aiseee haya mambo haya, Poleni sana
Adventure-360 tweet mediaAdventure-360 tweet mediaAdventure-360 tweet media
Español
55
34
501
27.7K