Muuh Venus
721 posts

Muuh Venus
@Cheupe12tz
TheHumbleGeneusBoe | If You Love Me Love Me And Show Me Your Feelings, If You Don't Talk You Will Die Alone
Tanga, Tanzania Katılım Şubat 2020
449 Takip Edilen133 Takipçiler


He would have scored this if it was against Barcelona.
The Touchline | 𝐓@TouchlineX
📸 - TERRIBLE EXECUTION BY SORLOTH!
English

@Cheupe12tz @Sylvest85787141 @Tinolove15 Dini ni Culture, kwahiyo ukifata dini tayari ushabadilisha tamaduni.
Indonesia

@Sylvest85787141 @Tinolove15 Tatizo sio kupokea Dini tatizo ni kupokea hadi Culture zao.....Waislam wanaishi kama waarab na wa kristo wanajiona wazungu

@Cheupe12tz @Tinolove15 Hatuwezi kulikwepa hilo kaka maana dini tumepokea kutoka kwao,kama ambavyo sisi wakristo tulivyoupokea ukristo kutoka kwa wazungu hata majina pia tunatumia ya kwao
Filipino

@Sylvest85787141 @Tinolove15 Ndio lakini haimaanishi ili uwe muislam ni mpaka uitwe jina la kiarabu ni Waafrica tu ni wapumbavu
Indonesia

@Cheupe12tz @Tinolove15 Na uarabu ndo uislamu wenyewe
Indonesia

@Tinolove15 Kwani kuna majina ya kikristo au kizungu? Naomba kueleweshwa
हिन्दी

@robkidayo_ Daah sijawahi ijua jina niliangaliaga kipindi mdogo band la video
Indonesia

@robkidayo_ Kuna Ile movie moja ya zamani sana ya msituni wale survival walikula matunda kama mastafeli ukila unamuona mwenzio kama nyani😂😂😂
Filipino

@chapo255 Tutaelewana tu maana kwenye zile ngoma mbili Finale na Happy hakuna kali kuzidi Wewe
Indonesia

@George_Ambangil @c_kivuruga Nashangaaga sana watu wakisema "Ooh mtu akitoka ligi nyingine akija Epl lazima awe Flop" nawaulizaga sasa hawa wanaocheza asaivi wametoka ligi gani au wamezaliwa England?
Indonesia

@c_kivuruga Kama Rodri ? Bruno ? KDB ? Silva wote wawili ? Yaya Toure ? Essien ? Makelele ? Alonso ? Tielemans ? Partey ? Niendelee au nikaushe ? Tusikariri ndugu zangu . Huyo Bruno G na Tonali na Baleba wametokea ligi gani kabla ya EPL ?
Filipino

Kuto mido nje ya EPL nayo ni high risk.
George Ambangile@George_Ambangil
Anderson Wharton Baleba Tonali Bruno G Majina ya viungo wanatajwa sana na naelewa kwanini 100% but kila nikifikiria majina kama Locateli, Hjulmand, Zaïre-Emery, Nmecha, Exequiel Palacios, Manu Kone, Barriosetc etc .Technical, smart midfield players kwa less than £70M kwa mmoja
Filipino

@Kariakoo_ Alafu anakuja demu wako na kunguni kutoka kwao analala baada ya mwezi kazi inaanza upya
Indonesia

@iamkizzyh @ziddynol Ukisema ivyo una maanisha kulikua na mwanzo, Mwanzo ni wapi?
Indonesia

@ziddynol Daah noma sana inawezekana kweli tupo hapa duniani kwa mamillion ya miaka
Indonesia

Nyie ndo wale "Jamaa Ukitoa Mambo Yake Ya Uchawa Ni Mtu Poa Sana"?? 😂
MfinaWiiiseeee@mfinanga_rm
Tukiweka pembeni uchawa wake, jamaa ana kipaji cha kipekee cha kujenga na kutetea hoja, tena vizuri kuliko wabunge wengi wa sasa. Angekuwa amepiga shule kidogo tu, angekuwa mtu wa maana sana.
Indonesia












