Hamy🎙

5.5K posts

Hamy🎙 banner
Hamy🎙

Hamy🎙

@Amidumtalii

A Dream Chaser A Brother Born April 5 ♈

Grand Prairie, TX Katılım Şubat 2017
1.3K Takip Edilen770 Takipçiler
Hamy🎙
Hamy🎙@Amidumtalii·
@kampuchea39 @TheChanzo Sio Mama, ukiona familia yako haiwezi kukupa kitu fulani usidisa wanaopewa au unataka tuzo ya shida kwamba umeteseka sana au sio mwanetu.
Indonesia
1
0
1
16
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Mama asimulia jinsi alivyoshuhudia kijana wake Damour Nyakairo akichukuliwa na watu saba waliofika nyumbani kwao na Landcruiser Nyeupe. Akizungumza na The Chanzo leo Mei 02, 2026, Lilian Swai ambaye ni mama mzazi wa Damour Nyakairo, ameeleza kuwa kijana wake amechukuliwa asubuhi ya leo na watu waliokataa kujitambulisha, na kumpeleka kusikofahamika. “Wameondoka naye hatujui kapelekwa wapi. Wametoka huko watu saba wakaja,mimi nashangaa watu wanakimbia mvua au wanakimbia nini? Moja kwa moja wanamfuata Damur na mimi nimekuwa hapa. Wakamshika, wawili wanamshika na mmoja akatoa pingu mfukoni akamfunga. Nikauliza kuna nini [wakasema] tutajua  huko huko, nyie nani? Wakasema tutajuana huko huko,” anaeleza Lilian Swai mama wa Damour. “Kwa hiyo wakambeba watu watatu wakamshika, wakambeba wakamburuza mpaka kwenye gari. Mimi nikawa nataka kuingia na yeye huko, wananivuta wakanitoa nje.”
Indonesia
68
333
771
57.1K
Hamy🎙
Hamy🎙@Amidumtalii·
@og_outfits Jamaa anazingua ila huwezi amini atatumiwa hela 😂😂😂
Indonesia
0
0
1
418
#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿
Jirani anajikuta introvert na ego kibao! Msenge hata salamu hatoi akitoa ni “mambo” Dume zima kama shoga. Na kagari kake ka mkopo anakaosha kila siku nyuma kafunga mtungi wa gesi😹👉 Sasa leo namkomoa nalock geti,simu naweka priority mode apige hadi kwa mwenye nyumba cumer huyu
Indonesia
58
22
275
25.2K
Hamy🎙
Hamy🎙@Amidumtalii·
@TheChanzo Ila unajua Sometimes unaweza wasingizia police lakini ukakuta kuna jambo nyuma ya pazia. Dah Mungu amlinde huko alipo
Indonesia
0
0
0
469
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
@KumbushoDawson NAONGEA POMBE. SAHIVI ANAPIGA SANA SIMU KUOMBA RADHI SIMU AZISHIKWI UKO
Filipino
2
0
0
726
Kumbusho Dawson Kagine
Kumbusho Dawson Kagine@KumbushoDawson·
Pole sana KICHECHE kwa kuzuiawa kupanda jukwaani. Ulitaka ukaimbe ule wimbo wako wa Kihehe?
Filipino
19
96
607
25.6K
JAPHET MATARRA
JAPHET MATARRA@Eng_Matarra·
Sio kwamba tumewahi Ni muda sahihi mbele unaona nn?
JAPHET MATARRA tweet media
Indonesia
3
2
30
1.1K
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
Mshahara ni AED 3000 sawa na Tsh 2,160,000/= + makazi +visa+medical+ Ticket✈️ kutoka BONGO-DUBAI kama wewe mpishi tuma maombi namba hii +971 52 495 9170 kampuni ya catering wanaajiri wakikujibu wajulishe uko BONGO ufanyiwe interview ya video calling NB:ujue kupika mapishi haya
Mudi Mabiriani in Dubai tweet media
Indonesia
9
19
69
3.3K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Huyu jamaa kwao wamefanana kama mayai 😁
Narrowbeefly tweet media
हिन्दी
33
42
705
31.6K
BBC News Africa
BBC News Africa@BBCAfrica·
"It's a lie... My children are not mine." BBC's Focus on Africa podcast spoke to Dr. Peter Ngumba, a lab technologist in Kenya who decided to test the paternity of his two children. Paternity testing is rising across Africa, one Nigerian lab saw a rise of 28.8% in 2025. 👇🏾
English
123
665
2.2K
224.5K
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Nguruwe haramu ila mafuta yake natumia kama dawa😅
Filipino
2
0
11
316
Hamy🎙
Hamy🎙@Amidumtalii·
@Lemawakwanza @spana_Konki kaka Hakuna Tuzo ya mtesekaji bora ukiona umezaliwa kuna ngazi shukuru Mungu na hata ukitamba si mbaya ila kwa jamaa hapo hajatamba kwa kejeli alikua anaonesha anaweza offer nini, so ukipata ni umepata haijalishi umepata vipi mkali, tukae humo.
Indonesia
0
0
1
50
Hamy🎙
Hamy🎙@Amidumtalii·
@KIKOPYO_TZ Safi Mkali we beba tena mtaenda sawa kabisa hapo hao familia mbona poa tu
Indonesia
0
0
0
68
Hamy🎙
Hamy🎙@Amidumtalii·
@Adv_innocent Kama Bikra sawa awe ashaliwa huko alikotoka then mie akaze kwamba mimi kanionaje? then katika Maisha ya Past ya Mwanamke ina Matter sana kama ilivyokua Future Ya Mwanaume inavo Matter
Indonesia
0
0
0
54
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Tukubali tukatae ila mwanaume muoaji hawezi lazimisha sex kabla ya ndoa..
Suomi
17
29
72
2.6K
Lema
Lema@Lemawakwanza·
@spana_Konki Demu Yuko sahihi hawezi mkubari mtu anaetamba na mali za urithi
Indonesia
2
0
10
1.2K
Hamy🎙
Hamy🎙@Amidumtalii·
@mrteji_ Bro she was on top of the joy stick 🤣🤣 Now Go get your phone and dumb ger b!t-ch a$$
English
0
0
0
5