乔瑟夫

6.8K posts

乔瑟夫

乔瑟夫

@Axsonmwasaga

Self employed

Kenya Katılım Ekim 2020
3.8K Takip Edilen3.8K Takipçiler
Praise
Praise@hagai_praise·
@kasesco_tz FFU Namba Chafu Hao, Tuna história Nao Mbeya
3
0
6
1.2K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kuna jeshi la migambo Kuna jeshi la police Kuna jeshi la FFU Kuna jeshi la JWTZ.. 🙆 Eti ni jeshi lipi likiingia mtaani lazima pawe kimyaaaa...🤔
Filipino
58
20
269
19.7K
EL SUKAYO🇹🇿
EL SUKAYO🇹🇿@Elsukay0·
Hivi kuna ulazima gani wa kuwepo na cheo cha meya kazi yao ni ipi haswa? ikiwa tayari kuna mkuu wa wilaya na mbuge yupo?
EL SUKAYO🇹🇿 tweet media
Filipino
48
11
141
17.1K
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@lifeofmshaba Maelezo mengi sana sasa sijajua unataka kutuambia nini au kutufundisha nini faida ya haya maelezo ni ipi kwa taifa apigiwe makofi aasipigiwe inaoungiza nini au kuongeza nini hao wanaopigiwa makofi ni ccm au chadema
Indonesia
0
0
0
99
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Kesho kuna kumbukizi za Magufuli huko CHATO Mwigulu anakwenda uko, Baada ya kukosa makofi na vigeregere sio ya Msiba wa Pengo baada akasema yeye wala hajamuuma sana, na baadaye akampelekea moto mwandishi wa habari aliyesema imemTACHI Mwigulu leo yuko Busy kukodisha vijana na magari kwa ajili kwenda CHATO kumshangilia na kumpa vigeregere kama alivyofanyiwa Nchimbi, Kuna mabilioni yanatumika, ya wananchi kutengeneza hili tukio Kumbukeni huyo na Bashite ndio wapendwa wa Bi Msumi, anaamini yuko salama mikononi mwa hawa mabedui wawili Vijana mnaponunulika namna hii hakuna ukombozi utapatikana kutokana na kuuza nafsi zenu, Mnatumika kwa mambo ya ovyo, kumbukeani hawa CCM wameua watu hasa kwa kujaza watu na malori kwenye viwanja baadaye wanasema wanapendwa wanaua watu Kuweni makini sana
Think Different tweet media
Indonesia
18
54
335
35.7K
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@IkindaKani11826 Kww hiyo unataka kutuambia nini au unataka comments maana sijaona hoja ya msingi ni ipi hapa
Filipino
0
0
0
12
CHADEMA NI IMANI❤️(Nyegere Wa Afrika/Honey badger)
Alidiriki kushughulika na wahuni wa CHUKUA CHAKO MAPEMA _Wakamchukua mapema wao,, wahuni sio watu wazuri wako wamejivisha suti😭😭😭😭 Naye alifeli kwa akina SAANANE,MAWAZO,LISSU na wengine wachache🤔 Follow ukurasa wangu huu hapa. 👉 @IkindaKani11826 ▶️ Repost 🇹🇿
CHADEMA NI IMANI❤️(Nyegere Wa Afrika/Honey badger) tweet media
Indonesia
21
14
71
2.2K
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@Twaha_Mwaipaya Wasenge nyie si baada ya Magufuli kufa mlishangilia mkisema MUNGU kasikia kilio chenu sasa saiz unataka kutuaminisha nini au mnataka kutuaminisha tena kwamba mlimpenda sana Magufuli wasenge nyie kumamaye zenu
Indonesia
1
0
1
200
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
"Magufuli alieuwawa na wahuni ndani ya CCM" Polepole
Twaha Mwaipaya tweet media
Indonesia
28
67
737
12.6K
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@davitheempire 😂😂😂😂 sema leo Askofu wenu kawakaanga vibaya kwanza kusema Rais wa jamuhuri wa MUNGANO wa tanzania ataanza kuaga na kutoa pole na kama atataka kusema kitu atasema na kama hataki yeye tu ni ushindi kwa ccm inamaana TEC wanamtambua@samia ndiye Rais aliyechaguliwa na wananchi 😂
Indonesia
5
0
3
3.1K
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸@davitheempire·
Jana mama yenu kaambiwa achague KUTOA NENO au kutoa MKONO WA POLE yeye akamua KUONDOKA muda wa KUFUTURU ulikuwa umefika aisee😅😅
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸 tweet media
Indonesia
26
32
786
45.3K
Travis
Travis@TravisKitengo_·
Nimepenyezewa: Jamaa kakimbilia kwenye maficho yake, Israel taifa teule la Mungu linaenda kupata ushindi kupitia usaidizi wa marekani
Travis tweet media
Indonesia
94
33
227
11.9K
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@tibaasili3 @zoetjesheeftX 😂😂😂😂😂 ulivyobumunda sasa mwenyewe unajiona unaakili kumbe zero kabisa Roman Catholic kwan uneambiwa ni maraika unafikili wao hawatamni kuendesha ma V8 ni vile una upumbavu wa kiwango cha phd lakin ma askofu ni watu kama mm na wewe tofauti yao wao wamesoma mambo ya iman
Indonesia
1
0
0
327
tiba asili
tiba asili@tibaasili3·
@zoetjesheeftX kitu ccm walishindwa kupandikiza mtu kwenye Roman Catholic
Indonesia
8
0
20
7.4K
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
Father Kitima hakumkataza Mh. Rais kuongea; alimwambia achague namna anavyoona yeye kuongea au kutoa mkono wa pole; lakini pia muda haukuwa rafiki maana muda wa kufuturu ulishafika; yeye mwenyewe akachagua kuondoka. Haya mengine haya ni kutengeneza chuki zisizo na msingi.
Mamwavi_Nkabasia tweet media
Indonesia
49
28
467
46.8K
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@IkindaKani11826 Kwa sasa wanaharakati wa mitandaoni wamekuwa waongo kuliko hata ccm habar za kusadikika wwo kwao ni mtaji
Indonesia
0
0
0
12
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@godbless_lema Upinzani maana yake ni kupinga sasa hatutegemei mpinzani aje kusifia serekal labda itoke afe au muda wake umeisha ndiyo maana hata kipindi cha magufuli mlimsema sana na kuaminsha watu kuwa alikuwa mmbaya sana lakin saiz mnamsifia mnasema bora magufuli hakuuza Rasilimali za nchi
Indonesia
0
0
0
5
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Pia swali lingine la msingi la kujiuliza ni hili ? Hivi huyu Mwigulu alishawahi kumiliki heshima mpaka na awe na ya kutoa ? Na eti nimesikia kuwa yeye ndiye kapewa maelekezo na Mwenyekiti wake wa CCM juu ya kuunganisha watu na Nchi. Dhihaka kubwa hii. Nimemsikiliza mara nyingi kila mara akiongea huwa anaongeza mpasuko mkubwa sana ktk jamii ambayo tiyari ina majeraha makubwa.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
14
63
394
18K
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@Roma_Mkatoliki 😂😂 mbona mnaangaika sana mara no reforms no elections mara kila mmbunge anamsifiabRais inamaana mmekubali Tanzania uchaguzi umefanyika na @SuluhuSamia ndiye Rais au mnamsema Rais yupi ?
Indonesia
0
0
1
153
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Hili la kila mbunge kumsifia Rais bungeni, msingi wake huwa ni nini? Ni wanapewa script hiyo wapite nayo au? Ili iwe nini!? Wasipofanya hivyo kwani ni Consequences zipi wanahofia watakutana nazo ikiwa mbunge hatolewi hadi amalize term yake!! Na mbona wapo waliosifia last term na hawajarudi!! Kazi ya kubwa ya bunge ni kuisimamia na kuishauri serikali na idara zake!! Kuwasilisha maslahi ya wananchi na kutunga sheria!! Hili la kumsifia Rais na kumtetea kila kitu ni wrong move!! Ikiwa urais ni taasisi na unaisifia kila saa taasisi hiyo ambayo ndio serikali unayopaswa kuisimamia…..🤔 Wale sio wawakilishi wa wananchi ni wahuni tu waliovaa suti na tai!!
Indonesia
56
106
849
29.8K
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@PMadeleka Kama kitima anaongozwa na bibilia hata baada ya kupewa hilo jukumu atalipokea na kufanya maombi kwa sababu ndiyo biblia inavyosema lakin akifata mihemko ya wanaharakati wa tanzania kama kina @maria @lifeofmshaba @magekimambi hawez kufata biblia badala yake atakuja kuchamba watu
Indonesia
0
0
1
270
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kwa namna ninavyomfahamu PAPA, akishapokea OMBI hilo 👇, ni LAZIMA atampa PADRI DK. CHARLES KITIMA, jukumu la KUIOMBEA TANZANIA. Kimsingi, KANISA KATOLIKI lina utaratibu MZURI SANA wa kushughulikia MAOMBI ya Mawaziri Kama KOMBO.😂😂
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
76
53
654
33.6K
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@Blessings1985 @lifeofmshaba @freemanmbowetz @SuluhuSamia Malaya weee kwan mbowe akisema ,asiposema kuna chochote anaongeza au kupunguza kwenye mabadiliko mnayoyahitaji ? @mbowe mmoja anawaumiza vichwa watu zaid ya milioni 7 mnataka kutuambia mbowe anayazuia mabadiliko au mmeaminishwa kuwa ni mmbaya na mmeamini kwa kuwa hamna akili
Indonesia
0
0
0
12
Bless More
Bless More@Blessings1985·
@lifeofmshaba Nakukubali sana @lifeofmshaba huyo Tapeli makengeza @freemanmbowetz mshenzi halafu kuna watu wanamshangilia eti leo katoa speech nzuri, hawajiulizi siku zote mbona alikaa kimya? Kwani kasema kitu gani kigeni leo? Dalali mzee anajiweka ili afanye maridhiano na muuwaji @SuluhuSamia
Indonesia
1
1
5
427
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@lifeofmshaba Weee jamaa hivi unajijua kama una ujinga mwingi sana tuseme sawa mbowe anafanya hayo unayoyasema kwan yeye ndiye anayekwamisha mabadiliko wanao hitaji mabadiliko ni wengi sasa inakuwaje @freemanmbowe mtu mmoja akwamishe hayo mabdailiko. acha siasa zako za chuki
Indonesia
0
0
1
68
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@godbless_lema Upinzani maana yake ni kupinga sasa hatutegemei mpinzani aje kusifia serekal labda itoke afe au muda wake umeisha ndiyo maana hata kipindi cha magufuli mlimsema sana na kuaminsha watu kuwa alikuwa mmbaya sana lakin saiz mnamsifia mnasema bora magufuli hakuuza Rasilimali za nchi
Indonesia
0
0
0
20
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@lifeofmshaba Wewe tunakujua unachuki zako na mzee @freemanmbowe siku zote upo kupindisha tu na kuwaaminisha watu kuwa huyo mzee ni mmbaya sana mbona @mariasarungi ana mambo ya ovyo mengi tu na hausemi au kwa kuwa anakufuga
Indonesia
0
0
0
6
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Mbowe ana mambo ya ajabu sana Mtei alihudumia serikalini akastaafu Akawa CHADEMA Anaposema taasisi nyingi ana maana gani? kwamba kila anaye kwenda kwenye msiba anakuwa na uzito sawa na CHADEMA? Mzee Mtei ni muaasisi wa CHADEMA pamoja na mbuga alizochanja na mambo mengi aliyofanya, Hakuna suala linamuweka kwenye RAMANI na HISTORIA yake kuasisi CHADEMA na kidogo kuwa Gavana BoT Huyu Dalali anataka futa heshima ya baba mkwe wake katika jamii sababu ana lamba asali nani uwa wanakomali msiba wa baba mkwe namna hii? wewe mwenyewe unatakiwa kutulia , uwe unaona aibu unakuwa kama mtoto mdogo
Jambo TV@Jambotv_

VIDEO: Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai kuwa CHADEMA haijapewa nafasi na hadhi inayostahili katika taratibu za kumuenzi muasisi wa chama hicho kabla ya mazishi yake. Akizungumza na waandishi wa habari, Mbowe amesema anasikitishwa na taarifa hizo akizitaja kuwa ni za uongo na zenye nia ya kuuchafua msiba huo, huku akisisitiza kuwa hakuna mtu wala kundi lililotengwa katika maandalizi ya mazishi ya marehemu Mzee Mtei. Mbowe amesema familia inapenda kuona mwili wa marehemu ukipumzishwa kwa amani bila malumbano yoyote, akibainisha kuwa CHADEMA imepewa nafasi kubwa katika taratibu zote kuanzia zoezi la kuuchukua mwili Mochwari hadi shughuli za kumuaga na kumuenzi marehemu. Ameongeza kuwa watu wengi waliopo msibani hapo ni wanachama na viongozi wa CHADEMA, jambo linalothibitisha kuwa chama hicho kimehusishwa kikamilifu katika kila hatua ya maandalizi ya msiba huo. “Ninasikitishwa na baadhi ya watu wanaotaka kuuchafua msiba huu kwa kutoa taarifa za uongo. Hakuna aliyebaguliwa wala kutengwa. Kila mtu amepewa nafasi ya kumuenzi Mzee Mtei,” amesema Mbowe. Mazishi ya Mzee Edwin Mtei yanatarajiwa kufanyika kesho, Jumamosi, katika makaburi ya nyumbani kwake Tengeru, jijini Arusha.

Indonesia
20
11
101
13.2K
乔瑟夫
乔瑟夫@Axsonmwasaga·
@godbless_lema Inamaana mzeee Mtei amevuna mshahara wake au vp? watoto wanaozaliwa leo na wanakufa leo wanakuwa na dhambi nyingi sana au?
Indonesia
1
0
0
250
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Nawakumbusha wajumbe wa TUME kuwa mshahara wa dhambi ni mauti.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
16
92
489
11.4K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Leo washkaji wanakushangilia una mademu wakali!! Kuna siku manesi watakushangilia umemaliza kikombe cha uji!!! Haya we endelea…Sholako!!
Indonesia
46
190
1.8K
43K