TheRecruit

2.6K posts

TheRecruit banner
TheRecruit

TheRecruit

@AmOmega21

IF I DIE TODAY TELL MY KIDS I DIED A MAN🇰🇪🇷🇼 My nation expects me to be physically harder and mentally stronger than my enemies..

Rwanda Katılım Ocak 2016
1.2K Takip Edilen487 Takipçiler
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Kama hujawahi kufanya kazi kwa mchina unaweza kudhani wale wamasai waliomuua Mchina ni watu wabaya.
Indonesia
77
40
709
42K
TheRecruit
TheRecruit@AmOmega21·
@glevonian A transgender in Thailand telling ukrainians what to do
English
0
0
0
76
Ashutosh Yadav
Ashutosh Yadav@TrishulRising·
These African niggas have no food to eat, no resources to consume, no jobs to earn, no industry...But they are celebrating the victory of a British football club, the British who kept them slaves for 68 years, who robbed them of all their resources and who are the reason why Kenya is so backward today.
English
48
0
11
6.8K
TheRecruit
TheRecruit@AmOmega21·
@Elparton112 Uliishi na wakwe zako na mumeo au!! acha usenge kwenye maisha ya watu
Filipino
0
0
2
571
MK47TA
MK47TA@MK47TA·
Hivi Marekani huwa mnafikiri kila mtu duniani ndoto yake kuu maishani ni kukanyaga ardhi yenu au kwenda kuona sanamu lenu la Uhuru? Kabla hamjakurupuka kutangaza vikwazo vyenu vya upande mmoja lazima mfikirie kwani Assistant Inspector General Faustine Mafwele aliwaambia ana mpango au shida ya kuja huko kwenu? ​Inachekesha kuona nchi inayojinasibu kuwa kinara wa demokrasia inajipa mamlaka ya kuwa hakimu na mwendesha mashtaka wa dunia nzima. Wakati huko kwenu mna matatizo lukuki ya ukatili wa polisi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu kila uchao ambayo mmeshindwa kuyapatia ufumbuzi. ​Tanzania ni nchi huru yenye mamlaka kamili na maafisa wake wa usalama wanaongozwa na sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania sio kwa mihemko ya sheria za ndani za Marekani. Maamuzi yenu ya kutoa vikwazo vya maigizo hayabadili chochote katika utendaji kazi wa vyombo vyetu. Kama mnafikiri mbinu zenu za kizamani za kutoa vitisho na vikwazo kwa maafisa wa nchi za Afrika bado zinafanya kazi wakati huu mmechelewa sana. Waafrika wa sasa wana akili na wanatambua kuwa hizi ni ghiliba za kisiasa zinazotumika kujaribu kuingilia mifumo ya ndani ya nchi yetu. ​Wekeni vikwazo vyenu lakini mtambue hakuna afisa wa Kitanzania anayeshinda usiku kucha akiwaza viza ya kwenda Marekani. Jikiteni kutatua matatizo yenu ya ndani na ubaguzi uliokithiri kwenye mitaa yenu badala ya kujifanya wasimamizi wa maadili ya nchi za watu. Cc: @usembassytz
MK47TA tweet mediaMK47TA tweet media
Indonesia
39
15
41
8.4K
TheRecruit
TheRecruit@AmOmega21·
@EsirEid hii ni HaramBall kama anayocheza Arsenal tu🥲
Indonesia
0
0
0
135
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLakihaya This is the first time I’m going to assist a woman online in buying a new iphone and it’s bcos I’m in a good mood today and you are an Arsenal Fan. Go to any phone dealer shop and take iPhone 15 Pro Max and send the invoice to me… Ila Hakikisha upo SINGLE and Ready To Mingle😅 it’s when i’ll pay!
Ms.Minnah🧕🌹@Minnahbanks

Ndo naamkaaa ✊️🤣CHAMPIONS OF ENGLAND ..Mniongeleshe vizuri 💃

English
35
19
218
20.6K
Khadija Bamalli
Khadija Bamalli@Khady_Bamalli·
The world will be Islamized soon. ❤️
Khadija Bamalli tweet media
English
790
1K
19.9K
421K
Mega-Politics
Mega-Politics@_MegaPolitics·
Breaking: Turkey says it will remove Israel from map of the world
Mega-Politics tweet mediaMega-Politics tweet media
English
378
994
3.9K
52.8K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact·
Kwa recruitment yake iliafanyika baada ya kudakwa na mamwela handler akajiongeza kipara anafaa? Au kudakwa ni sehemu ya mchezo😅😅😅au ni jasusi wayback? Twitter majasusi Tunaomba hitimisho kabla hatufunga mjadala
Indonesia
15
27
150
15.4K
TheRecruit
TheRecruit@AmOmega21·
@Maestrowafact Kwenye political espionage hiyo inatokea sana mkali uki Operate Under non offical cover hzo mbanga lazima zitokee.
Filipino
0
0
0
30
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact·
Hilda hana akili kabisa anadai Kipara ni pandikiz la jamhuri alafu hapo anasema RCO na RPC walimuumbua 😅😅😅unamuumbuaje pandikiz sasa kama sio usenge ni nn?
Filipino
64
25
235
58.6K
.
.@karim888c·
@dumelambegu_OG @HildaNewton21 Namba 1. Hakuna mtumishi wa TISS anaeweza kujitambulisha kwa polisi kua yeye ni kitengo. Never na ni jinai na TISS wenyewe hata kama wanakutambua watakukana kama walivomkana Sabaya. Buyobe sio mjinga ajitambulishe yy ni TISS hta kama ni kweli yy TISS
. tweet media
Indonesia
5
0
3
1.7K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
‼️UKWELI KUHUSU BUYOBE, KWENYE SAKATA LA KUTEKWA MSHABAHA.‼️ Shuka na Thread hadi mwisho👇 Nakumbuka January 15, 2026 Buyobe alinitumia namba yake DM akasema nimchek WhatsApp kuna issue tuongee, nilimchek tukaongea. Alinielezea jinsi alivotekwa na kikosi cha Mafwele, walimvotesa n.k pia alishukuru kwa jinsi tulivompazia sauti. Katika maongezi hayo aliniambia kwamba pamoja na kwamba ameachiwa kwa dhamana bado watekaji wa Mafwele wanaendelea kumfuatilia hivyo maisha yake yapo hatarini , nilimwambia achukue tahadhari maana hao watu hawana masihara, akasema anafikiria kuondoka nchini, nikamwambia ni wazo zuri, akaniambia kama kuna Taasisi yoyote ambayo naijua inasaidia watu ambao wanachangamoto kama yake nimuunganishe nayo, nikamwambia hakuna Taasisi yoyote ambayo naijua so tukaishia hapo. Baada ya siku kadhaa alinipigia simu akaniambia, kwamba yupo mahali nilipo anaomba tuonane, tusalmiane na kufahamiana maana hatujawai kuonana zaidi ya humu mitandaoni, nikamwambia kwasasa siwezi kuonana nae kwasababu za kiusalama, nikamwambia kukiwa shwari nitamtafuta mimi mwenyewe, tukaishia hapo. Baada ya hapo alimpigia simu @Twaha_Mwaipaya akamuomba waonane, Twaha alinipigia simu kuniuliza kama namfahamu, nilimjibu Mwaipaya kwamba simfahamu zaidi ya kumuona online hivyo Mwaipaya na yeye akamkwepa badae akampigia simu @Sativa255 kumuomba waonane. Baada ya issue ya Mshabaha kutekwa ndo nikajua kwamba kumbe wakati anawasiliana na mimi kuniambia habari za yeye kuondoka nchini kuna mtu mwingine ambae alimshirikisha huyo mtu ndo alimuunganisha na @lifeofmshaba ili amsaidie kutoka nchini kwasababu alisema vijana wa Mafwele walikuwa bado wanamuwinda. Alifika Nairobi akapokelewa na @lifeofmshaba na kupelekwa mahali pa kuishi, muda wote alikuwa akidai kwamba anaumwa shingo, kichwa na miguu lakini pia alimwambia Mshabaha vitisho vya Mafwele kusema kwamba atamfira + kuonana na watekaji live ni vitu vilimuumiza sana kisaikolojia hivyo alitafutiwa Mwanasaikolojia lakin alipoambiwa aende Hospital kufanya checkup ili wajue Polisi wamemuumiza kwa kiwango gani ili apatiwe matibabu alikataa. Muda wote wakati Buyobe yupo Nairobi. Mshabaha alikuwa anakwenda kwake kumjulia hali kutokana na madai ya changamoto yake ya afya alokuwa nayo. Siku ya tatu, Buyobe alimpigia simu Mshabaha akamjulisha kwamba, nyumban kwake kuna mgeni ambae na yeye kalazimika kukimbia Tanzania kwasababu Mafwele anataka kumuua akaenda mbali zaidi akamdanganya kuwa mgeni huyo ni Mwanachama wa CHADEMA wakati si Mwanachama wa Chadema. Mshabaha alifika mahali alipokuwa anaishi Buyobe akamkutana huyo mgeni ambae Buyobe alimtambulisha kuwa anaitwa Aidan Msuya ni rafiki ake wa miaka mingi. Buyobe alimdanganya Mshabaha kwamba Msuya alikuwa Diwani wa Chadema wa Ubungo huku akijua fika kwamba Msuya hajawai kuwa Diwani. Mshabaha alimuliza ndani ya CHADEMA anamfahamu nani Buyobe akasema @ExMayorUbungo na Hilda Newton japo kwasasa Msuya hana mahusiano mazuri na Bony. Ili Mshabaha amuamini zaidi Msuya, Buyobe akamdanganya Mshabaha kwamba Msuya ni boyfriend wa Hilda Newton wakati huo anajua fika kwamba mimi na Msuya hatufahamiani kabisa. Mshabaha alimwambia kama anamahusiano na Hilda mpigie simu, Msuya akasema hapana itamletea shida, maana amekuja hajajipanga Mafwele amefunga account zake zote za Bank na kama girlfriend wake, akijua yupo Nairobi na akashindwa kumuhudumia itakuwa aibu sana kwake, haya ni maswali walikuwa wanajibu Buyobe na Msuya kwa pamoja na kwasababu walijua wanasema uwongo, wakamuomba Mshabaha asiniambie chochote so Mshabaha akakausha. Huo ndo ukawa mwanzo wa Mshabaha kumfahamu Msuya ikawa kila akienda kumuona Buyobe anamkuta Msuya kuna wakati walikuwa wanaenda kula pamoja, Mshabaha hakuwa na wasiwasi na Msuya kwasababu ya Utambulisho ambao alipewa na Buyobe, aliamini ni mtu Genuine. Buyobe akatoa wazo wapate gari maana na hali yake ya kiafya na usalama ni muhimu wakawa na gari, mara wazo likawa linafanyiwa kazi na Msuya. Part 2 inaendelea hapa 👇
Hilda Newton tweet media
Filipino
176
413
1.5K
267.9K
TheRecruit
TheRecruit@AmOmega21·
@Samalentips Mkali wewe uliacha kutumia hiyo account ya sportybet na namba ya simu ulipoteza, siku ulivyo log in kuchungulia ukakuta Gift ya Freebet wanayotoa sporty ukabet ndo ukashinda hiyo 900k lakini usitudanganye kuwa uliacha 900k bila sababu.
Filipino
1
0
1
427
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Kwa mujibu wa masharti yao wenyewe (Clause C.1.3), fedha zilizopo kwenye akaunti ni mali ya mteja na zinapaswa kurejeshwa. Pia, kwa mujibu wa misingi ya sheria za ulinzi wa mlaji na taratibu za uthibitisho (KYC/AML), uthibitisho unatakiwa uwe wa haki na unaowezekana, si wa kumweka mteja kwenye hali isiyotekelezeka.
Samalen Tips🤴🫆 tweet media
Indonesia
5
0
8
7.2K
Samalen Tips🤴🫆
Samalen Tips🤴🫆@Samalentips·
Hii ni simulizi ya kweli ninayoipitia kama mteja wa SportyBet, na ninaona ni muhimu kuishirikisha ili kuleta uelewa na kuzuia wengine wasipate changamoto kama hii. Nitakwenda kuipeleka mahakamani sportybet na kwenye hili nipo serious Nimetapeliwa zaidi ya Tsh 900,000/= na kampuni hii Fuatilia uzi kwa umakini 🧵
Samalen Tips🤴🫆 tweet media
Filipino
55
16
137
57.4K
Trina 59
Trina 59@TizraMkama·
@AmOmega21 @EsirEid Unakaza fuvu,kwa comment yangu aliyekwambia mimi nina akili nani 🤣🤣🤣
Filipino
1
0
0
14