OTHMAN

6.7K posts

OTHMAN banner
OTHMAN

OTHMAN

@Oba0214

One day we'll be with Allah, and we'll be home. 96240214

Pemba North, Tanzania Katılım Mayıs 2014
1K Takip Edilen1.1K Takipçiler
OTHMAN
OTHMAN@Oba0214·
@Mziwanda98 Sasa yule mtoto mdogo mwenye hela anakua namba ngapi mkuu
Indonesia
0
0
0
6
✪'𝕤𝕓✪𝕣𝕟 𝕄𝕫𝕚𝕨✫𝕟𝕕✫
Hii ni orodha ya wafanyabiashara, mabilionea kumi wanaotajwa kuwa na ukwasi uliopindukia nchini Tanzania. Ninachoomba kuelewa: Ni kwa nini katika nchi yenye wazawa weusi zaidi, orodhi hii—Kwa sasa—haina mzawa mweusi hata mmoja? Ni malezi, aina ya elimu, ni mwamko mdogo au nini?
✪'𝕤𝕓✪𝕣𝕟 𝕄𝕫𝕚𝕨✫𝕟𝕕✫ tweet media
Indonesia
77
21
138
26.8K
OTHMAN
OTHMAN@Oba0214·
@masoudkipanya Kuku Uturuki, Samaki (Peduu) south Africa, soseji sijui nchi gani n.k
Indonesia
0
0
0
5
LI BRO STIMA ⚡
LI BRO STIMA ⚡@JosmanStima·
"nakaa kwa Dada ....sijaolewa....nope si sikupi number leta hela ndo upige mbususu " 😂😂alie gundua kupiga nyeto abarikiwe sana katuepusha na vingi.
LI BRO STIMA ⚡ tweet mediaLI BRO STIMA ⚡ tweet media
Indonesia
59
53
259
21.1K
Daily News Iran
Daily News Iran@DailyNewsIran·
Snow in April In 2011, former President Mahmoud Ahmadinejad said “They’re stealing our rain.” No one believed him. After Iran struck US bases in the region, our climate changed: decades of drought ended, and snow fell in April. Follow Us for Updates
English
248
6.3K
25.9K
835.7K
OTHMAN
OTHMAN@Oba0214·
@Kipanga1986 Hao wanaotuongoza hawajengi nchi zetu sembuse vijana, mnapenda kusakama vijana tu.
0
0
0
5
Kipanga
Kipanga@Kipanga1986·
Haafu kuna kenge zimo humu zinasukumwa na Kenge nyengine kutoka USA na Nairobi zinachoma moto mwendo kasi na sheli za watu
Kipanga tweet media
Filipino
18
7
15
1.2K
Mwigulu Nchemba, PhD
Mwigulu Nchemba, PhD@mwigulunchemba1·
Hujambo ndugu, nimepokea swali lako. Tafadhali nipatie mawasiliano yako ili niweze kupata ufafanuzi zaidi na kulifuatilia ipasavyo.
Hancy Machemba@hancymachemba

Mh waziri mkuu @mwigulunchemba1 mchumi na msomi hasa. Naomba kujua kwann serikali inapambana sana kuinua wananchi wake na wakati huo huo Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinauwa uchumi wa watu hao hao? Unakuta supplier anadai tasisi kwa miaka pengine mtaji kakopa bank.

Filipino
90
52
496
146.7K
MUITALIANO 🔋
MUITALIANO 🔋@iamkizzyh·
Mke wangu hataki kunifungulia mlangi guys 😭😭😭😭
Indonesia
5
6
31
1K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
“Najua watu wengi nchini Kenya wanaendelea kuuliza kwanini wakati mwingine bei ya mafuta nchini Kenya inatofautiana na ile ya majirani zetu. Kenya ni nchi ya kipato cha kati. Majirani zetu ni nchi zilizo kwenye kundi la nchi zilizoendelea kwa kiwango cha chini. Kuna tofauti kubwa. Kama unataka kulinganisha Kenya kwa haki na nchi nyingine, linganisha Kenya na nchi nyingine za kipato cha kati." - William Ruto, Rais wa Kenya
Swahili Times tweet media
Indonesia
71
56
923
60.3K
w!se-man🦷
w!se-man🦷@mwarabu22305·
@fintanjr_ Mlinz anaweza kukwambia "wewe mbn kila siku huna kitambulisho" kama mtu unamfahamu ya nin utambulisho wake?
Indonesia
3
0
12
2K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Juzi nilipita pale Chuo cha Ustawi nikakuta Ugomvi wa mwanachuo na mlinzi,.. nikabidi niulize tatizo nini,.. mlinzi sukari ipo juu anasema mimi siwezi kuvumilia Dharau, amekuja dogo nimemwambia hawezi kuingia bila kitambulisho halafu yeye akaniambia ndio hivyo hivyo nlivyozuia elimu kuingia kwenye kichwa changu🤒.. nlishindwa nimsaidiaje kijana wa chuo😂💔🙌.
Suomi
49
56
428
34.2K
tutla Cholo
tutla Cholo@tutla7·
Kuna meli ya zanzibar ya mzigo inayo toka Tanga imeza Nungwi
Filipino
10
13
374
32.2K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Kuna faida gani ya kujenga paa la nyumba kubwa hivi..🤔
kasesco☆ tweet media
Eesti
72
36
272
31.9K
yOuNg_tHuG
yOuNg_tHuG@bOy___ThUg·
Twende kazi…
yOuNg_tHuG tweet media
Türkçe
13
12
23
864
OTHMAN
OTHMAN@Oba0214·
@EsirEid Apo nyuma naona Kuna jamaa wanaswali na vipensi
Indonesia
0
0
0
13
OTHMAN
OTHMAN@Oba0214·
@EsirEid Tz naskia tuna madini ya uranium?
Indonesia
0
0
1
41
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kiongozi mpya wa kiroho wa Iran, Mojtaba Khamenei, amesema kuwa amebatilisha kanuni zilizowekwa na baba yake, Ayatollah Ali Khamenei, kuhusu suala la silaha za nyuklia. Amesema kuwa kuipatia Iran silaha za nyuklia ni suala la uhai na si jambo la kujadiliwa. Aidha, alisisitiza kwamba katika dunia inayotawaliwa na mabavu badala ya sheria, njia pekee ya kujilinda dhidi ya wavamizi ni kuifanya Iran kuwa na silaha za nyuklia. Mojtaba Khamenei pia alisema kuwa maadui wa Iran wanapaswa kutambua kwamba nchi hiyo ina uwezo wa kujipatia silaha za nyuklia ndani ya siku chache ikiwa italazimika, na inadaiwa kuwa ameagiza Walinzi wa Taifa wa Iran kuandaa silaha hizo kwa muda mfupi. Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Iran, Islamic Republic News Agency (IRNA), nchi za Russia, China na North Korea zimeahidi kutoa msaada na uungwaji mkono wa haraka kwa Iran katika juhudi za kujipatia silaha za nyuklia.
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Indonesia
45
37
392
18.5K
OTHMAN
OTHMAN@Oba0214·
@HecheJohn Kumbe na wewe ulishiriki kuunda BPS
Indonesia
0
0
0
5
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Bwana Chalamila, Mimi nimehudumu kwenye kamati ya Nishati na madini ya bunge kwa miaka mitano. Najua utaratibu wa uagizaji wa mafuta kama ninavyojua kiganja cha mkono wangu. BPS imeundwa nikiwa mbunge nimeshiriki . Mnatakiwa kujibu maswali rahisi nyie watetezi mafisadi na Cartels. 1. Mafuta yanatumia siku ngapi kuanzia kununua mpaka yanafika Dar? 2. Mgogoro umeanza tarehe 28/2/2026, mafuta hutumia siku 50 mpaka 60 kufika bandari yetu ya Dar, hivyo mafuta yaliyonunuliwa baada ya mgogoro kuanza na bei kuanza bado hayajaingia nchini. Kwanini mafuta yaliyonunuliwa na kuingia Nchini kwa bei ya chini yauzwe kwa bei ya juu? 3. BPS wananunua mafuta kwa wingi na mara zote yanatumika miezi mitatu au minne kama alivyosema katibu mkuu wa wizara… imekuaje mafuta ya kwenye reserve yapande bei? 4. Kuna tozo na kodi kwenye lita moja ya mafuta zaidi ya 18 au 31% yaani kila sh 100 anayotoa Mtanzania kununua mafuta anakatwa sh 31, achilia mbali 4% ya logistics ikiwemo Demurrage ambayo ni uzembe unasababisha Watanzania kubeba mzigo huu. 5. Muhimu sana tenda ilitangazwa lini na wapi? Nani na nani walishindana? Nani alishinda na kwa bei ipi? Wewe umesema mama ndio aliwambia TPDC waagize!!! Hii ni sawa na Richmond nyingine.. sheria inasemaje? Sisi tunasema: 1. Mafuta yaliyopo hayastahili kupanda bei kwasababu yaliagizwa na kuingia kwa bei ya chini. 2. Mzigo wa kodi na tozo uondoke kwasababu ni nyingi na kubwa mno kuliko Nchi zote Afrika mashariki, ndio maana hata Nchi zisizo na bandari zinauza mafuta chini kuliko sisi. 3. Kuendelea kukandamiza Watanzania na dhuluma hii ya wazi kutaleta balaa kubwa kwenye maisha hasa ya mtu wa chini. Maana mafuta yakipanda kila kitu kinapanda.. Bwana Chalamila na yule kijana jifunzeni kwanza mambo haya.
Indonesia
73
589
2.1K
68.3K
OTHMAN
OTHMAN@Oba0214·
@VungaEl74 Nyie wengine kama mmeshikiwa akili.
Filipino
0
0
2
31
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Tulisema mapema kwamba Mlango-Bahari wa Hormuz uliofungwa ni ushindi mkubwa kwa Donald Trump. Sasa, ametangaza tu kwamba atazuia Mlango-Bahari wa Hormuz mwenyewe na Iran haitauza tena mafuta. Na sasa, Marekani ina mafuta mengi kuliko Urusi na Saudi Arabia zikiwa zimeunganishwa pamoja. Na meli nyingi za mafuta ziko tayari kuelekea Marekani kujaza mafuta. Iran haijawahi kuona hili likitokea.
Indonesia
56
29
320
25.3K
OTHMAN
OTHMAN@Oba0214·
@VungaEl74 Mda wa breki watu Wana deploy vimondo vipya kutoka Russia na China
Filipino
0
0
0
4
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Unapigwa arafu unaambiwa joo tuongee semashida yako ila Marekani 😂😂🙆🏽‍♂️
Vunga tweet mediaVunga tweet media
हिन्दी
19
5
76
2.1K
OTHMAN
OTHMAN@Oba0214·
@Wizwizo99 Unachaji simu ikiwa kwenye cover halafu juu ya godoro?
Indonesia
1
0
2
3.4K
E m m a r o🏂
E m m a r o🏂@Wizwizo99·
Niko nae leo kmmmk nyie kuleni Nyeto wakuu🤝
E m m a r o🏂 tweet media
Indonesia
72
24
540
52.3K
OTHMAN
OTHMAN@Oba0214·
@kikomasta Ingebidi iundwe kamati kwanza ya kuangalia ukubwa wa tatizo ipate posho lake, ifanyike tendering apatikane mshindi (tender board ipate chochote hapo nayo) halafu bado mambo ya upembuzi yakinifu sijui ndo unaanza mwanzo au mwisho lakin ni lazima ufanywe
Indonesia
0
0
4
99
Jack upepo
Jack upepo@kikomasta·
Ndani ya masaa 40 baada ya reli kushambuliwa tu Iran imejenga tena upya na safari zinaendelea kama kawaida. Ingekuwa nchi za Afrika unadhani ingechukua siku ngapi reli kurudi kwenye hali yake ya kawaida? #BilaGanzi
Jack upepo tweet mediaJack upepo tweet media
Indonesia
7
4
108
5.7K