Dibbo.

4.8K posts

Dibbo. banner
Dibbo.

Dibbo.

@CaptainDibbo

Peacemaker

Esteio, Brasil Katılım Ekim 2021
4K Takip Edilen606 Takipçiler
Dibbo. retweetledi
Mr .Zero🇹🇿brain
Mr .Zero🇹🇿brain@DaligiShij3295·
Jamhuri ni nani? Kwanini huyu mtu asiye na hatia anashikiliwa Ni Mtanganyika mzalendo yupi ananufaika na huyu kuwekwa ndani? Sidhani km Kuna Mtanganyika mzalendo ananufaika. #Free_Him #he_is_inocent
Mr .Zero🇹🇿brain tweet media
Filipino
2
8
15
268
Dibbo. retweetledi
Marcus
Marcus@InexorablesoG·
Father Kitima hawaachi hawa wauaji wapumue aisee.
हिन्दी
5
104
305
4.5K
Dibbo. retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
AFCON 2027 TANZANIA haitakuwepo na hii kampeni tutaifanya kwa WIVU MKUBWA SANA. Kama tulivyosema hakutakuwa na UCHAGUZI 2025 na haukufanyika na sasa tunaenda kuzuia AFCON isifanyike. Mwaga moto kama DRAGON kama unaungana na mimi🔥🔥🔥 REPOST 500 #NoDemocracyNoAfcon
SATIVA tweet media
Indonesia
39
213
751
6.7K
Mamwavi_Nkabasia
Mamwavi_Nkabasia@joeselasini·
Huo ndio msimamo na maagizo ya mfariji mkuu. Pandisheni kila kitu kwa kuwa mafuta yanapanda bei. "Kazi iendelee."
Filipino
15
6
57
4.3K
Dibbo. retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
President @realDonaldTrump kawapa pressure Cuba mpaka wamenza kuwaachia wafungwa wa kisiasa ambao walifungwa sababu ya kupinga serikali. Kwanini Watanzania hatupush kwa kuomba msaada kwa Trump ili Tundu Lissu aachiwe? Tundu Lissu hawezi kuachiwa na kimama kwa sasa sababu anajua kitakachofata. Watanzania, inabidi tuache kila kitu na ianze viral campaign, kwenye social media, ya kuomba msaada wa Trump hii ya situation iliyopo Tanzania. Kuna Watanzania bado hawaja grasp kuwa sisi wananchi peke yetu kuwaondoa wauwaji madaraka itakuwa ngumu mnoo, lazma tupate backup ya nje. Trump akiwa involved leo, Tundu Lissu anaachiwa next week.
Remarks@remarks

JUST IN: 🇨🇺🇺🇸 Cuba to pardon over 2,000 prisoners due to pressure from the United States.

Filipino
58
113
603
22.4K
Dibbo. retweetledi
Zoom Afrika
Zoom Afrika@zoomafrika1·
“If you want to know how weak we are, and we're weak. When African Heads of States are speaking the hall if empty, no body is bothers because they're saying nothing” ~ PLO Lumumba
English
4
128
320
13.3K
Dibbo. retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Balozi Humphrey Polepole aliwahi kusema haya kuhusu Angela Kizigha.
Indonesia
11
246
1.2K
34.9K
Dibbo. retweetledi
Dibbo. retweetledi
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Deni la Taifa kila mtu atalipa :Cherry amepiga mawe.
Filipino
7
156
858
17.7K
Dibbo. retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Jenerali Tundu Lissu.💪
Hilda Newton tweet media
Eesti
7
122
861
8.3K
Dibbo. retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Idol, sina shaka kuhusu ustahimilivu wako. Na wiki hii wanakuongezea msalaba mwingine. Ombi langu kwa Mungu wetu ni akupe saburi. Usizimie roho maana asubuhi yaja. Songa mbele uuone ukuu wake. Na mambo atakayokutendea, wewe na Taifa lake. Solidarity. Kutoka 14:14🙏🏽
Tito Magoti tweet media
Indonesia
26
379
1.7K
16.8K
Dibbo. retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Maandamano ya kihistoria siku ya ufunguzi wa Afcon 2027. Hawatoweza kuzima internet, hawatoweza kujaza askari na mitutu ya bunduki barabarani, hawatoweza ku-lockdown watu. This is a chance of a life time kuleta haki kwenye nchi yetu…. Tuitumie afcon 2027 kuonyesha dunia kuwa Watanzania tunapambania uhuru na haki kwenye nchi yetu na kwamba tunahitaji msaada wa dunia. Hakutakuwa na Afcon Tanzania ila kutakuwa na maandamano ya kudai haki………….. Maandalizi na grassroots campaign zianze sasa.
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
135
545
2.8K
83.8K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na waliokuwa wagombea urais na wagombea wenza kutoka vyama vya siasa 16 vilivyoshiriki Uchaguzi Mkuu mwaka 2025. Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Swahili Times tweet mediaSwahili Times tweet mediaSwahili Times tweet mediaSwahili Times tweet media
Indonesia
25
3
46
6.9K
Dibbo. retweetledi
John Nguti Chadema
John Nguti Chadema@JohnNgutiCDM·
Lala kwa amani Fighter, Taifa limepoteza mtu makini na muhimu sana💔
Indonesia
5
75
378
4.6K
Dibbo. retweetledi
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
GEN Z, Post hii naomba muikumbuke milele hata kama kesho sitakuwepo muishi nayo. TUSHATOKA kwenye siasa za kulambana miguu—siasa za kusubili vyama vya upinzani vitoe matamko hizo siasa tushaziacha 2025. Kama tuliweza kuandamana #MO29 bila mchango wa chama chochote cha siasa inamaanisha hakuna KITU TUTATAKA kwenye hii nchi tutakikosa TUKIAMUA. Siasa hizi zetu GEN Z tumia LUGHA Yeyote ile kuondoa sumu mwilini mwako, unapoona unastahili KUTUKANA kwa usenge wanaofanya basi fanya hivyo bila kuogopa usenge. Zile siasa za kufuata PROTOCAL za kisenge ndio zimefikisha taifa hapa. Msikubali kuendeshwa na WANASIASA wasenge, tembeeni na wanasiasa wanaoongea LUGHA MOJA NA NYIE. TUKUTANE AFCON 2027.
Indonesia
59
329
1.7K
41.7K
Dibbo. retweetledi
SATIVA17 X ( TWEETS)
SATIVA17 X ( TWEETS)@Sativa2555·
Hili wazo inabidi lifanyiwe kazi Repost 600
SATIVA17 X ( TWEETS) tweet media
HT
5
119
399
3.9K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa ni nadra kumpata Rais mwenye upekee wa kuacha majukumu ya Ikulu na kwenda porini kushiriki shughuli za kurekodi filamu. Akizungumza katika kikao kazi cha Maafisa Utamaduni, Sanaa na Michezo kilichofanyika ukumbi wa AICC jijini Arusha, Msigwa alisisitiza kuwa hatua hiyo inaonyesha namna uongozi wa juu unavyothamini sekta ya sanaa na utamaduni nchini. Alieleza kuwa ushiriki wa Rais katika shughuli kama hizo unatoa motisha kwa wadau wa tasnia ya filamu na sanaa kwa ujumla, huku ukiitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio vyake vya asili.
Indonesia
164
9
79
26.9K