CHEEUUUSIII
4.8K posts


Huyu ukimchukua ukianza kukaa nae mwezi tu ananenepa 😁
Alice💖💖@alicenankanja
Slim mummy 🤭🙃 But back view says otherwise 😝😝
Indonesia

@Thompso65323227 @millardayo Nimejaribu kusikiliz sauti naona hainivutii nikaona nirudi kwenye alichoandika nacho hakieleweki ngoja nisome comment tu
Indonesia

@millardayo Uandishi mbaya.. unaandika habari kama mwanafunzi anayehangaika na KK. Umesoma wapi mpaka ukafikia hatua ya kuitwa Mwandishi wa Habari ?
Indonesia

Baada ya Ofisi ya Mufti wa Tanzania na Ofisi ya Mufti Zanzibar jana kutangaza kutoonekana kwa mwezi huku Kenya na Uganda wao wakitangaza kuuona mwezi na kusherehekea Eid El-Fitr jambo ambalo lilofanya kuibuka kwa mijadala mbalimbali baina ya Watanzania Kuhusu Mkanganyiko huo sheikh Shaaban ameeza Namna ambayo zoezi hilo lilivyofanyika Kitaalam mpaka Tanzania kutangazwa mwezi haukuonekana
Akizungumza na @AyoTv_ Mkuu wa Divisheni ya kutatua Migogoro kutokea Ofisi ya Mufti Zanzibar Sheikh Shaaban Albattaashi amesema Zanzibar ilitumia mitambo ya kisasa ya kutazamia mwezi lakini mwezi haukuonekana ndipo Jopo la Maulamaa walipoamua Mwezi haupo zoezi ambalo lilianzia saa 10 Jioni hadi kuingia kwa giza
Shaaban amesema ofisi ya Mufti na Jopo la watu 18 ambao ndio huamua Kamati hiyo hubeba Wasomo na Wataalam wa Mambo ya Anga na Kidini ambapo maamuzi yaliyotolewa jana ni sahihi na hakukua na uwezekano wala hakukua na mwezi hivyo Waumini hutakiwa kufunga kuumalizia Funga 30
Licha ya Kenya na Uganda wao kufunga lakini Shekhe Shaaban amefafanua kua maamuzi yakiofanyika ni kwa mujibu wa mafundisho ya Mtume Muhammad (SW) na si kwa Mihemko wala Matakwa ya watu .
#MillardAyoUPDATES
Indonesia

@Excess300 Toka niachane na insta na tiktok sijawai hata kuona picha yake
हिन्दी

@Excess300 Hakun anaempuuza yeye ndio alianza kutuona sisi hatuna msaada na mchango wowote kwake
Filipino

He was born in March and he died in March 🙌🏽….CHUCK NORRIS is one of the actors who made our childhood enjoyable
Born on March 10 and died on March 19 at the age of 86.
{TheDeltaForce} will always be my favorite movie of his, How about you???
#RIP💔

English

@ayubu_madenge Hiii kufa mbona kama.ni ya mchongo sana hawa majamaa ni kama wanataka kuwapotez wale wote ambao walikua wanajulikana na kuwa target na marekani ili wasiendelee kuwasaka
Filipino

@bonifacejoseph_ @AllyAssed13070 Oyaaaa madhara ya kunusa petrol haya bonny
Indonesia

Ronaldinho??
Umechanganyikiwa janja
Bony 📚@bonifacejoseph_
Wait kwamba wanamlinganisha Wazza & Neymar?. Only thing Wazza kamzidi Neymar ni workrate uwanjani, apart from hapo hakuna kitu chochote kwenye aspect ya game Rooney kamzidi Neymar. Kwenye Generation hii ya kuanzia miaka ya 2000, apart from Messi & CR7, No one come close to Ney
Indonesia

@Adventure_36 Je hawa watu hawana ushirikiano mbona kila mtu anaamua vile atakavyo au huyu wetu ni muhuni
Indonesia

@Mziwanda98 Kwenye sheria zote nimeipenda moja inasema ikotokea Messi kafunga goal anaruhusiwe kupiga vibao wachezaji wote wa team pinzani
Indonesia





















