Popoma Ssengo II
377 posts

Popoma Ssengo II
@BongoPolifix
Allah Akbar

Wadau ukiiona hii post fanya kuwatag hawa 🚨 Please help! Tag @elonmusk @Support to reinstate @sativa255 (143K followers). He is a human rights defender & victim of political persecution. Silencing him = silencing truth. #UnsuspendSativa255 #FreedomOfSpeech

Maandamano yanaanzia wapi ?

Msemaji Mkuu wa Wanaharakati na wapinzani nchini Tanzania.



Ccm kwa kutumia Ubungo mdogo sana. Wanachukua bendera zetu, nguo za chama na kuwapa wanaccm, waonekane kwamba ni chadema wanamuunga mkono Samia!!!!! Mnalilia endorsement ya Chadema sio? Sio wanachadema tu, rais Samia haungwi mkono na waccm wenzake pia, ndio maana alichakachua vikao na kujitangaza mgombea mwezi wa 1.. miezi 7 kabla ya kampeini. Mwanachadema atakuunga mkono kwa lipi? Kwa kutumia Wanzibari wakina Said Issa kuzuia shughuli za chama? Au kumkamata Mwenyekiti wetu na kumpa kesi ya uongo ili upite bila kupingwa? Au kwa kutumia ofisi ya msajili kuhangaisha chama chetu? Kwa kipi hasa hata Mwananchi wa kawaida anaweza kuunga mkono serikali hii? Utekaji? Ufisadi, rushwa, mali kupewa wageni? Hakuna legitimacy yoyote kwa utawala huu. #NoReformsNoElection


Nakumbuka lile nyomi la CDM pale jangwani bila msanii hata mmoja,kweli kizuri chajiuza..



Aiseeeee! Acheni CHADEMA wasuse ni haki yao kwa sasa nawaelewa🙌


Mnalazimisha wafanyabiasha Wadogo wadogo wa kariakoo wasifungue Biashara zao ili mjaze vichwa kwenye Mkutano wenu Haramu!!. Mwaka huu Bila Reforms hapatakuwa na Uchaguzi na Huo ndio Msimamo wa Watanzania. #NoReformsNoElection

Leo Agosti 28, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa tiketi ya @ACTwazalendo, Ndugu Luhaga Mpina atazungumza na vyombo vya habari. Mahala: Jengo la Maalim Seif Magomeni DSM Muda: 7:00 Mchana Oktoba #LindaKura #MuhuniHasusiwi

Hawa vijana wa UVCCM kwenye maandamano msije kusema ni vijana wa JKT ni UVCCM wenyewe hawa.

@BongoPolifix Kweli wewe ni lipopoma mnashangilia watu wakifaidi nchi nyie mnabaki kupiga tu makelele

Msimamo rasmi wa Chama chetu kufuatia barua ya Tume ya Uchaguzi kukataa kupokea fomu za Mgombea wetu wa Urais ndg Luhaga Mpina. Tutapigania haki yetu mpaka mwisho. Hatuyumbi wala kuyumbishwa. Hatupeperushwi, TUTAPEPEWA!


Msajili, Jeshi la Polisi, Mahakama, Tume ya Chaguzi ni watoto wa Baba mmoja( hawa wote wanafanya kazi kwa maelekezo ya Rais). Ili kuwatenganisha tunahitaji Mabadiliko ya kikatiba na kikanuni. Bila Reforms hakuna aliye salama....HAKUNA ALIYE SALAMA. #NOREFORMNOELECTION




