Msingidani

4.9K posts

Msingidani banner
Msingidani

Msingidani

@Raissingidan

Shule ilitudai Elimu Mitaa inatudai Mafanikio 🦅

Katılım Temmuz 2024
715 Takip Edilen384 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Msingidani
Msingidani@Raissingidan·
🦅Mwezi Mpya Siku Mpya ✅Kaa mwenyewe sehemu tulivu ongea na sauti yako ya ndani ✅Anza leo kwa Mwendelezo mazoea hujenga tabia ✅Fanya leo kwaajili ya kesho kubwa ✅Muda sio na ndio rafiki chezanao ✅ Omba Mungu upite njia sahihi wakati sahihi na watu sahihi Kila jema MAY1💪
Msingidani tweet media
Indonesia
0
1
6
425
Msingidani
Msingidani@Raissingidan·
@Addy_Adams Mtu akiweza kushinda zinaa lazima afanikiwe kama anapambana Zinaa inatesa Zalilisha Msongo wa mawazo Hii kitu sio poa
Indonesia
0
0
1
79
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
Sheikh Walid angekubali mtoto na kutomtishia Maisha huyo bint hayo yote yasingekuwepo Japo tunafanya ila MUNGU atunusuru sana na AIBU ya ZINAA. Hakika ni MTIHANI SANA
Indonesia
30
17
229
58.9K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Mimi wanawake mastar ni maji na moto atakoma na sina mpango nae mie za kienyeji ndio nawaheshimu uzuri ninao mimi 😅😅👇👇
mTusi original 👦 tweet media
Indonesia
10
9
80
10.1K
Botafogo👑
Botafogo👑@IWillLive_X·
Nilikuwa naumizwa Sanaa kusikia tetesi za bwana Mdogo Kuondoka,,,Mara gafla Anatokea mkombozi wa ngambo anamgeuza kijana kuwa Dani Alves 🔥🙌🙌
Botafogo👑 tweet media
Indonesia
14
20
419
12.1K
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Binadamu wema bado wapo.
Filipino
28
36
235
14.3K
Msingidani
Msingidani@Raissingidan·
@Fefe_doll Hivi demu hadi anafikiria kula nauli ya msela maana yake nini
Indonesia
0
0
0
3
fantasy 🤍🧚
fantasy 🤍🧚@Fefe_doll·
Naona hauko serious na hili jambo bye 😂😂😂🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️
fantasy 🤍🧚 tweet media
Filipino
27
30
108
3.9K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Mwamba kaamua kufanya uchambuzi wake ni kitu anacho kipenda japo watu wanamuona kama zezeta ila huyu jamaa ni aina ya watu wanaoishi maisha wanayo penda aibu utaona wewe 🫡😅👇
mTusi original 👦 tweet media
Indonesia
9
4
69
8.1K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Mkoa wa pwani hasa Mkuranga,Kibaha and Bagamoyo ukipata kiwanja nunua!! miaka ya baadae patakuwa hapashikiki
Indonesia
37
47
583
29.3K
Broke & Zero Aura (BZA)🍁
Kuna clip nilionaga Alikiba alimind kutupiwa hela na shabiki, Jana alikua uko katoro akawa anatupiwa midola na tajiri akajilegeza kama sio yeye njaa ni mbaya sana wazee
Broke & Zero Aura (BZA)🍁 tweet media
Filipino
24
42
500
19.8K
Msingidani
Msingidani@Raissingidan·
@EdwinMjeru Fursa yeyote ile ina kusudi kubwa hapo mbele uvumilivu na nidhamu ndio msingi
Eesti
1
1
4
297
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Kuna jamaa alituma CV yake kampuni XYZ kuomba kazi position ya Tour guide. Akapigiwa simu, akaambiwa “Kwa sasa hatuna nafasi ya tour guide ila tuna uhitaji na mtu wa reception. Kama uko tayari njoo piga kazi”. Jamaa bila kusita akaenda kupiga kazi kwa moyo wote. Siku moja kulitokea dharura, moja ya Ma-Guide wao hakuweza kufika kazini. Na kwa kuwa ili kuwa high season, alihitajika mtu wa kwenda na wageni siku hiyo hiyo porini. HR akamvutia jamaa waya, John jiandae leo unaenda porini na wageni. Kuanzia hapo John akabadlishiwa kitengo. Akawa kwenye timu ya Ma-Guide. Unajifunza Nini hapo?
Filipino
32
41
374
30.8K
Billy
Billy@BillyTronix1·
Eeh Mungu linda ganji zangu kwa nguvu zako 🙏🏽🙏🏽
Nzowowo@nzowowo

9
6
74
6.5K
PaschalSam1
PaschalSam1@P_simpleman95·
Maisha hayabadilishwi na VISINGIZIO, yanabadilishwa na NIDHAMU .. Watu wengi wana ndoto kubwa, lakini wachache wana nidhamu ya kufanya yale yanayotakiwa kufanyika kila siku, Hata pale wanapokua wamechoka, wakiwa hawana hamasa au hakuna anayewaona.!📌
Indonesia
8
21
40
755
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Akinitengea Dog Namwaga Hadi Ubongo🔥🙌
Filipino
27
21
291
31.4K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Manzi status yupo kwenye night party na mashoga zake, status anapokea zawadi kutoka kwa mpenzi wake anawekewa zawadi na cash ya kututishia maisha walimwengu, picha za kwenye vioo macho matatu matatu,.. Yani kwenye Raha zake ana mpenzi wake na marafiki wengine,. Subiri akwame, ndio ananipigia mimi sasa tamisemi kitengo cha maafa😂💔,.. Roho mbaya ya hapo nitatubu tu😂🤝.
Indonesia
13
19
97
3.8K
Kante
Kante@MkulimaKante·
Aliyewafundisha matajiri wa katoro mambo ya mitandao ya kijamii alaaniwe😂😂 Wamba wana show off za kutunza madolari ambazo hata wapopo hawatoboi😂🙌🙌 Kuna taikuni mmoja kamtunza mtu milioni mia mbili. King Kiba alikuwa na kibegi kabisa cha kukusanyia dollar, Nasikia kilijaa minoti
Indonesia
11
10
373
26.4K
MRENO_🎧
MRENO_🎧@mreno255·
Muuza mbususu na mteja wake wanavyopishana wakikutana mtaani
MRENO_🎧 tweet media
Indonesia
9
18
62
2K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Usihukumu haraka. Usiwe mwepesi wa kuwahukumu watu kwa hali wanayopitia, muonekano wao au maamuzi yao. Hujui mapambano ambayo mtu mwingine anayapitia nyuma ya pazia. Heshimu siri za afya za watu. Mtu akikuambia anaumwa au anapitia changamoto ya afya, amekuamini. Soma Zaidi:👇
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Indonesia
2
2
8
1.4K
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚
Maisha yanaweza kuwa fragile sana, hasa pale afya yako inapoyumba. Huyu ni Brandy Norwood, mwanamuziki na mwigizaji maarufu kutoka Marekani. Kwa millennials na boomers, wengi watamkumbuka kupitia vibao vyake vikubwa kama The Boy Is Mine, Have You Ever,.... Thread: 🧵
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥𝐥𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐢𝐚 tweet media
Filipino
5
9
120
15.6K
Sabrina winga
Sabrina winga@SharifaSabrina·
1.. Kama nimekukosea nisamehe 2 ..Naomba nisamehe 3..Basi nisamehe Ipi ni sahihi hapo ?
Filipino
39
22
102
9.4K