
Prince Innocent II
11.9K posts

Prince Innocent II
@Anaclet104




Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Paul Christian Makonda kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, akichukua nafasi ya Prof. Palamagamba John Aidan Kabudi ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum). Uteuzi huo umefanyika hii leo Januari 8, 2026 ambapo kabla ya uteuzi huu, Makonda alikuwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo. #MillardAyoUPDATES

@bajabiri Nini tena?







Mdau kutoka DM Kwako @kirigitim






Ndio maana Ruge alisema ogopa Mungu na Teknolojia😀😀😀



Grateful for the opportunity to connect with Johann Rupert, Chairman of the Swiss-based luxury group Richemont and the South Africa–based company Remgro. A leader of rare humility and deep insight, with a strong commitment to Africa. Always inspiring to learn from a life so thoughtfully lived. // Nimefurahi kuonana na Johann Rupert, kiongozi anayesimamia taasisi kubwa kama Richemont na Remgro. Unyenyekevu wake, busara ya kina, na mapenzi yake kwa Afrika vinaakisi uongozi unaoangalia mbali zaidi ya mafanikio ya leo. Ni heshima na hamasa kujifunza kutoka katika safari ya maisha iliyojengwa kwa maono na hekima. #AfricanLeadership #LeadershipWithImpact #AfricaUAE #Philanthropy




























