Pharaoh bgt

1.2K posts

Pharaoh bgt

Pharaoh bgt

@BgtPharaoh

Katılım Aralık 2022
29 Takip Edilen13 Takipçiler
Pharaoh bgt
Pharaoh bgt@BgtPharaoh·
@Getrude_mollel C kama mlivyoshangilia enZi za magu ndo gen z wanashangilia uu ni uongozi na Ii ni demokrasia c ata mama yenu aliruhusuu waache washingilie
Indonesia
0
0
0
0
Getrude Mollel 🇹🇿
Getrude Mollel 🇹🇿@Getrude_mollel·
Pelekeni watoto wenu shule jamani. Sijajua kwanini Gez wanashangilia matamko ya nchi nyingine kwa Tanzania, taasisi kama Common Wealth, UN na watu binafsi dhidi ya Tanzania. Listen, Tanzania ni nchi ni dola kamili, haipangiwi, inasikiliza tu matamko lakini haina obligation ya kufuata.
Indonesia
6
4
16
1.5K
Pharaoh bgt
Pharaoh bgt@BgtPharaoh·
@millardayo haha nyie c mlikuwa mnasema maskini tunachuki kisa mkuu wa wilaya anaendesha gari la milioni 100 mkawamnatujibu watz wanachuki kumbe Hela za wizi mpaka rostam akalopokwa eti watz awapend wenzao watajirike
Indonesia
0
0
0
102
millardayo
millardayo@millardayo·
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amesema Mkoa wa Dar es salaam chini wanalaani vitendo vya utekaji na wamejipanga kuvikomesha akisema hiyo ni moja ya sababu ambayo inawachukiza Wananchi. Akiongea na Wahariri leo December 05,2025, Chalamila amesema “Pamoja na malalamiko mengine ambayo yapo ambayo yanadaiwa kuongeza chuki, moja ya jambo linalodaiwa ni utekaji, mambo yanayosemekana kuleta chuki katika Taifa moja ni utekaji, kukosekana kwa ajira kwa Vijana, Wananchi kutosikilizwa, Viongozi kuishi maisha ya starehe, matumizi mabovu ya rasilimali za Umma, matumizi ya nguvu kupita kiasi, haya ni baadhi ya mambo ambayo Wananchi wetu wanasema wanayachukia” “Ni kweli kabisa sisi katika Mkoa wetu wa Dar es salaam, tumejipanga na wenzetu hata sisi tunalaani sana vitendo vya utekaji” “Pale Kiluvya kuna Mabwana walikuwa wanamchukua Bonge (Tarimo) kumuijgiza kwenye gari, ukilichunguza ni jambo la kimapenzi, tulipotangaza wakakimbia tukawakamata, kinachosema mbona hamzungumzi kwa sauti kuhusu utekaji” #MillardAyoUPDATES
Indonesia
42
4
104
34.2K
Pharaoh bgt
Pharaoh bgt@BgtPharaoh·
@lifeofmshaba kwaiyo Ile dola ya kigirik , kirumi zilikuwa ni kikundi Cha watu?
Filipino
0
0
0
258
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Kumbukeni dola sio nchi? Sio serikali Maana serikali ni Bunge + Mahakama + Watalawa = Serikali Dola ni sehemu ya watu kwenye serikali yaani kikundi Wananchi hawamtakia — Iddi Amini Suluhu — Wananchi hawataki wabunge wa sasa — Wananchi hawataki madini Kwa kifupi wanataka fress election itakayosimamiwa serikali ya mpito baada ya kuweka mazingira sawa kwenye ushindani wa kisiasa Baada ya hapo kupata viongozi sahihi wananchi wanata — uwajibikaji wa masuala yote yaliyofanyika nchini — Wanataka Katiba Mpya hii haiwezi fanya na huyu bibi katili Huu mchakato unawezekana ndani ya mwaka mmoja ukafanyika vizuri kabisa mpaka kufikia hatua ya kuanza kuanzia katiba mpya Maswali tutawezaje pata Katiba na uchaguzi kwa haraka ni gharama — UNDP wana mechanism kusadia kuboresha DEMOCRACY — AU , SADC na EU wanawesa saidia pia mchakato kuboresha democracy Dola ni Samia na washikaji zake kama 10 tu hivi including Kikwete , Rostam na Angela Kizigha Hata Nchimbi na Mwigulu ni masanamu tu hasa Mwigulu hawa wala hawana udola wowote tena kwa Ukweli ni kwamba kwa sasa tunatawaliwa na Samia akitumia mtutu na maarifa mauaji na ukatili ya Haji Omari Kheir na mtaalamu wao anatwajwa kuwa Omari ilyas
Indonesia
3
22
137
9.4K
Pharaoh bgt retweetledi
Dr. Mumbi's Newsdesk
Dr. Mumbi's Newsdesk@DrMumbiSeraki·
Samia Suluhu Hassan's gov must be doing REAL bad coz they're pushing so many hashtags DAILY! The latest one is #visittanzania . who will visit a country where the government annihilates over 10,000 innocent people JUST LIKE THAT! we MUST #BoycottTanzania until JUSTICE is served
English
2
66
215
4.3K
Tanzania Leaks
Tanzania Leaks@TanzaniaLeaks·
BREAKING: Source within Tanzania's Intelligence has reliably informed us that, The US soldier apprehended in Tarime is going to be used as a bargaining chip, With an ultimate goal of having @mangekimambi extradited back to Tanzania in exchange for the soldier.What an idiotic move
Tanzania Leaks tweet media
English
83
58
560
81.4K
TONY ALFRED K
TONY ALFRED K@tonyalfredk·
@EsirEid Hiki kipindi kila mtu alikuwa na matumaini, binafsi nilikuwa nachukua personal effort kuwashawishi watu wamuunge mkono na kumuamini. Nakumbuka niliwahi kusafiri nikakutana na wamama hawamwelewi, niliwapa shule kama ninalipwa, siku nzima.
Filipino
3
0
5
1.3K
Duke Sam
Duke Sam@Sim0Xonz·
@MarekaMalili Hapana kwakweli. Tanzania ikiwa unstable Rwanda haifadiki chochote kabisa mf kipindi cha Maandamano mizigo kutoka bandarini kwenda Rwanda ilikuwa haiendi . Sasa hapo anafaidika je?
Filipino
1
0
1
613
Pharaoh bgt
Pharaoh bgt@BgtPharaoh·
@siadevinci @Oba0214 tungetembea Kwa miguu na ungoo . mbonA mama Yako alifukuza machinga wote kama nzi wa chooni
Filipino
0
0
0
3
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
@Oba0214 Uhai wa mtu una maana gani kama hakuna miundombinu? Jaribu kuimagine. Vituo vya mafuta vingechomwa vyote maisha yangekuaje baada ya hapo?
Indonesia
28
0
7
2.4K
Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎@siadevinci·
Ile tarehe 29 wakaanza na kupost picha na video za miundombinu na biashara za watu zinavyochomwa wakishangilia. Zile video za vijana wakiuawa wakaambizana wasizipost ili wengine wasijeogopa kwenda front. Leo hii ukipost media za uharibivu uliofanyika unaonekana msukuma #.
74
41
167
23K
Pharaoh bgt retweetledi
ChrisExcel
ChrisExcel@ChrisExcel102·
That president of Tanzania won by 97.66% but people of Tanzania are rioting on the streets they don’t want her Same how ANC & DA always have high votes but everyone hates them … Kant who is voting in Africa 😭😭😭
ChrisExcel tweet media
English
338
2K
13.2K
1.5M
Pharaoh bgt retweetledi
CLUB Magufuli
CLUB Magufuli@ClubMagufuli·
SAMIA & KIKWETE are killing the youth. We need help to stop them. #MO29 👊🏽👊🏾👊🏿 #TunatokaOktoba29
Swaleh-Mirongoh 🇰🇪🇹🇿@Swaleh_Mirongoh

@TitoMagoti LET THE WHOLE WOLRLD KNOW WHAT @SuluhuSamia and @ccm_tanzania are doing to TANZANIANS We can’t go silent when atrocities are being committed to our brothers @POTUS @ChademaTZ2 @ClubMagufuli @MariaSTsehai @BBCAfrica @BBCWorld @TanzaniaSos @mangekimambi @C_NyaKundiH @IntlCrimCourt

English
0
20
43
2.4K
Pharaoh bgt retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
🚨 Serious Allegations of Complicity in State-Sanctioned Violence Activist Mange Kimambi has released grave allegations implicating former Tanzanian President Jakaya Kikwete in the current plot resulting in mass casualties across the country. Kimambi alleges that the lethal operations against citizens were executed through direct, coordinated efforts between President Samia Suluhu Hassan and Mr. Kikwete. The statement suggests a shared responsibility for the violence aimed at suppressing dissent.
Think Different tweet mediaThink Different tweet media
English
12
296
1.1K
123.3K
Pharaoh bgt retweetledi
Alinur Mohamed
Alinur Mohamed@AlinurMohamed_·
Tanzania citizens entering day 2 of maandamano has really happened in our lifetime. Samia Suluhu must be an extremely evil human to make those people hate you that deeply
English
14
429
2.3K
41.6K
Pharaoh bgt retweetledi
Kavuli M. Bernard, FCH
Kavuli M. Bernard, FCH@BernardKavuli·
RETWEET if you stand with Tanzanian Gen Zs against Oppression and Impunity ✊🏽🇹🇿
Kavuli M. Bernard, FCH tweet media
English
27
1.8K
4.1K
70.2K
Pharaoh bgt retweetledi
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
🚨MUHIMU SANA‼️ WOTE WANAOPIGWA RISASI AU KUUMIA WAPELEKWE HOSPITAL YA JESHI LUGALO. Naomba 200 Repost kwa hili kila mtu aone na ajue.
Dr Calipso tweet media
Filipino
12
691
1.7K
57.3K
Pharaoh bgt retweetledi
African Hub
African Hub@AfricanHub_·
𝕏 has been banned in Tanzania 🇹🇿 Only government officials are allowed to use 𝕏 in Tanzania
African Hub tweet media
English
1.4K
1.9K
10K
2.1M