Sabitlenmiş Tweet

Habari @ChademaTZ2
🫡🇹🇿Heshima yako Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA
@HecheJohn
Pole na Hongera na Majukumu.
Mimi ni Kijana mpenda haki, Mabadiliko ya kweli yanayolenga Utu na Sera Bora za Kitaifa.
Ombi langu kwako na Chama, Naombeni kujua namna ya Kupata KADI YA CHAMA

Indonesia



















