shishypushy

1K posts

shishypushy banner
shishypushy

shishypushy

@AutoBostock

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2021
194 Takip Edilen161 Takipçiler
CodeMetal
CodeMetal@CodeMetalai·
@Kamnyeso Sijaelewa msingi wa swali lako. Umesema jamaa alikuwa na LC300 mwaka 2020 wakati mwaka huo hiyo gari ilikuwa bado haijatengenezwa. LC300 imezinduliwa mwaka 2021 na kuanza kuuzwa rasmi mwaka 2022.
Indonesia
2
0
2
320
#Dr Gudume The PDF Guy 🇹🇿
Mimi Ndio maana watu wa humu ndani sitaki kabisa tujuane nje ya app Nakumbuka 2020 nafanya poa sana twitter,kuna mwana alinichek anipe dili kutengeneza hela feki na kuuza mipakani huko. Jamaa anatoa hela za mashine wino nk 👇👇👇
Indonesia
32
33
336
32.9K
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Hivi hapa kwetu Tanzania chakula chetu cha asili ni kipi?! Mfano nikaulizwa na foreigner, what is your traditional food? Fasta fasta natakiwa kumwambia msosi gani?
Indonesia
288
38
864
59.9K
shishypushy
shishypushy@AutoBostock·
@NjiwaFLow @INFLUENCERjr Video na picha zote zinaonesha sehemu ilioshambuliwa nihio hio tu ndio ujue kuwa AD zilifanya kaz yake inavyopaswa sema hakuna ufanisi wa 100%
Indonesia
0
0
0
335
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Iran amewekwa mtu kati 🙌🙌
Indonesia
12
6
125
11.4K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kamdomo
SIR TIVA tweet media
Lietuvių
17
87
1.1K
23.1K
Judith Ndunguru
Judith Ndunguru@JudithNdungulu·
@IAMartin_ @hpolepole Hallo weee amewachota akili na mmejaa swali ni jee kama kweli Polepole alishuhudia mifumo ya chama ikiunganishwa na NIDA kwa nn hakutoka kusema wakati huo huo mifumo ikiunganishwa, akaufyata saizi ndo anajifanya na mapenzi na sisi kutuambia mifumo imeuganishwa👌
Indonesia
4
0
1
137
Mdunguaji
Mdunguaji@Mdunguaji23·
@furaha_nzunda Hawezi kupita huyu kwenye kura za maoni,hana sura,hana tako,hana hipsi,hana body,hana pesa kwakifupi havutii kupigwa miti na wenye Ccm yao
Indonesia
6
1
5
217
Furaha Nzunda
Furaha Nzunda@furaha_nzunda·
Unavaa ngozi ya kondoo kumbe wewe ni chui, pembeni unawachoma watu wa Mungu. Unafiki kipaji
Furaha Nzunda tweet media
Indonesia
5
4
21
1.1K
Bin Kombo
Bin Kombo@BinKombo3·
@iam_rajabu Kwa hiyo hadithi hiyo inapingana na ayya za Qur'an kama hii? ...وَلَا تُطِعْ مِنْهُمْ آثِمًا أَوْ كَفُورًا Nnjoni tukusomesheni uislamu wacheni kumzulia uongo Mtume s. a.w na kuipinga Qur'an Masalafi mnalaana za Allah swt
Indonesia
4
2
3
168
rajab
rajab@iam_rajabu·
Sahihi Muslim:1847 Ibn Al-Yaman Mtume ﷺ alisema: “Patakuwepo na viongozi baada yangu ambao hawatafuata Sunnah yangu Nikasema: ‘Ewe Mtume wa Allah, tukutane na hali kama hiyo tufanyeje?’ Akasema: ‘Sikilizeni na wat’ii, hata kama mgongo wenu utapigwa na mali yenu kuchukuliwa.”
Indonesia
1
2
7
418
#NoreformsNoelection✌️
#NoreformsNoelection✌️@robert18222·
@HildaNewton21 Shida hapa ni wananchi why WATU wagome kutoa vitambulisho mnakubalije waondoke na WATU kwanin sisi watanzania ni makuma kiasi hiki asee moyo wangu unauma SANA
Indonesia
1
0
2
517
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Vijana wawili Joseph Mrindoko na Jackson Kabalo wanaounda kundi la "Wachokonozi" wamevamiwa na watu wenye silaha waliojitambulisha kuwa ni Askari Polisi wakiwa nyumbani kwao maeneo ya Maji ya Chai, wilayani Arumeru mkoani Arusha. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, watu hao walikuja na gari aina ya Landcruzer wakiwa wamevalia kiraia na wamebeba silaha za moto. Walipoingia ndani waliwaweka vijana hao chini ya ulinzi lakini walipoambiwa watoe vitambulisho kuthibitisha kama wao ni Polisi kweli walikataa. Walifanya upekuzi kwenye nyumba hiyo bila kufuata taratibu. Walipoambiwa waitiwe mjumbe wa serikali ya mtaa ili awe shahidi walikataa, na kusema wasifundishwe kazi. Katika upekuzi huo wamechukua vifaa mbalimbali ikiwemo camera, computer, microphones, tape revorder, na nyaraka mbalimbali zilizokuwemo, kisha kuwafunga pingu "Wachokonozi" na kuondoka nao. Majirani walipouliza wanawapeleka kituo gani cha Polisi, watu hao hawakujibu bali waliondoa gari kwa mwendo mkali. Ndugu wameenda kituo cha Polisi Maji ya Chai lakini hawajawakuta. Hadi sasa, haijafahamika wamepelekwa kituo gani lakini ndugu wanaendelea kufuatilia. Familia za "Wachokonozi" zinaomba tuwasaidie kupaza sauti ili ndugu zao wapatikane wakiwa hai. Wanaomba waliowakamata wasiwaue wala kuwapoteza bali kama wanatuhumiwa kwa makosa yoyote basi wawapeleke mahakamani kwa hatua za sheria.!
Hilda Newton tweet media
Indonesia
169
403
1.8K
96K
RASHIDI ADINANI
RASHIDI ADINANI@Rasheed_Atm·
Yaani watu wanawatukana na kuwalaani wabora wa Umma huu makhalifa waongo wa Mtume swala na salamu zimwendee hivi Wewe 🫵 hapo Sunni utakuwa na kima gani kwao??? Nyie #Wanaharakati Waislamu hebu tumie basi japo akili ya kuzaliwa basi muwache Hamasa na Mihemko bhana!!!!!!!!!
RASHIDI ADINANI tweet media
Indonesia
2
0
9
436
Reggy
Reggy@DynamicsNation_·
@Eric__Bernard Usiku leo Israel kateketeza kabisa Interceptors zote zilizopo kati ya Iran na Israel ndani ya Iran. Leo pia wameteketeza launchers za ardhini za Missiles. Nyambizi za Iran ndo zina-launch Missiles now. Space ishakuwa wazi. Leo aircrafts za Jews zitadance kwenye Space ya Iran.
Indonesia
5
1
11
1.6K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Kumbe Iran yupo serious kafanya kitu.. Sasa ndo Ulikua Muda wa Hamas na Hezbollah nao kufanya Kitu kama kweli wapo serious dhidi ya Israel uone kama Netanyahu hakimbii Nchi 😂
Indonesia
50
10
429
34K
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
JINSi IDF & MOSSAD WALIVYOFANIKISHA SHAMBULIO LA LEO. Israel imetumia miaka mingi kuandaa operesheni dhidi ya miundombinu ya nyuklia na makombora ya Iran, ikiwa ni pamoja na kuweka kambi ya ndege zisizo na rubani ndani ya Iran na kuingiza mifumo ya silaha zinazoongozwa na
Sia Da Vinci💎 tweet media
Indonesia
12
14
119
9.6K
Bin Kombo
Bin Kombo@BinKombo3·
@MuhammadLiwaya @MdeePaschal Abdul Wahabi hakuchukiwa tawheed ya kiislamu na kuandika ktk kitabu hicho bali alichukua tawheed ya muengereza akaiyandika humo ambayo aliweza kuwauwa waislam wenzake elfu kumi akishirikiana na serekali ya kikafiri ya Soudia. Wajinga ndio waliwao Masalafi ni mzigo ktk jamii
Indonesia
3
2
2
175
Amic Ally
Amic Ally@ally_amic·
@Sativa255 Mwamba mda mwengine unafeli icho unachokizungumza sio kweli vichogo wapo huku na baadh ya iv ulivovitaja hawana wach ujinga ww sisi wazanzibar hatuna ubaya wwt mbon unatusema sana mwananetu
Indonesia
5
0
4
4.9K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Naona hamjanielewa niliposema huwezi kuingia ZANZIBAR kama huna PASSPORT. Kwanza sio UONGO, ni ukweli. Kuingia ZANZIBAR wewe MTANGANYIKA lazima uwe kati ya vifuatavyo. 1. Kitambulisho cha NIDA. 2. LESENI ya udereva. 3. Barua ya UTAMBULISHO wa mtaa unayotoka. 4. PASSPORT. Kama huna kimoja kati ya Hivyo hapo juu ZANZIBAR huingii. Ila wao WAZANZIBARI wanaingia TANGANYIKA bila KUGUSWA na kenge yeyote. Wanaweza kuja huku na kumiliki ARDHI na kujenga. Ila wewe MTANGANYIKA huwezi kuenda ZANZIBAR na kununua hata shamba. Mzaznibari anawezq kuwa KIONGOZI huku TANGANYIKA kama ilivyo kwa Mamaenu, ila wewe MTANGANYIKA hata kuenda kuwa mwenyekiti wa kijiji SAHAU. Nilichagua neno “PASSPORT” kwenye hiyo post yangu iliyopita kuongeza ukali wa maneno.😂🫵🏾 Tunatumia nafasi hii ya mpira kupitisha AJENDA yetu ya #NoReformsNoElection maana tukipata wawakilishi ambao tutawachagua na kura zetu wataenda kutusemea HAYA. #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
97
110
1K
123.5K
shishypushy
shishypushy@AutoBostock·
@AllyAhmednoor Inaonekana waliizarau pakistan huwenda haina AD karibu na hayo maeneo sasa wanachokutana nacho hawatatamani tena kurusha ndege
Filipino
0
0
0
6
Ahmednoor. M. Ally
Ahmednoor. M. Ally@AllyAhmednoor·
Picha ya rubani wa kike wa jeshi la India ambaye ndege yake ya kivita aina ya Rafale, imeangushwa na mfumo wa ulinzi wa anga wa jeshi la Pakistan. Tangu mgogoro huu uanze, India imeshapoteza zaidi ya ndege tano za kivita.
Indonesia
1
0
0
89
🍂
🍂@VisitMarangu·
@IAMartin_ 😂😂😂 pia nilisema nitasaidia kila mwenye shida naekutana nae barabarani, sahivi nasaidiwa mimi na kila naekutana nae barabarani 💔
Indonesia
4
0
65
2.5K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mpango ulikuwa rahisi: ukimaliza shule, utapata kazi. Ununue gari na ujenge nyumba ukiwa na miaka 25. Umuoe mwanamke wa maisha yako ukiwa na miaka 27. Ndoto hii inaendeleaje? Una shule. Huna gari. Huna nyumba. Huna mpenzi. Maisha yamekufedhehesha. Una kila sababu ya kuichukia CCM
Indonesia
113
337
2.3K
66.7K
Ahmednoor. M. Ally
Ahmednoor. M. Ally@AllyAhmednoor·
Madhara ya kombora la hypersonic la Wahouth wa Yemen, lililopiga leo ktk jiji la Tel Aviv nchini Israel.
Indonesia
2
1
3
151